Unaposema 90's ni tofauti sana na unaposema 1990 kama umepita darasani nadhani utaelewa hapa umejikanyaga. Kingine Faridi hakuwa na miaka 7 1990 hapa umekurupuka rudi kwenye chanzo chako cha taarifa. Faridi yuko kwenye mid thirties haiwezekani 1990 akawa 7 years. Faridi hajui wala hajawahi...
Ukiongelea real Hip hop kwa sasa mfalme ni Nash Mc hakuna mwingine. Farid amekuwa namuona, anaanza kuandika namuona, anaanza kukopi quotes kutoka malenga na vitabu vya mnara wa mlinzi namuona. Anapanda jukwaani mara ya kwanza namuona. Hivyo ukimuita mfalme lazima nikushangae. Faridi humjuih hata...
What do you expect from a form two drop out?? Fid ni kiazi kitambo sema mjanja mjanja kwenye kuiba mistari sio ya watu tu hata kutoka kwenye baadhi ya mashairi ya malenga..
Paulo Sergio De Souz amefanya la maana kuanzisha huu uzi jamaa is a joke and living a lie..
Daaah! Dicky ungechuna tu na hii coment yako hasa hapo nilipo bold blue umejiweka kweupeee. Najua mtajwa ni jamaa yako na kuna baadhi ya biashara mnafanya wote ukiachilia mbali ya kupitishia magari Zanzibar kwa dili na yeye kukufanyia fast track ya kibali chako cha ile kitu unaficha chini...
Hii topic imenikumbusha dogo mmoja mwanza miaka ya tisini mwishoni maeneo ya mirongo alikuwa mtundu mtundu alikuwa anatengeneza madish na vitu vya umeme mbalimbali mara nyumba za kwenye miti betrii za malimao. funga kazi alitengeneza full recoil rifle kwa vipande vya bomba, springi na mipira ya...
Duh! sijui ni lack of exposure au uwezo wa kufikiri. Yani fundi anakujengea nyumba hardly a meter kutoka kwenye ukuta wa fensi unamuangalia tu mpaka anamaliza hapo hewa na joto sijui itakuwaje?? Hapo Bilionea kachemka..
Hapa ulifanya makusudi au uliazima koti na helmet tu kutuzuga uko kikazi zaidi Mr Engineer?? Naamini wewe umesoma hiyo fani na kitu cha kwanza kabisa huwa ni SAFETY. Sasa nikicheki chini una moka ya kanisani halafu unadai uko site. Kweli??? Safety boots wapi? Au kampuni bado ndogo mnaenda site...
It's not fair kivipi?? Ukweli ndio huo japo mods wameiondoa picha hiyo haibadilishi kuwa Anorld Kayanda ni Mtusi na sio raia anayejificha kwenye chaka la uTanzania na kujiita mtu wa Karagwe.. Ishasomeka...
Labda tuwekane sawa hapa wazee. Nilikuwa naukodolea macho uzi lakini kutokana na comment yako imebidi nichangie tu.. Kwanza kabisa Side Lugumi aka Bilionea hajawahi kuwa mpambanaji kihalali hivyo hicho cheo mvue.
Saidi namfahamu toka Mwanza miaka ile akiwa mesenja kwenye kampuni ya Amrani...
I am sure hili gari ni la watu wa usalama kila siku around saa kumi na mbili na nusu asubuhi hutoka kwa wazee wa kung'oa kucha pale makumbusho na kuelekea oysterbay. Nimeiona mara kadhaa ikiwa na namba tofauti lakini dereve yule yule. Walivyo wapuuzi plate number mara nyingi wanaegesha tu juu ya...
Ni vizuri kuwa na matumaini nakubali lakini mfumo wa kuajiri oryx ni kumleta ndugu yako kwanza, matangazo kwenye magazeti ni modality tu pale. Fuatilia surnames za wafanyakazi wengi pale utakuja kunipa jibu, watu hawaoni noma kuajiri watoto wao. Kama kuna mtu alifanikiwa kuitwa kwenye interview...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.