Jamani.. Jamani, serikali imeanza kutumia RANGE ROVER VOGUE kama STK..!?

STK=Serikali Tajiri Kupindukia

Ndio maana wanatumia magari ya gharama kupindukia.
 
Nami nilishaiona moja hapa DSM, CHEZEA kasungura wewe
 
Patient invoice.JPGPatient invoice.JPG
 
hii mashine mbona ya siku nyingi tu.....mi niliwahi kutana nayo mitaa ya kimara tukaongozana nayo hadi UDSM
 
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..

Mkuu unashangaa nini wakati watawala wa serikali hii wanashasema hawajui kwa nini Tanzania ni masikini? Nchi isiyo watawala makini na vipaumbele matokeo yake ni hayo.
 
Kumbe Tanzania ni tajiri hivi?? sasa mbona tunadaiwa deni kubwa sana?
 
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..

Hiyo ndiyo SERIKALI YA TANZANIA KIKWETE = STK raha tupuuuuuuu
 
Kama salma tu alipandishwa ndege ya serikali kwenda kwenye NGO yake musoma na pilot alikuwa akiwasiliana kwa call sign (FIRST LADY ON BODY) na alpofka musoma alpokewa na magari ya serikal yaliyobadilishwa plate number. sasa usishangae ukikuta Ridh1 ndo kanunuliwa hlo vogue laku dhurulia kwenda kupanga mipango ya utekaji,kung*oa kucha na meno.
 
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..

I am sure hili gari ni la watu wa usalama kila siku around saa kumi na mbili na nusu asubuhi hutoka kwa wazee wa kung'oa kucha pale makumbusho na kuelekea oysterbay. Nimeiona mara kadhaa ikiwa na namba tofauti lakini dereve yule yule. Walivyo wapuuzi plate number mara nyingi wanaegesha tu juu ya nyingine labda uvivu wa kufungua funga na mtu mdadisi ataNotice tu kuwa siyo.. Kama namba sio STK huwa na B.. something sikumbuki vizuri.
 
Ww unadhani bilion 620 zilienda wapi? Eti vogu amabayo haizidi hata milion 250. LOH
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom