Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Yeriko my Ass!!Anatafuta nae njia ya kutoka kwa kumwandiko Lowassa asiyejua hata kama kuna Pimbi anaitwa yeriko.
Mwenzio Lowassa si saizi yako na huwa halawiti angekuwa mwanaume wa ovyo ungekuta ushashughulikiwa mara mia
 
Last edited by a moderator:
Yeriko nakushauri uwe unatumia akili wakati mwingine. Ina maana huna kazi mkuu? Kwani Lowassa anahusiana nini na agizo la serikali?!
Unajishusha sana mkuu. Labda unijibu, waendesha bodaboda wanaenda posta kutazama vimini?? Haya ni mawazo ya kipuuzi kabisa!! Katika ukoo wa Nyerere, hawezitokea mtu kama wewe. Bila shaka huna uhusiano wowote na akina Nyerere!! Your ideas can proof this and I'm confident with my coments.
Kwa msaada zaidi, hii ndiyo profile ya Yericko Nyerere.
Wale mliotaka kunifahamu mimii ni nani hasa? Ninawajibu rasmi!
Naitwa: Yericko Yohanesy Nyerere
Mahali nilipozaliwa: Nyololo, Mufindi, Iringa.
Kabila: Ni Mhehe,
Baba yangu: Yohanes Msambila Nyerere, (marehemu)
Mama yangu: Venancia Geremias Mgimwa,
Elimu: Muhandisi wa Umeme na Compyuta kutoka Chuo cha Beijing Information Technology College China (BITC)

Kazi: Mfanyabiahara, Mwenyekiti Mtendaji wa Umoja wa Makampuni ya YECCO GROUP LTD yanayojishughulisha na Ujenzi wa Majengo, Ujenzi wa Mabarabara, Umeme, Teknohama, Uwakala wa Usafirishaji, Uwekezaji katika Majengo, na Usanifu na Ukadiriaji Majenzi
Kuishi: Kigamboni Mbutu,
Nina mke mmoja na watoto wa wili ambao ni Che-Lee na Su-Yang

NB:
Mimi sina UNDUGU na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, lakini chimbuko la Babu yake na Babu yangu Mzee Msambila Kihulo Lihangawike Nyerere "inasemekana" alikuwa ni wa kaskazini mwa Tanzania!

Yericko Nyerere akiwa kazini.

190472_208842835794290_7369612_n.jpg

198151_208841859127721_407456_n.jpg
 
Sasa nimefahamu ni mtu wa aina gani...hawa huwa wana ndoto za uongozi kwa kuchafua wengine bila ya kupima matamshi yao
 
Yeriko my Ass!!Anatafuta nae njia ya kutoka kwa kumwandiko Lowassa asiyejua hata kama kuna Pimbi anaitwa yeriko.
Mwenzio Lowassa si saizi yako na huwa halawiti angekuwa mwanaume wa ovyo ungekuta ushashughulikiwa mara mia

Mnamuangusha sana huyo Lowasa wenu, kama kweli mnandoto nae za kwenda sijui ikulu, basi mngekuwa mnajenga hoja za kumtetea kuliko matusi hivi, hapo mbampoteza kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Kwa msaada zaidi, hii ndiyo profile ya Yericko Nyerere.


Yericko Nyerere akiwa kazini.

190472_208842835794290_7369612_n.jpg

198151_208841859127721_407456_n.jpg

Yes MwanaDiwani hujakosea, huo ndio wasifu wangu kwa ufupi, na hizo ndio picha zangu nikiwajibika kazini, mimi sio mtu wakushinda ofisini na matai tu, nimesoma Asia ya Mashariki ya Mbali ambako kazi ndio uti wa mgongo wa bosi yeyote, sio kuagiza tu watu wafanye kazi bila wewe kuvaa ovaroli na kushika tope,
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimefahamu ni mtu wa aina gani...hawa huwa wana ndoto za uongozi kwa kuchafua wengine bila ya kupima matamshi yao

Sijawahi kufikiria kuwa kiongozi wa kisiasa katika maisha yangu, labda siku za usoni kadiri uzee unavyonikaribia!
 
Yote kwayote.naomba yeyote anayempenda lowasa aje hapa atueleze akiwa kama waziri mkuu alilifanyia nini taifa!maendeleo gani alileta mpaka akumbukwe na kupendwa?
 
