Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

La hasha..hilo sio dhumuni langu. Nia yangu ni kupinga upotoshaji UMMa kwa taarifa au habari zisizo na ukweli. Hizo taarifa ulizonazo za uhakika una haki ya kimsingi na kikatiba kunyamaza au kukaa kimya. Ila tusichafue majina ya watu bila kuwa na ukweli kuhusu muhusika. Tunajengeana chuki tu Watanzania zisizo na maana.

kwa jinsi unavyokomaa nnaona kama vile unajitetea? au kutaka kujisafisha
 
Kama sijui nini sasa? Mimi huwa sikuRupuki. Nimechangia hii thread kwa kuwa naifahamu au kumfahamu LUGUMI. Hayo ya Bakhresa unayajua wewe...mimi nilitoa mfano tu. Kwa hiyo wewe Kwa akili yako timamu Kama mtu anamiliki Mali au Ghorofa na amechoka atakuwa anatumiwa na watu sio!!??? Duuuuuuuuh:shocked:!!!! Kweli wabongo tuna safari Ndefu bado. Mmeshazoea kuona mtu akiwa na vishilingi vya kula kavaa mipete na micheni ya dhahabu na ufahari mwingiiii. Kuna watu wana hela zao wametulia mkuu,ndio Kama hao unaosema hawasomeki.

Kumfahamu LUGUMI haimaanishi ndio unajua jinsi alivyopata mali zake,Siri anayo yeye mwenyewe mimi na wewe hakuna anayejua.
 
Lugumi ni kampuni ya kijana mmoja Msukuma wa Magu, amepambana na maisha na sasa Mungu amembariki. Tumuache afaidi matunda ya kazi yake ni haki yake kama mtanzania yoyote kutumia fursa zilizopo nchini.

Tuache kuzusha mambo tusiyoyajua ok.
 
kwa jinsi unavyokomaa nnaona kama vile unajitetea? au kutaka kujisafisha
Hayo ni mawazo yako binafsi na una uhuru wa kikatiba na kimsingi kuyatapika Kama yalivyo. Asante.
 
Kama haujui kaa kimya nani alikwambia mali za Bakhresa zote zake? stuka wewe!! Unalijua lile ghorofa la Fire pale karibia na yard? Ukimcheck mwenyewe amechoka kinoma,nikamuuliza ndugu yake inakuwaje ndugu yako ana mali hivi lakini hasomeki akaniambia kaka we acha tu,sio lake kiini macho tu yeye....wenyewe wapo!!! Riz1 anakaba kila kona huyu dogo kuanzia kuzoa taka ECO hadi kuua sisimizi LUGUMI

Jamani mnazidi m,no kumpa biashara nyingi huyu mtoto- ECO ni ya Masha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani
 
We huyo mtu mwenye hiyo kampuni anaitwa Said Lugumi kwao ni Magu Mwanza na ni mzawa kaanza zamani na biashara zake na katusua! Kaanza hata kabla ya huyo Ridhiwani hajaanza chuo .. Fanya utafiti

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kuna tenda aliyopata Riziwani kusafirisha mafuta kwenda Zambia kwa miaka mitano wakati wa ukarabati wa bomba la TAZAMA. Akiimaliza salama dogo atatisha Sana, mademu wote wazuri duniani atawala kudadeki. Hizi hela ndogo za fumigation sidhani kama atashoboka nazo.
 
We Misa pamoja na jina zuri lakini unaongea kama mlango wa kanisa huujui......acha kujifanya kiziwi....

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Lugumi ni kampuni ya kijana mmoja Msukuma wa Magu, amepambana na maisha na sasa Mungu amembariki. Tumuache afaidi matunda ya kazi yake ni haki yake kama mtanzania yoyote kutumia fursa zilizopo nchini.

Tuache kuzusha mambo tusiyoyajua ok.

Labda tuwekane sawa hapa wazee. Nilikuwa naukodolea macho uzi lakini kutokana na comment yako imebidi nichangie tu.. Kwanza kabisa Side Lugumi aka Bilionea hajawahi kuwa mpambanaji kihalali hivyo hicho cheo mvue.

Saidi namfahamu toka Mwanza miaka ile akiwa mesenja kwenye kampuni ya Amrani Batenga. Kijiwe chake kilikuwa cha mamisheni town wa mwanza jengo la Atc pale chini. Saidi alikuwa anatumwa tu nenda hapa fanya hivi peleka huu mzigo kule kachukue hiki pale nk. Kiukweli jamaa alikuwa loyal kwa jamaa Amrani mpaka akaanza kutumwa mzigo nje ya mkoa na hata nje ya nchi kama Uganda. Mpaka hapa inabidi uelewe kuwa jamaa ni std 7 tu na sio zaidi ya hapo. Kwa waliofanya nae biashara hasa hapa dar watakuwa wanalielewa hili jamaa hajiamini kabisa dili yoyote yeye anahisi kupigwa la macho tu. Miaka ya 2000 Side alipotelea Kigoma baada ya kumpata mama mtu mzima aliyekuwa anafanya kazi kwenye mashirika kama sikosei ya UN. Kwa kifupi mr PUNKY shujaa wako Side alikuwa MARIOOO akiwa huko kigoma. Mchizi ndipo alipotokea huko maana jamaa tayari alikuwa na uzoefu wa mambo ya supplies ya vitu mbali mbali toka akiwa mwanza. Side kapiga dili kibao za supplies kwenye mikoa ya juu huko hasa kigoma kwenye mashirika ya maana kwa mkono wa mama. Huko ndio alikoanza kushika hela.
Side ana ugonjwa kama wasukuma wengine wengi tu ambao ni mabinti hasa weupe. Habari kutoka chanzo cha uhakika mama alishindwa tabia za Saidi walitemana.

