Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
- Thread starter
- #41
Msikilize Aries hapa, anagusia issue ya ku-copy kazi za watu tunayoiongelea hapa pia.
Last edited by a moderator:
Huwa napenda kusikiliza watu wazima from time to time ili kupata picha time yao walikuwa wanafikiria nini. Juzi ilikuwa zamu ya Babu KRS One. Kwenye album yake 'I Got Next' ana track inaitwa 'A friend', dope track si uongo. Nimeiskiliza kama mara 3/4/5 hivi, nikakumbuka our very own..Fid Q ana track inaitwa 'sihitaji marafiki', kwa bahati mbaya sijawahi kuiskiliza mpaka sasa, ila nilishawahi kuona episode moja ya Mkasi Jamaa akiielezea. Knowing Fid Q, nikaingia Tzhiphop na kucheki lyrics, na kulinganisha na track ya Teacha. Nimegundua Jamaa ka-copy concept, baadhi ya mistari na maneno pia, japo kayafanyia sanaa kidogo.
'True friends are quick to sit in the beginning of all trouble, and when your bankroll doubles/ - Teacha
Vs
Kupata washkaji ukiwa na pesa ni rahisi, Kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi/ - FidKuna lines kadhaa pia za Rappers wengine humo ndani, mojawapo ni ya Biggie Smallz
'Cause don't nobody care about us, all they do is doubt us/
Until we blow the spot then they all wanna crowd us, and wanna shout us/
but you my man from way back' - Teacha
vs
'sihitaji urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa..
upishwe useat kwenye bar,upewe beat na Jr../
kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid ni underground' - Fid
'/I'm not a yes man and none of my friends are yes men
or women/' - Teacha
Vs
'sikia fidq anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/'- Fid
'Whether at the bar with superstars'- Teacha
Vs
'sihitaji urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa..
upishwe useat kwenye bar,' - Fid
'Girls used to diss me, now they write letters coz they miss me'
Vs
'Siku hizi mademu wanaoni-miss ni walioni-diss'
![]()
Fid Q, Fraud Q or Fake Q??
![]()
Teacha Huyu hapa, msikilize mwenyewe halafu linganisha na ngoma ya Fid hapa chini.
tatizo mmetawaliwa mpk kufikir kwenu...mnafikir wanachofanya wao ndo sahih kulko ninyi....
Fid Q anajua xana...kama humjui ndo unaweza kuandka ungese kama huo...em mfatlie vizur jamaa toka anaanza
Kila siku nasema fid q ni mvivu wa kufikiri sana mnabisha,kazi yake ni kucopy mashairi na lines za wasanii magwiji ambao hawafahamiki na wengi,mbona wenzake kama akina Songa,credible,Nick mbishi,Nick wa 2, stereo,joh makin wanatunga mistari yao,huyu jamaa hafai kabisaa kuitwa mwana Hiphop,hip hop ni maisha halisi sasa kama mtu anacopy lines za mtu mwingine huyo ni tapeli wa hip hope
Huwa napenda kusikiliza watu wazima from time to time ili kupata picha time yao walikuwa wanafikiria nini. Juzi ilikuwa zamu ya Babu KRS One. Kwenye album yake 'I Got Next' ana track inaitwa 'A friend', dope track si uongo. Nimeiskiliza kama mara 3/4/5 hivi, nikakumbuka our very own..Fid Q ana track inaitwa 'sihitaji marafiki', kwa bahati mbaya sijawahi kuiskiliza mpaka sasa, ila nilishawahi kuona episode moja ya Mkasi Jamaa akiielezea. Knowing Fid Q, nikaingia Tzhiphop na kucheki lyrics, na kulinganisha na track ya Teacha. Nimegundua Jamaa ka-copy concept, baadhi ya mistari na maneno pia, japo kayafanyia sanaa kidogo.
'True friends are quick to sit in the beginning of all trouble, and when your bankroll doubles/ - Teacha
Vs
Kupata washkaji ukiwa na pesa ni rahisi, Kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi/ - FidKuna lines kadhaa pia za Rappers wengine humo ndani, mojawapo ni ya Biggie Smallz
'Cause don't nobody care about us, all they do is doubt us/
Until we blow the spot then they all wanna crowd us, and wanna shout us/
but you my man from way back' - Teacha
vs
'sihitaji urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa..
upishwe useat kwenye bar,upewe beat na Jr../
kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid ni underground' - Fid
'/I'm not a yes man and none of my friends are yes men
or women/' - Teacha
Vs
'sikia fidq anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/'- Fid
'Whether at the bar with superstars'- Teacha
Vs
'sihitaji urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa..
upishwe useat kwenye bar,' - Fid
'Girls used to diss me, now they write letters coz they miss me'
Vs
'Siku hizi mademu wanaoni-miss ni walioni-diss'
![]()
Fid Q, Fraud Q or Fake Q??
![]()
Teacha Huyu hapa, msikilize mwenyewe halafu linganisha na ngoma ya Fid hapa chini.
Paulo Sergio De Souz amefanya la maana kuanzisha huu uzi jamaa is a joke and living a lie..
Fid Q is a FRAUD.. Ni bingwa wa kutafsiri nyimbo na kazi za sanaa za watu wengine na kuzifanya zake. 99 Percent ya mistari ya Fid ni copy and paste. Anakopi kwenye nyimbo, ana copy kwenye vitabu, ana copy kwenye movie.
" Maisha ni kioo ukiyachekea na yenyewe yanakuchekea " ame copy kutoka kwenye kitabu cha John Mason " The Power Of Positive Thoughts ".
Joh Makini aliwahi kuimba " Hii mistari yangu original, sio ya ku copy kwenye vitabu "
* 'Natokea Mwanza, home of the greatest rappers/ Mtoto wa Dandu comes first then....i am a professional/'
'Brooklyn home of the greatest rappers, Big comes first then the queen comes after'-Lil Kim (Lighters Up)
'tunachukiana kwasababu tunaogopana/
tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
hatujuani kwasababu tunatengana/'- Propaganda
'There's no need for you to fear me/ if you take your time and hear me/ maybe you can learn to chear me'- Tupac (Ghetto gospel).
Fid is a dope rapper, one of the best, and he's the master of borrowing lines too.
cc Paulo Sergio De Souz
Nilidhani kakopi kumbe katumia maneno yaliyo wai kutumika...hakuna mosemo mipya labda ni jinsi ya kuitumia tuu!
Kuna msanii wa marekani tena ana jina kubwa tu anachukua baadhi ya maneno na beat kutoka nyimbo za zamani za ki Korea!
Thanx brother, somebody had to do it.
Damn shame bruh, sijui alijua angepeta mpaka lini.
They shot i mad em look, .....hii ikitoka kwenye Ngoma moja ya NAS. Utaikuta kwenye Danger ya Fid q.
Bt nikujuze hivi. Sanaa ni fasihi, na fasihi hutokana na kuona, kusikia, kutunga, n.k ili kujenga maudhui ya nyimbo na kazi ya fasihi. Pia jua, hakuna ambacho ni kipya vyote , so mtu akisoma vitabu, kusikia, na kuweza kufanya mseto wa hoja hizo kwa misemo, vina kwa Lugha yake nayo ni sanaaaa.
Big up fid, umeanz kitambo ku make hits na stil unatengeneza hits.
hahahahahahahaha....naona ndo umepata "mzuka" mtu mzima!.....ila jisome tena,utagundua hoja yako isivyo na mashiko!...ni hilo tu!