Yote kwayote.naomba yeyote anayempenda lowasa aje hapa atueleze akiwa kama waziri mkuu alilifanyia nini taifa!maendeleo gani alileta mpaka akumbukwe na kupendwa?
 
sijui umevuta bangi ya wapi ndugu yangu na akija kuwa rais sijui utasema nini wewe ushauli punguza bangi kunywa serengeti
 
You are a real devil. How could you wish him to die? He is a human like you. Are you an angel from heaven that you are clean like a snow in the mountains? Shame on you and your cursed blood,eyes,brain, and the fingers typed stupid words like this.
Kiuchumi na maendeleo ya jiji la dar si busara bodaboda kuingia katikati ya mji wa kibiashara. Huko ulaya kuna miji na mitaa imeendelea kiasi ni aina fulani ya magari yanatakiwa tu kuingia mjini tena kwa kulipia ushuru. Hili la bodaboda halina siasa.
Ila kwa kujali uwezo wa wananchi serikali haina budi kutenga barabara za bodaboda tu na maeneo ya kufika. Hilo tuwaachie watendaji na hapo siasa haiingii kabisa.
Tatizo waandishi wetu wa TZ mmesoma journalism tu bila kuwa na profession yeyote. Hamuwezi hata kufanya uchambuzi wa kiuchumi wa faida na athari za bodaboda. Lowassa kuchangia bodaboda ni jambo moja, kukosekana kwa barabara ni jambo lingine ambalo wizara husika inapaswa kuliangalia. Madereva kutokuwa na leseni ulitaka LOWASA awe traffic awakague wasipate ajali. Wapo wahusika wanajua kukamata magari tu na kungangania leseni bila kuwakagua vijana hawa wa bodaboda.
Mbona husemi kwanini soko la Korosho ulaya ni la WAHINDI TU, ukiibeba wewe ukaenda kuuza utarudi nayo?
mbona husemi soko la Kahawa ni la Makampuni machache tu?
Mbona husemi wakulima wa Tumbaku wanavyonyanyasika kwa kulipwa kwa dola na mikopo migumu ya pembejeo?
Mbona husemi wakulima wa Pamba kwanini waweke mawe ili iwe nzito? Unajua wananyonywaje?
Mbona husemi milima yenye madini inauzwa kinyemela bila kijiji kutambua hadi wamchome mwekezaji..tena mauzo yanafanyikia hapo dar? Mnaangalia milima kwenye google earth na kuiuza as if hamna wamiliki?
Mbona husemi TANZANIA ndio inaongoza kwa kulima Maua ila dunia inatambua yanatoka KENYA? Ongezea na madini ya TANZANITE.

Mbona husemi serikali inamiliki Ranchi ngapi za ngombe kanda ya kati ila hatuna KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA?

Mbona husemi toka LOWASA ALIPOACHA KUCHANGISHA shule za kata hatujaona kiongozi mwingine akiangaika nazo?

Zabibu ya dodoma ndio bora ulimwenguni....unajua wananchi wenzangu wanatesekaje?hawaoni faida kila iitwapo leo.ISRAEL inamiliki shamba dodoma unajua hilo?

MWAKANI PESA ITAKOSA THAMANI SERIKALI INAGAWA MAMBUMBA dodoma, itagawa kwenye uchaguzi. Hujui maana ya MWIGULU ni PRINT MORE MONEY?

Mkuu, chukua mada hizo uandike. Wewe ni mwanafunzi wangu kuanzia leo.
TUACHE MBUMBUMBU TUIPENDE NCHI YETU. LOWASA NI JEMBE.
 
Muonee huruma huyo mzee jamani mi naisubiri kwa hamu 2015 nione nani bingwa kwa kumuibia mwenzie kuraaa
 
Mnamuangusha sana huyo Lowasa wenu, kama kweli mnandoto nae za kwenda sijui ikulu, basi mngekuwa mnajenga hoja za kumtetea kuliko matusi hivi, hapo mbampoteza kabisaaa

Pumbafu weye utumbo hujibiwa na utumbo kweli wewe umelaaniwa hata mwili wako umesinyaa kwa choyo na husuda
 
Yote kwayote.naomba yeyote anayempenda lowasa aje hapa atueleze akiwa kama waziri mkuu alilifanyia nini taifa!maendeleo gani alileta mpaka akumbukwe na kupendwa?

Nenda kagoogle
 
Huyu hajui Siasa,anaongozwa na matukio,,na Magazeti,,,umaarufu hautafutwi kihivo we mnywa Gongo
 
Kwa msaada zaidi, hii ndiyo profile ya Yericko Nyerere.


Yericko Nyerere akiwa kazini.

190472_208842835794290_7369612_n.jpg

198151_208841859127721_407456_n.jpg


Hapa ulifanya makusudi au uliazima koti na helmet tu kutuzuga uko kikazi zaidi Mr Engineer?? Naamini wewe umesoma hiyo fani na kitu cha kwanza kabisa huwa ni SAFETY. Sasa nikicheki chini una moka ya kanisani halafu unadai uko site. Kweli??? Safety boots wapi? Au kampuni bado ndogo mnaenda site na moka??
 
Back
Top Bottom