Side alikuwa keshakichanga cha maana tu ndio akahamia Dar na wengi wamemjulia Saidi Dar background info yake wanaoijua ni kwa wachache hasa watoto wa mjini wa amwanza.

KUYATOA MAISHA

Saidi alisonteshwa na nani sijui mtoto wa IGP hapa ntakuwa muongo sijui ila kwa kifupi ilikuwa ni taarifa za mstuko wa kweli. Baada ya kuoa kwa Mwema ndio network ya kujuana na watu kama Riz na wengineo akaipatia hapo na uBilionea ukaanzia hapo. Ila kwa kifupi

1. Lugumi ni kampuni ya Saidi na si Ridhwani. Ridhwani anaitumia tu kama uchochoro wa kupata tenda na kuvuta chake simply because the guy is loyal na shule hana. Ni rahisi kutumia mtu ambae hajasoma he can be the puppet wewe ukawa puppet master unavuta tu strings.

2. Kwa taarifa tu mwenye pesa nyingi inayopitia kwa Side ni mke wa Mwamunyange na si Riz kama wengi wanavyofikiria. Mke wa Mwamunyange thru saidi wanaSupply pingu,boots, fummigation services,batons na mazaga kibao polisi na jeshini thru Lugumi kwa backup ya mume wake (wajanja wa mjini hili wanalifahamu).

3. Saidi ni kweli pesa anayo ila ndiyo hivyo mambo yakibadilika huko mbeleni yeye ndio scape goat na kwenye hilo hawezi kuchomoka riz na mrs mwamunyange there are just ghosts hawaja Appear kwenye paper work yoyote.

Hivyo wandugu mtu kama B.G TANTAWI wakiuliza mambo kama haya sio kama wana wivu wa kike bali ni wazalendo na wameamua kuhoji nchi yao ikitafunwa. Hii nchi inatafunwa kwelikweli na ndio maana huenda hata watoto wako we ulisema jamaa ana wivu wa kike hawana vitabu shuleni au madawati lakini badala ya kuhoji unapiga vijembe. Aisee mpaka bia yangu imepoa sasa..

Mapanya buku yanatafuna waya wa kupeleka power kwenye CPU ya nchi watu wanaponda wivu wa kike ebooooooo!
 
umemaliza kila kitu mkuu!safi sana kwa maelezo yako endelea kupata moja baridiiii
 
Mkuu Tantawi,
Mimi sina haja ya kufanya utafiti. Ukitaka kumjua Huyo LUGUMI ni nani kamuulize Ngeleja au Vijana wake.
Huwa sikurupuki mkuu....huwa sipendi mnaoleta habari za vijiweni kwenye mambo ya msingi na kutikisa hisia za Watanzania wakereketwa. Ridhiwani Kama MTANZANIA yeyote ana Haki ya Kikatiba na kimsingi kuwa na kampuni au biashara yoyote ili mradi amezingatia na kufuata kanuni na sheria za nchi. Unaposema LUGUMI ni ya Ridhiwani ni sawa na Kusema AZAM ni ya Manji Ila kawaweka Bakhresa na watoto wake wazuge tu...Doesn't make sense whatsoever :A S-confused1:

Alichokosea huyo msukuma mwenzio, ni kutumia ukaribu wake na Riz kama kigezo cha kuombea tenda hapo ndio lazima tuseme tatizo liko wapi kusema?

Mara ya kwanza kuwasikia hawa lugumi ni kwenye tenda ya wzr ya mambo ya ndani(nadhani ndio iiliyowatoa).

Baada ya hapao nikawasikia pale chuo cha uhasibu arusha(pamoja na kwamba inawezekana kazi waliilamba kihalali yalisemwa mengi kuwa ni mgongo wa Riz umetumika)

Lakini biashara kama biashara ina dhambi gani kama ni halal na inafanywa na mwadhama pol. Pengo?
 
Tobaaaaa :shocked:...
Haya Asante mkuu umesomeka.
 
Mkuu Tantawi,
Mimi sina haja ya kufanya utafiti. Ukitaka kumjua Huyo LUGUMI ni nani kamuulize Ngeleja au Vijana wake.
Huwa sikurupuki mkuu....huwa sipendi mnaoleta habari za vijiweni kwenye mambo ya msingi na kutikisa hisia za Watanzania wakereketwa. Ridhiwani Kama MTANZANIA yeyote ana Haki ya Kikatiba na kimsingi kuwa na kampuni au biashara yoyote ili mradi amezingatia na kufuata kanuni na sheria za nchi. Unaposema LUGUMI ni ya Ridhiwani ni sawa na Kusema AZAM ni ya Manji Ila kawaweka Bakhresa na watoto wake wazuge tu...Doesn't make sense whatsoever :A S-confused1:

Kwani wewe kwa akili yako unaamini kama LAMADA ya pale Ilala ni ya yule Msukuma mwenye Imalaseko?
 
Kama haujui kaa kimya nani alikwambia mali za Bakhresa zote zake? stuka wewe!! Unalijua lile ghorofa la Fire pale karibia na yard? Ukimcheck mwenyewe amechoka kinoma,nikamuuliza ndugu yake inakuwaje ndugu yako ana mali hivi lakini hasomeki akaniambia kaka we acha tu,sio lake kiini macho tu yeye....wenyewe wapo!!! Riz1 anakaba kila kona huyu dogo kuanzia kuzoa taka ECO hadi kuua sisimizi LUGUMI
kingkongIII amenichekesha sana katika hiyo nyekundu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom