Siku CHADEMA ikifa

Siku CHADEMA ikifa

CDM ikifa kutakuw ana mlipuko wa uwekezaji ktk nafasi mbali mbali za uongozi ktk CCM..watashikia binduki, watamwaga hela nyingi sana, na mengine kwa vile watarudi ktk imani kuw aCCM ikikuppitisha basi umeshakuwa kiongozi.
 
wanajf!nini mustakabali wa chadema ikishindwa kuchukua dola 2015?je kitasambaratika vipande vipande?au kitakufa kabisa?kwa yanayoendelea misri watanzania wamejifunza hatuwezi kuwapa wapinzani nchi,karibuni kwa michango yenu wakuu
 
2015 tunaanda mashada ya maua kuizika cdm rasmi.
 
Kwani 2010 walichukua dola? Kipi kilifanya wasisambaratike? Badala yake wameendelea kuwa strong. Inawezekana hata hiyo 2015 hawakuwa na lengo la kuchkua nchi but nyie kutokana na uoga wenu na kuona mmeshindwa tayari sasa mnawaza wasipochukua nchi itakuwaje. Tangu lini namba moja akajiuliza "huyu namba mbili asiposhinda itakuwaje?".
Kweli hali inazidi kuwa mbaya!!!
 
Majambazi yataongezeka mtaani kwasababu hela ya ruzuku itakata.
 
Tutaanzisha chama kingine kisichokuwa na ukabila na udini na ndiyo kitakuwa mkombozi wa TZ.
 
ray05!chadema kila siku majukwaani na mitandaoni mnatamba kuwa 2015Mtashika dola,dr slaa ndo atakuwa rais,na kama slaa atakuwa rais nini hatma ya wake za watu?
 
wanajf!nini mustakabali wa chadema ikishindwa kuchukua dola 2015?je kitasambaratika vipande vipande?au kitakufa kabisa?kwa yanayoendelea misri watanzania wamejifunza hatuwezi kuwapa wapinzani nchi,karibuni kwa michango yenu wakuu

“Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi baada ya kuanguka kwa ukuta wa Berlin na kusambaratika kwa ukomunisti Ulaya Mashariki na Urusi. Nchi za magharibi zinazotoa misaada ziliweka “sharti la demokrasia” ili Tanzania iendelee kupata misaada. Kwa kuwa serikali ya Tanzania ni tegemezi kwa misaada ililazimika ijitoe kimasomaso kuwa nayo imo katika wimbi la ujenzi wa demokrasia ya vyama vingi. CCM iliukubali mfumo wa demokrasia ya vyama vingi
kwa shingo upande na si kwa ridhaa yake bali kutokana na shindikizo kutoka nchi wahisani pamoja na vikundi vilivyokuwa vikipigania mageuzi ya kisiasa ndani ya nchi. Matokeo yake yakawa ni kwa nchi kuingia katika mfumo huo mpya wa siasa bila ya marekebisho ya msingi ya
taasisi zinazosimamia maongozi ya nchi. Kama zilivyo nchi nyingi za Kiafrika, chama kinachotawala Tanzania kilikubali mfumo wa vyama vingi pasina kukubali kuwa matokeo ya mfumo huo yanaweza kuwa ni kupoteza madaraka na kuyakabidhi kwa chama kingine kitakachoridhiwa na wananchi wenyewe. Upinzani utavumiliwa ikiwa tu utakubali kubakia katika upinzani.”
 
Non sense. Maisha yanapanda na kuwa magumu daily, leo hii kila kadi hasimu inalipiwa 1000sh per month. Huoni haya, unabaki kuongelea kifo cha chama flani. Utakufa wewe kabla ya hicho/hao unaodhani watakufa!.
 
Kwani 2010 walichukua dola? Kipi kilifanya wasisambaratike? Badala yake wameendelea kuwa strong. Inawezekana hata hiyo 2015 hawakuwa na lengo la kuchkua nchi but nyie kutokana na uoga wenu na kuona mmeshindwa tayari sasa mnawaza wasipochukua nchi itakuwaje. Tangu lini namba moja akajiuliza "huyu namba mbili asiposhinda itakuwaje?".
Kweli hali inazidi kuwa mbaya!!!

