RPC apiga marufuku mahafali ya CHASO Morogoro

RPC apiga marufuku mahafali ya CHASO Morogoro

Jamani upinzani kumekucha na ushahidi upo. Kitu kifanyike au la watangaze wenye haki ni ccm pekee. Huu ujinga lini utaisha? Kuwa upinzano zambi? Naichukia utawala.
 
[emoji117 said:
USHAURI: Ni lazma ifike sehemu tuache kulalamika kila siku tufanye maamuzi kwa vitendo ili Dunia yote ijue...Haiwezekani Nchi wapo wenye haki zaidi kuliko wengne...Nchi hii ni ya kwetu sisi sote..Kama mikutano inazuiwa, Vikao vinazuiwa, mahafali yanazuiwa, tutatafuta njia nyingine..HAKI HAIOMBWI..

Jafary Ndege,
Mratibu CHASO~MKOA MOROGORO.
Ndugu yangu, KAMA NI VITENDO, endeleeni na mahafali yenu kama CCM wanavyofanya. Hapa Tutaona kama walinda amani wetu "watayalinda" mahafali ya sehemu zote mbili.
Ninavyoona miye, hata huko IRINGA, Mbeya, Tabora na kwingine kwenye taasisi za Elimu ya juu, MAHAFALI ya CHATO (no ai miini CHASO), HAYATAFANYIKA mwaka huu kwa "sababu mbalimbali"...Tisubiri tione..
 
Kwa msimamo wa serekali hii, nawashauri Chaso mtulie tu kwanza. Ni kaushauri kangu tu kwani hata mitihani hamjaifanya kwa nini mkose kuifanya kwa vyovyote vile? Mlienda kusoma mhitimu vyema, naomba tu msikose cheti kwa kucheza na vi.chaaaa. Wapo watu wanatamani kufyatua mabomu ya machozi na hata risasi za moto ikiwezekana. Acha ulimwengu uuone huo uonevu
 
kwa hyo chaso inaiga shirikisho la vijana wa ccm??
Kwan chaso ninini? Na shirikisho la vijana ccm vyuo vikuu ni nini?Naona najadiliana na asiye jua anajadili nini ,tuachane na hayo tujadili mengine.
 
Kumbe mahafali ya wa CCM yanaendelea kufanyika? Kwanini?

Na ya Ukawa, Chadema/Chaso peke yake ndio yanayopigwa marufuku?

Maagizo mengine bhana
 
I have been to all G7 countries and have never stumbled over this kind of senseless exploitation of students by politicians. Schools, colleges and universities are only to indulge in the pursuit of their noble mission of being centers for academic excellence, for the greater good of humankind.

The government should seriously consider banning all political activities in our schools, colleges and universities, because, by their very nature, political activities are divisive and expose students to this kind of senseless exploitation by egocentric politicians!
 
Haki siku zote haiombwi lakini watz tulivo wingi wa busara tulitanguliza kuomba haki lakini ss naona tunakoelekea siko kabisa
 
Kwan chaso ninini? Na shirikisho la vijana ccm vyuo vikuu ni nini?Naona najadiliana na asiye jua anajadili nini ,tuachane na hayo tujadili mengine.
chaso - chadema student organisation!! ndio maana nikakuambia halina maana yoyote! wanapoteza tu muda
 
mbona kamanda KOVA amefanyiwa mahafali ya kumuaga pale chuo cha polisi MOSHI,Kova amshasitaafu kulikuwa na umuhimu gani wa kumfanyia maafali au haukuwa mkusanyiko?
 
mbona kamanda KOVA amefanyiwa mahafali ya kumuaga pale chuo cha polisi MOSHI,Kova amshasitaafu kulikuwa na umuhimu gani wa kumfanyia maafali au haukuwa mkusanyiko?
 
Pulchra Animo, I know not your profession. But atleast I know you are kaput when it comes to politics.
You may have been in all G7 countries but not in their collages and universities, ok, may be there but not in how they run student's affairs.
Politics is there trust me!
I don't need to be there to know what's there!
In the first place, nothing limits our politics to what is going on in the G7!
Your very unrealistic when it comes to Tanzanian politics!
In G7 the winner in polls is real, here its not.
In G7 democracy leads, here the president proudly announces alternative to democracy.
Brother, dont be pro Magufuli government without knowing much about it!
Brother don't listen to that man when he tells you goodmorning, please, go outside and look, it may be dark!
Just come to our streets, our villages and hear the sugar taills.
Come and ask who won Tanzania and zanzibar elections.
As what the president says about democracy!
Please, talk to our Magufuli and please talk in English!
Ask him, what is the direction of Chato from here? [ where you meet] after that reframe your thinking about this country.
 
Ubaguzi unaitafuna CCM,ila siku zao zinahesabika! Woga wa serikali umedhiri mchana kweupe
 
Ccm wasidhani kuwa watatawala milele

Haki huinua Taifa.... Haki ikikosekana Taifa huingia kwenye machafuko

Na iona dalili ya kuwa km Libya mda si mrefu

Mabadiliko ni kama upepo uvumao huja siku moja tu na hakuna awezaye kuizuia
Wewe ni mjinga wa mwisho bila shaka wewe ni jambazi kutoka machame
 
Huyo RCP atakuwa mjinga mjinga hivi! Hana taarifa kwamba TMCS SUA walifanya mahafali yao mwezi Mei? Kwani walikuwa wameshafanya mitihani ya mwisho wakati huo? Tatizo la akili ndogo kuongoza akili kubwa ni shida sana!
 
