Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,355
Uraisi ndo unaenda kaskazini hivyo... Mlie tu...nape na mbowe au na zito

?.Baada kuulizwa maswali na vijana wa iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yakw ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivy idhibit chadema na kuisambaratisha cuf, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, sita, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.
Rais ni Dr Slaa
Baada kuulizwa maswali na vijana wa iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yakw ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivy idhibit chadema na kuisambaratisha cuf, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, sita, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.
Rais ni Dr Slaa
ishu sio kaskazini ishu ni chaga,haya kyusa. wala ndizi no.Uraisi ndo unaenda kaskazini hivyo... Mlie tu...
lowasa nenda baba!watanzania wenzangu na wanajf lowasa ni mtu sahihi kuwa rais 2015,tuweke itikadi zetu pembeni tumtie moyo huyu mwenzetu,ni mtu sahihi
Ni Livingstone Lusinde.
Rais ni Dr Slaa
Baada kuulizwa maswali na vijana wa iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yakw ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivy idhibit chadema na kuisambaratisha cuf, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, sita, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.
Hilo halina ubishi,hata Obama anajua! chukua like