Mkuu umeyajibu magamba vizuri mno...naashangaa kwanini magamba kila mwaka wanatani chadema ife...walisema mwaka jana ingekufa, then mwaka huu itakufa..kumbe ndio kwanza makamanda ndio wanazidi kuongezeka tena wasiokuwa members wa chama chochote kile.ama kweli chadema haiipi usingizi magamba :target:
 
“Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi baada ya kuanguka kwa ukuta wa Berlin na kusambaratika kwa ukomunisti Ulaya Mashariki na Urusi. Nchi za magharibi zinazotoa misaada ziliweka “sharti la demokrasia” ili Tanzania iendelee kupata misaada. Kwa kuwa serikali ya Tanzania ni tegemezi kwa misaada ililazimika ijitoe kimasomaso kuwa nayo imo katika wimbi la ujenzi wa demokrasia ya vyama vingi. CCM iliukubali mfumo wa demokrasia ya vyama vingi
kwa shingo upande na si kwa ridhaa yake bali kutokana na shindikizo kutoka nchi wahisani pamoja na vikundi vilivyokuwa vikipigania mageuzi ya kisiasa ndani ya nchi. Matokeo yake yakawa ni kwa nchi kuingia katika mfumo huo mpya wa siasa bila ya marekebisho ya msingi ya
taasisi zinazosimamia maongozi ya nchi. Kama zilivyo nchi nyingi za Kiafrika, chama kinachotawala Tanzania kilikubali mfumo wa vyama vingi pasina kukubali kuwa matokeo ya mfumo huo yanaweza kuwa ni kupoteza madaraka na kuyakabidhi kwa chama kingine kitakachoridhiwa na wananchi wenyewe. Upinzani utavumiliwa ikiwa tu utakubali kubakia katika upinzani.”

Mkuu umeeleza vizuri :yell: kwa utaratibu na ufasaha.tatizo unafikiri haya magamba yatakuekewa? Hapo ni kama ume mpigia mbuzi gitaa japo ujumbe umewafikia tho.good job mkuuu
 
Misingi ya cdm ni uadilifu, aman, +credibility na uongozi sahihi, ni fikra mgando na falsafa mfu ulizonazo ww kihiyo+!
 
wanajf!nini mustakabali wa chadema ikishindwa kuchukua dola 2015?je kitasambaratika vipande vipande?au kitakufa kabisa?kwa yanayoendelea misri watanzania wamejifunza hatuwezi kuwapa wapinzani nchi,karibuni kwa michango yenu wakuu

wewe ndugu yangu BMT jaribu kutafuta shughuli nyingine za kukufana uwe busy kidogo kwani hapa jf si mahli pa kuandika hata ukoko: Acha nikusaidie kama ifuatvyo: mwanfunzi wa kidato cha sita akiwa na lango la kupata div 1 na katika matokeo akapata div 2 inabidi awe kichaa? Jaribu kujua malengo ya CDM:
1 ni kuwa na wabunge zaidi ya 150
2 ni kuwa na raisi wa nchi kupitia CDM as simple as that!!
 
si bure, mbulula kama ww umetumwa kwa 10000/= unajifanya hamnazo wakati u timamu mkaanga sumu ww, mtajuta 2015!
 
kwl mtafikisha hao wabunge 150?je mtapata rais ka siasa zemu hzi za mihemko na maandamano?nakubaliana na wachangiaji kuwa tujiandae kuwa na majambaz wengi mtaani kama cdm mtakosa dola
 
Majambazi yataongezeka mtaani kwasababu hela ya ruzuku itakata.

Wewe ni mpuuzi,sasa wanapata ruzuku kwa vile wameshinda?madiwani na wabunge wa cdm watakuwa wa kumwaga ruzuku watakosaje,subiri mwaka kesho tunachukua mitaa na vijiji vya kumwaga,msomi wa standadization ww ndo maana mrahisi wa kutumika.
 
Back
Top Bottom