Hakuna mahafali yoyote hapa Savoy, kijana mbona unakuwa mmbea hivyo? Mimi ni meneja wa hotel ya Savoy hakuna kitu kama hicho. Kumbe Chadema kweli watu wa fujo, viroba?
Na: Jafary Ndege:
Mratibu Chaso Mkoa~Morogoro

Leo nimebahatika kwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa Mkoa Polisi Morogoro baada ya kutuita Viongozi wa CHADEMA Mkoa na Wilaya kuzungumzia Mahafali ya Chaso Mkoa yaliyokuwa yafanyike kesho tarehe 25/06/2016 ambapo Mgeni Rasmi ni Mhe. Edward Lowassa.

Cha kunishangaza tulipokuwa tunazungumza na RPC akasema yafuatayo:

1. Siwezi kuwaruhusu kufanya mahafali yoyote kwa kuwa Sasa hivi Haturuhusu mikusanyiko ya aina yoyote.
2. Hivi msipofanya mahafali mtapungukiwa nini..mahafali yana faida gani kwenu??
3. Mnafanyeje Mahafali bila wanafunzi kufanya mitihani yao??

Lakini wakati RPC anasema hayo kesho Jumamosi tar 25/06/2016..Shirikisho la CCM wanafanya Mahafali yao pale SAVOY HOTEL.

Sasa najiuliza;

1.Mahafali ya CCM yanayofanyika kesho sio mkusanyiko?? Tena kwa mujibu wa RPC wa Morogoro inaonesha CCM wanafanya mahafali yao bila kibali chochote.

2.Naendelea kujiuliza hivi RPC hakusoma sekondari wala Chuo kujua umuhimu Mahafali au hata kama hakusoma hakuwahi kusikia mahafali kwa jirani ili atambue umuhimu wake.

3. Naendelea kujiuliza kuwa RPC hajui kuwa wengi wetu na utaratibu tangu sekondari tumekuwa tukifanya mahafali kabla ya mitihani? Amekariri kuwa mahafali yanafanyika tu baada ya mitihani...kumbe yote yanawezekana.

USHAURI: Ni lazma ifike sehemu tuache kulalamika kila siku tufanye maamuzi kwa vitendo ili Dunia yote ijue...Haiwezekani Nchi wapo wenye haki zaidi kuliko wengne...Nchi hii ni ya kwetu sisi sote..Kama mikutano inazuiwa, Vikao vinazuiwa, mahafali yanazuiwa, tutatafuta njia nyingine..HAKI HAIOMBWI..

Jafary Ndege,
Mratibu CHASO~MKOA MOROGORO.
 
Pulchra Animo, I know not your profession. But atleast I know you are kaput when it comes to politics.
You may have been in all G7 countries but not in their collages and universities, ok, may be there but not in how they run student's affairs.
Politics is there trust me!
I don't need to be there to know what's there!
In the first place, nothing limits our politics to what is going on in the G7!
Your very unrealistic when it comes to Tanzanian politics!
In G7 the winner in polls is real, here its not.
In G7 democracy leads, here the president proudly announces alternative to democracy.
Brother, dont be pro Magufuli government without knowing much about it!
Brother don't listen to that man when he tells you goodmorning, please, go outside and look, it may be dark!
Just come to our streets, our villages and hear the sugar taills.
Come and ask who won Tanzania and zanzibar elections.
As what the president says about democracy!
Please, talk to our Magufuli and please talk in English!
Ask him, what is the direction of Chato from here? [ where you meet] after that reframe your thinking about this country.

Paul Alex, what you just said is plain terminological inexactitude on your part! Not only have I been to all G7 countries but I also have graduated from schools and universities in two of the G7 countries. So I have lived the campus life in a G7 country school; I am not saying this because a storyteller so told me!

I am not necessarily a pro-Magufuli government, but I am also not a brainwashed dude who would just jump on the critics' bandwagon for the sake of it. Just pause for minute and think about the guy in Zanzibar, who virtually has become CUF's life Secretary General and life presidential candidate, for example. This guy preaches what he and his fellow elites within the party do not practice. Some people have lost their CUF membership just because they sought to practice true democracy within the party. The same goes with top leadership in CDM. You already know what happened to a group of CDM members who attempted to defend democracy within the party. The guys in the opposition camp somehow think that they can have a democratic country without necessarily embracing democracy at the party level. They're simply wrong!!!

Trump is my everyday political punching bag, but he might have had a point when stated on October 25, 2015 that "...In my opinion, most of these African countries ought to be recolonized again for another 100 years because they know nothing about leadership and self governance..." As you may be aware, we have seen several countries where the opposition coalitions were able to defeat the longest serving ruling parties only to practice exactly the same (or even worse than the) undemocratic ways of governing, which the predecessor ruling parties had previously been accused by the successor parties of practicing!

I hope you're just suffering from cognitive biases, as opposed to emotional biases, because it's easier for someone on the other side to moderate your cognitive biases than it is to adapt to your emotional biases.
 
Pulchra Animo, If not for your references, nobody would know who you support in Tanzanian politics.
If not for your long essay, no one would think you are too verbal and less factual!
You could have easely hide your personal interests from the ruling government if you could talk about our national cry for now - DEMOCRACY!
But thanks to God yo've managed to show your colours as one of the ticks that has bennefited from the current system!
So, I know you would like to return the favour and may ask for more favours!
I don't know what you studied in the G7 appart from English course where you are exellent but I know you didn't study anything about organization growth and management styles.
Your very wordy but not knowing the minings of the words.
Simply, leadership and management looks same to you and their requirements even same!
Its easy to replace managers but not leaders and organizations start with leaders.
Please read Grainer's model and review your previous comment about opposition parties leadership!
And after, answer to how low did Mwalimu JK stayed as a party leader and why?
And talk off any limmits to leadership terms during party inception that you know off!
Last, Join our voices for Democracy and freedom of expression as your repayment to Tanzanians for their sacrifices to keep you abroad!
 
Back
Top Bottom