Mkuu usipende kumushangaa kila mtu kwa Kazi anyoifanya. Hujui network marketing ndo biashara iliyopamba karne hii ya 21 na hujui kuwa baada ya miaka kumi ijayo network marketing ndo itakuwa the leading market in the world tatizo la wabongo wengi tunapenda Sana kuangalia movie &TV kuliko kusoma vitabu vingi vinavyoonyesha uhalisia wa Dunia ilipo na inakoelekea. Kwa wenzetu ulaya naweza SEMA huwa wapo mbele yetu kwa karne Kama moja Hivi coz kwa upande wao network marketing ilishaanza kitambo Sana na ndo biashara iliyo dominate huko kuliko local marketing ila kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ndo bado tunaona Kama network marketing hailipi kwasababu wengi wetu bado tunaishi ktk maisha ya kijimaa . Ukitaka kuhakikisha ukweli wangu fuatillia matajri wengi duniani kama hawapo kwenye Mlm Mfano Angalia utajiri wa waanzailishi wa Network marketing Kama
Facebook
Alibaba
Amazon
Ebbay
Western Union
Harfu ndo utajua maana na Siri iliyojificha kwenye network marketing
Note: Siyo kila network marketing Ni nzuri kujihusisha nop zingine zimejaa utapeli TU na usiingie kwenye mfumo wa Network marketing pasipo kuwa na Elimu ya kutosha au akri iliyofunguka Zaidi juu ya utandawaziiii.
Sent using
Jamii Forums mobile app