Lema matatani tena, polisi wavamia studio

Lema matatani tena, polisi wavamia studio

Nimeisikia hii kwenye uchambuzi wa magazeti RFA leo asubuhi japo nao wanasoma kwa ufupi pia. Wanasema akiwa kwenye kurekodi nyimbo zake hizo, makachero wa polisi walivamia studio hiyo ya hapo Arusha na kubeba vifaa vyote vilivyokuwa vinatumika kwa shughuli hiyo. Ngoja tusubiri ili tuipate habari kwa ukamilifu wake.

Wanataka wakafungue studio nao??? Kitendo walichokifanya ni kinyume na haki za kibinadamu kabisa.

Waache kutisha watu waishi kwa woga.
 
Kwani kuna sheria gani inayombana mbunge kutoonyesha au kufanya kazi za kipaji chake either kwa kujifurahisha au kutoa ujumbe kusaidia jamii hata awe matatani????
 
sidhani kama kazi stahiki ya mbunge ni kuimba. kwangu mm sioni sababu ya lema kuimba si kazi yake afanye mambo ya ukweli amekuwa sana ujue na wanaomtegemea ni wengi kama ni kweli basi LEMA ni janga la CHADEMA tena zigo lisilobebeka kwa sababu hajui majukumu yake bonge la bichwa kubwa kumbe akili kiduchu. UCHURO HUU WA WANASIASA SIJUI TUTTAUONDOA VIPI
 
Nyimbo nyingi zinaitajika kukosoa utawala dhaifu wa serikali ya dhaifu chini ya Mr Dhaifu.
 
Ccm wametonywa kuwa anatoa singo matumbo joto!
Mpaka 2015 mtaona mengi
 
Mh. Lema ni janga la taifa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

wewe kweli gamba huone ccm ilivyo janga na ilipo tufikisha unakimbilia kuropoka usichokijua
 
Hujatupatia hata source, tukuelewe je?
 
safi sana kamanda ukombozi una njia nyingi c lazima mjengoni 2 hata redion pia ujumbe utafika tu maana c wengine tangu analogia izimwe tv kwetu msamiati.
 
Kashindwa Mbowe na Dr Slaa ataweza Lema...

Mkiambiwa kwamba kuna vitu mmeandika mtandaoni msiwe mnakimbia ili kuisaidia polisi kukamata magaidi na watasaji wa waandishi wa habari na kusema "Oooh, kuna mtu kanifanyia ujanja ujanja kwenye akaunti yangu sikuandika mimi,huu ni uharifu wa kimtandao na polisi nimewaambia washughulikie"
 
Yale yaleeeeeee!!!!

Wabunge wa Tanzania 90% hawajuwi kazi zao! Sijuwi takataka zilizo kwenye ubongo wao zitatokaje, duh
Sisi wapiga kura wa arusha tumemtuma lema afanye haya anayofanya pamoja na kuchana mistari.
Wewe unachukia nini sasa?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
[h=1][/h]

gl.jpg
Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema (Chadema)
Lema akishirikiana na wasanii watatu wa muziki wa kizazi kipya, John Mkoloni na wawili mapacha kutoka Kundi la Wagosi wa Kaya la jijini Tanga, ametunga nyimbo nne ambazo ni Jimboni, Mh Rais, Usiogope na Tunahusika.

Sasa ndo nini hii...!??
 
sidhani kama kazi stahiki ya mbunge ni kuimba. kwangu mm sioni sababu ya lema kuimba si kazi yake afanye mambo ya ukweli amekuwa sana ujue na wanaomtegemea ni wengi kama ni kweli basi LEMA ni janga la CHADEMA tena zigo lisilobebeka kwa sababu hajui majukumu yake bonge la bichwa kubwa kumbe akili kiduchu. UCHURO HUU WA WANASIASA SIJUI TUTTAUONDOA VIPI
Kumekuwa na maraisi waimbaji kama Museveni alitoa single ikapaa sana Reagan cheza picha mwacheni Lema aimbe atakavyo atajuana na waliomchagua ndio CCM imefika mwisho kwa hiyo ni kunyanyasa raia kwa kwenda mbele
 
safi sana mh lema,
kama kufikisha ujumbe mahsusi kunahitaji njia mbadala kama sanaa ya kuimba, wewe wala usijali, ingia studio na tengeneza rekodi zako.

Ujumbe utafika tu, kwa namna yeyote ile

Ni kweli mkuu, kwani hata Mu7 alifikishia wapiga kura wake ujumbe kwa njia ya Muziki kumbuka ile rap yake mashuhuri wakati wa kampeni zake za urais. Kwahiyo kwa kamanda lema kufikisha ujumbe kwa njia ya nyimbo nayo ni good idea. Keep it up Kamanda.
 
sidhani kama kazi stahiki ya mbunge ni kuimba. kwangu mm sioni sababu ya lema kuimba si kazi yake afanye mambo ya ukweli amekuwa sana ujue na wanaomtegemea ni wengi kama ni kweli basi LEMA ni janga la CHADEMA tena zigo lisilobebeka kwa sababu hajui majukumu yake bonge la bichwa kubwa kumbe akili kiduchu. UCHURO HUU WA WANASIASA SIJUI TUTTAUONDOA VIPI

Si mbunge tu, hata marais wanaimba sembuse mbunge!!? ama kweli wewe bichwa lako litakua limejaa mikamasi badala ya ubongo. Walianza kuimba kina mfalme Daud, kina Mu7 wameimba cha ajabu nini kwa Lema. Hata Sugu na John Komba wanaimba na ni waheshimiwa vilevile ajabu ni nini kwa Lema!? acha ulimbukeni wako wa kimawazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom