Fid Q, How do you explain this brother?

Fid Q, How do you explain this brother?

Huwa napenda kusikiliza watu wazima from time to time ili kupata picha time yao walikuwa wanafikiria nini. Juzi ilikuwa zamu ya Babu KRS One. Kwenye album yake 'I Got Next' ana track inaitwa 'A friend', dope track si uongo. Nimeiskiliza kama mara 3/4/5 hivi, nikakumbuka our very own..Fid Q ana track inaitwa 'sihitaji marafiki', kwa bahati mbaya sijawahi kuiskiliza mpaka sasa, ila nilishawahi kuona episode moja ya Mkasi Jamaa akiielezea. Knowing Fid Q, nikaingia Tzhiphop na kucheki lyrics, na kulinganisha na track ya Teacha. Nimegundua Jamaa ka-copy concept, baadhi ya mistari na maneno pia, japo kayafanyia sanaa kidogo.

'True friends are quick to sit
in the beginning of all trouble, and when your bankroll doubles/ - Teacha
Vs
Kupata washkaji ukiwa na pesa ni rahisi, Kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi/ -
Fid

'Cause don't nobody care about us, all they do is doubt us/
Until we blow the spot then they all wanna crowd us,
and wanna shout us/
but you my man from way back' -
Teacha
vs
'sihitaji urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa..
upishwe useat kwenye bar,upewe beat na Jr../
kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid ni underground' - Fid

'/I'm not a yes man and none of my friends are yes men
or women/' - Teacha
Vs
'sikia fidq anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/'- Fid

'Whether at the bar with superstars'- Teacha
Vs
'sihitaji
urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa..
upishwe useat
kwenye bar,' - Fid

Kuna lines kadhaa pia za Rappers wengine humo ndani, mojawapo ni ya Biggie Smallz
'Girls used to diss me, now they write letters coz they miss me'
Vs
'Siku hizi mademu wanaoni-miss ni walioni-diss'

images

Fid Q, Fraud Q or Fake Q??

Screen-Shot-2014-11-09-at-2.25.14-PM.png

Teacha Huyu hapa, msikilize mwenyewe halafu linganisha na ngoma ya Fid hapa chini.

Ukiwaambia watu fid q kopikat wannajifanya wanajua haya sasa yako wp
 
Last edited by a moderator:
Mfalme halisi ni nani?

Ukiongelea real Hip hop kwa sasa mfalme ni Nash Mc hakuna mwingine. Farid amekuwa namuona, anaanza kuandika namuona, anaanza kukopi quotes kutoka malenga na vitabu vya mnara wa mlinzi namuona. Anapanda jukwaani mara ya kwanza namuona. Hivyo ukimuita mfalme lazima nikushangae. Faridi humjuih hata kidogo hilo am sure. Kuwa mwanahiphop unatakiwa usidanganye maisha unayoishi na jamaa yako anaenda kinyume kabisa..
 
Lengo la hii ni uzi nn? Hakuna kitu utasema hapa dunian kiwe hakijasemwa kabla.
 
teh teh teh teh...hii mada ya u-'feki' wa Fid ishafungwa mana imeshindwa kuthibitishwa!
Kukusaidia kwenye 'sahihisho' lako,mi nlkuwa naongelea 1990 just to be exact,hapo Fid ana kama miaka 7 tu,of course alikuwa bado anakamua maziwa kwao huko usukumani,hajui rap ni nini na hajaanza kurap!
Asante.

Unaposema 90's ni tofauti sana na unaposema 1990 kama umepita darasani nadhani utaelewa hapa umejikanyaga. Kingine Faridi hakuwa na miaka 7 1990 hapa umekurupuka rudi kwenye chanzo chako cha taarifa. Faridi yuko kwenye mid thirties haiwezekani 1990 akawa 7 years. Faridi hajui wala hajawahi kukamua ng'ombe kazaliwa uswahilini mwanza na kukulia kata ya mirongo. Go back to the drawing board.
 
teh teh teh teh.....nimechagua tu kukuPUUZA!
 
Ukiongelea real Hip hop kwa sasa mfalme ni Nash Mc hakuna mwingine. Farid amekuwa namuona, anaanza kuandika namuona, anaanza kukopi quotes kutoka malenga na vitabu vya mnara wa mlinzi namuona. Anapanda jukwaani mara ya kwanza namuona. Hivyo ukimuita mfalme lazima nikushangae. Faridi humjuih hata kidogo hilo am sure. Kuwa mwanahiphop unatakiwa usidanganye maisha unayoishi na jamaa yako anaenda kinyume kabisa..

Naaaash Mceeee...!? we jamaa umelewa wewe... of all Mcees bongo nasha mceeeee....!? khaaa
 
Hata viongozi wa Chadema wanacopy speech ya Martin Luther King. Mfano kile kibwagizo cha... '' Hundred year later...... Mbowe anasema.. "Miaka 50 ya uhuru..."

Bongo kila mtu anacopy tu ! Sikiliza wachungaji, wanasiasa, mapresenta wa radio, tv shows nk ndo utadata mkuu
 
Huwa napenda kusikiliza watu wazima from time to time ili kupata picha time yao walikuwa wanafikiria nini. Juzi ilikuwa zamu ya Babu KRS One. Kwenye album yake 'I Got Next' ana track inaitwa 'A friend', dope track si uongo. Nimeiskiliza kama mara 3/4/5 hivi, nikakumbuka our very own..Fid Q ana track inaitwa 'sihitaji marafiki', kwa bahati mbaya sijawahi kuiskiliza mpaka sasa, ila nilishawahi kuona episode moja ya Mkasi Jamaa akiielezea. Knowing Fid Q, nikaingia Tzhiphop na kucheki lyrics, na kulinganisha na track ya Teacha. Nimegundua Jamaa ka-copy concept, baadhi ya mistari na maneno pia, japo kayafanyia sanaa kidogo.

'True friends are quick to sit
in the beginning of all trouble, and when your bankroll doubles/ - Teacha
Vs
Kupata washkaji ukiwa na pesa ni rahisi, Kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi/ -
Fid

'Cause don't nobody care about us, all they do is doubt us/
Until we blow the spot then they all wanna crowd us,
and wanna shout us/
but you my man from way back' -
Teacha
vs
'sihitaji urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa..
upishwe useat kwenye bar,upewe beat na Jr../
kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid ni underground' - Fid

'/I'm not a yes man and none of my friends are yes men
or women/' - Teacha
Vs
'sikia fidq anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/'- Fid

'Whether at the bar with superstars'- Teacha
Vs
'sihitaji
urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa..
upishwe useat
kwenye bar,' - Fid

Kuna lines kadhaa pia za Rappers wengine humo ndani, mojawapo ni ya Biggie Smallz
'Girls used to diss me, now they write letters coz they miss me'
Vs
'Siku hizi mademu wanaoni-miss ni walioni-diss'

images

Fid Q, Fraud Q or Fake Q??

Screen-Shot-2014-11-09-at-2.25.14-PM.png

Teacha Huyu hapa, msikilize mwenyewe halafu linganisha na ngoma ya Fid hapa chini.

Niliamini mapene hayatoshi..na niki-hustle siyakosi/
Sababu.. sipo kwenye loss na life simple huwa hai-cost/
Kwahivyo nikaenda Dar na treni... of thoughts../
Sikwenda kuzubaa au kushangaa nikusaka chapaa boss/
Sikutaka kuivaa mikosi..nilitaKa kuivaa mikoti/
Sikuwa na passport..password.. pin..lakini ni crack codes/
Walionisapoti wote siwaoni kwa line/
Wakini-approach ili nifungue pochi ya noti tu-shine..hatuko fine/
Je mimi ni kaka mubaya...? kaka aso haya../
KAKA..? huniitaga NAKAAYA/
Mama C huniita brother bila shaka.. Mozaya/
Niko sick & tired of being sick & tired/
Na huu ni mwaka wa ndui/ Sitaki upele urudi tena.. mnachotaka sikijui/
Nashukuru hamtopata mbawa ikiwa mtaupata huo uchui/
Mnautaka uadui? mnayempaka ni mtata.. makaka hamkui?
Mmeendekeza hila.. legeza hasira za harakati/
Mie nita-ball.... hata kwa mpira wa makaratasi/
Unaweza ukahisi mie napita tu.. kwakusahau mie nina-hustle/
Nimezaliwa Afrika.. ugumu wa maisha umenifunza ku-struggle/
Ukiwa idle.. unamu-attract shaytwan (SHETANI)/
Kichwani nina MSAHAFU na BIBLE.. life ni zaidi ya ku-have fun/
Kwani.. Kila kicheche anajiona ni mzima/
Na njia pekee ya kuepuka ngoma ni kugoma kupima/
Ikiwa maujuzi haya hayakugusi.. itanilazimu nikuelewe/
Sometimes hata kamusi.. huimiss tafsiri yenyewe/
Nalindwa na dua za mama.. tangu baba simjui/
Namfanya adui mwenye njama aache drama na akue/
Ili ajijue kabla hajakwama huko mrama asitue/
Ajikwamue kwenye lawama.. yenye maana yamchukue/
Kisha anaiombee mimi ili nifaidike kwa hizi mbio/
Siamini kwenye umasikini hivyo sihofii mafanikio/
Ndiyo.. mie ni LEO kwahiyo sifikirii kushindwa/
Zingatia kauli hiyo hausikii inaashiria ubingwa?/
Mie ni mbishi.. muulize Nikki - hatopinga/
Na hata kama ningekua mbuzi ningelala chaka la simba..
 
Last edited by a moderator:

Brother brother, "Jamaa ka-copy concept, baadhi ya mistari na maneno pia, japo kayafanyia sanaa kidogo." Nimeweka lines ambazo Fid ka-copy na kutafsiri, kama nimetafsiri sivyo hebu tafsiri na wewe kwa mtazamo wako halafu tupime man. Ngoja nikuongezee na mingine hapa chini:

"A friend can acquire the taste to become two-faced" - Teacha
vs
"Hakuna adui mbaya kama rafiki yako mwenyewe ambaye hajui kama yuko nawe au yuko kinyume na wewe"- Fid

"I can trust you with my girl, my man"- Teacha
vs
"Unakula nao happy leo, kesho wanamtaka mkeo"- Fid

Zifanyie kazi halafu badae twende sawa man, na kama bado kuna more doubts kwamba Jamaa ni wack, tunaweza kuanza kuchambua na lines za ngoma nyingine ambazo zinadhirisha wazi u-kiazi, na sijawahi zigusia kabisa just to spare the man here.

Mkuu this is not fair at all
Unachoofanya wewe ni kutafuta mistari ya kuunga unga na kuifanyia tafsiri zako kuoanisha na mistari ya Ngosha

Anachofanya Ngosha ni kutumia mistari maarufu yenye misamiati ambayo kwa hali ya kawaida lazima itakuwa imetumika sana
 
Bro, Fid humo ka-bite 100%, sio mstari, sio neno tu. In-short, katafsiri. Haina tofauti na alichowahi kufanya Ngwair kwenye ngoma ya Marques Houston 'Clubbin'. At-least Ngwair was just having fun, and he was honest about it.
 
Who the hell is Nas...Same Cat who claimed Rockefeller died of Aids, and that it was the end of his chapter?

Who the hell is Nas...Same Cat that promised Quan was gon' rep his life to the fullest through rhymes. Where the hell is Quan?

Who the hell is Nas...Same Cat that blasted Jigga-man so hard, only later to kiss his butt to survive in the game?

Who the hell is Nas... Same Cat that claimed he could help you if you wanna ball til you fall, but can't help himself do so?

Who the hell is Nas...Same Cat that faked he was gutter to fit in and sell albums.

Why should i pay attention to whatever the hell Nas says, if he ain't so sure of it himself??

Who the hell are you dissing the best hip hop icon like Nas who still keeping it real in the game? ??? Come on man you can't underrate Escober like that.
 
Who the hell are you dissing the best hip hop icon like Nas who still keeping it real in the game? ??? Come on man you can't underrate Escober like that.

I ain't dissed no one man, I just stated the facts.
 
Back
Top Bottom