Recent content by Michael Nyenza

  1. M

    Hivi ' Serious ' kabisa Serikali kupitia Rais JPM na Waziri Mkuu wake ' wamelibariki ' hili jambo la ' Aibu ' huko Dodoma?

    Hii ni nzuri sana tu kwa maoni yangu, inaonyesha 'Uwajishaji' wa wanaochwlewesha mambo. Zaidi uzalendo mkubwa kutangaza jina la nchi yetu, maana tumeingia kwenye record Wizara ya majengo ya aina yake nchini TANZANIA.
  2. M

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Nangoje ufafanuzi wako mzuri juu ya hili. Asante sana. Bado nipo 50/50 sana
  3. M

    Kwanini walimu wengi wamekamatwa Qnet?

    Aliyekufundisha wewe critical thinking hakuwa mwalimu??? Alikuwa ni mwanasiasa anayejua kusoma na kuandika tu???
  4. M

    Waziri wa Kenya aidharau Tanzania

    Sasa kama unafundisha class utashindwa tofautisha kati ya wa kwanza na wa mwisho baada ya mtihani. Kama kasema uongo uonyeshe uongo huo! KAMA NI KWELI BASI MWACHE ATUCHANE TU pengine makelele ya nje yatatuamsha.
  5. M

    maji maji ukeni

    Happiness umetishaa mbayaa:)
  6. M

    Siku CHADEMA ikifa

    Non sense. Maisha yanapanda na kuwa magumu daily, leo hii kila kadi hasimu inalipiwa 1000sh per month. Huoni haya, unabaki kuongelea kifo cha chama flani. Utakufa wewe kabla ya hicho/hao unaodhani watakufa!.
  7. M

    Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

    Teh the teh!!! Kweli nchi ya majuha professor Taahira!
  8. M

    Hakuna msanii BONGO mgumu kumuintavyuu kama huyu,ni pasua kichwaa..........

    TID anabore, onetime aliwahi pigiwa simu na Sud Brown akapokea mkewe akaanza kutukuna matusi yasiyofaa hata mbele ya jamii, huku akijua aarekodiwa. Ni Kiburi na dharau tu. Asipobadirika atapotea
  9. M

    TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    Mwisho wa utawala wa hawa jamaa huenda "Ili kuanagalia channel tano za ndani ya BONGO lazima uwe na VING'AMUZI VITANO (5) TOFAUTI." Maana baadhi ya channel hata sisi tunaotumia Cable hatuzipati tena.
  10. M

    Waalimu kuboreshewa mishahara

    WIZI MTUUUPU... Si mnakumbuka wakati ule, yule mtu alipokuwa anaomba kura za kuingia madarakani, akaahidi mishahara minono kwa wafanyakazi wa serikali, lakini mpaka leo zimebaki story, tulichokishuhudia ni POSHO ZA WABUNGE KUPANDA... TAFAKARI... CHUKUA HATUA... Kuishi kwa tetesi ni sawa...
  11. M

    natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat!

    U r welcome. Put God first everything is possible
  12. M

    Lema matatani tena, polisi wavamia studio

    [COLOR="#FF0000"]Kwani kuna sheria gani inayombana mbunge kutoonyesha au kufanya kazi za kipaji chake either kwa kujifurahisha au kutoa ujumbe kusaidia jamii hata awe matatani????
  13. M

    Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    huo ni mpango wa kuanzisha bunge kusimamia yenyewe urushaji wa matangazo ili waweze kufanya jambo lolote endapo wamebanwa na upinzani mf. kukatisha matangazo, kutoonesha wabunge wanaosinzia bungeni na kupendelea zaidi chama tawala
  14. M

    2030: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki

    UKWELI UNAMCHOMA MWENYE KULENGWA, Hakuna anacho chochea ila ukweli ndiyo unawachoma walio wengi wenye kuogopa kusema ukweli kwa kisingizio cha kulinda amani. AMANI hailindwi kwa kusema uongo na kukumbatia maovu kwa kuficha ukweli
Back
Top Bottom