Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.
Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.
Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.
Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?