Fid Q, How do you explain this brother?

Fid Q, How do you explain this brother?

teh teh teh teh...gundi zishaanza!hahahahahahaha...tuanze sasa....kabla ya kujibu hiki,declare kwamba ndio kilichokufanya uondoe heshima aliojijengea Fid,kama ulivyosema kwenye para ya kwanza?
Declare ili upigwe mawio hadi machweo,son!
 
Yes, hiyo ni moja ya sababu nimemshusha vyeo, ana-copy mpaka ambavyo havistahili, ushahidi huo hapo juu
 
Yes, hiyo ni moja ya sababu nimemshusha vyeo, ana-copy mpaka ambavyo havistahili, ushahidi huo hapo juu

teh teh teh teh..em nambie kwanza maana ya 'Propaganda'..afu unambie aliekwambia Fid anaandika ngoma kwa hadhira ya Tanzania PEKEE nani?.tuanzie hapo
 
Afu unawajua Washirika Tanzania Stars?!...wao wanaimba dansi,ila waliimba nyimbo Afunguliwe Mandela back in the 90's,wakati Fid hajajua hata Rap ni nini!(nahisi alikuwa bado anakamua ng'ombe maziwa Mwanza)..je na wao waliwaiga G-Rappers wa Marekani?
 
teh teh teh teh..em nambie kwanza maana ya 'Propaganda'..afu unambie aliekwambia Fid anaandika ngoma kwa hadhira ya Tanzania PEKEE nani?.tuanzie hapo

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/101485-hizi-ni-propaganda-lyrics-fid-q.html
Lyrics hizo hapo, hebu soma labda utaelewa anafanya kwa hadhira ipi.

Afu unawajua Washirika Tanzania Stars?!...wao wanaimba dansi,ila waliimba nyimbo Afunguliwe Mandela back in the 90's,wakati Fid hajajua hata Rap ni nini!(nahisi alikuwa bado anakamua ng'ombe maziwa Mwanza)..je na wao waliwaiga G-Rappers wa Marekani?

Mandela aliua sio? Bro, umesoma na kuelewa nilichokiandika kweli?
 
we mgumu sana kuelewa!...kwahiyo unataka hiyo ngoma iko confined na mazingira ya kibongo PEKEE?!teh teh teh...afu mwenyewe umekiri "ziliibuka "story" POLISI WANASAPOTI GANGSTA RAP,Fid kukwambia hizo ni PROPAGANDA unakuja kumdiss wakati umekiri zilikuwa "story" jombaa?!
 
Afu skia son,nani alokwambia harakati za kutaka watu waachiwe toka mikononi mwa vyombo vya dola zilianzia marekani?.....usinambie una tatizo na matumizi ya neno "Free".as used by Fid aisee useme eti kakopi!hiyo itakuwa NONSENSE!
 
Dah paulo hiyo ndo dossier uliyoandaa?
Hivi unajua huyo Casto ponera alishatoka jela??

Kuna wasanii wangapi wameimba kuhusu babu seya!!
 
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/101485-hizi-ni-propaganda-lyrics-fid-q.html
Lyrics hizo hapo, hebu soma labda utaelewa anafanya kwa hadhira ipi.

Mandela aliua sio? Bro, umesoma na kuelewa nilichokiandika kweli?

Kwa hiyo Wewe ulitaka Fid q as I express feeling zake kwa mtu aliyemsaidia kisa yupo jela?

Unajua kwa undani nini kilipelekea kifo cha Steve 2k??

Na unajua alifungwa( Castro) kwa manslaughter na sio murder ndo maana hadi Sasa Castro yupo kitaa!!

Wewe huwezi Ku_plea mchizi wako aachiwe toka jela??

Unafeli sana broh
 
kama umesoma fresh nilichokiandika, utaona nilikiri wazi kutofahamu undani wa hiyo zaidi ya fact kwamba mchizi aliua, so hayo maswali umeniuliza sikusomi kabisa.

Manslaughter or not, the man took away a life. At the time hiyo track inatoka Jamaa alikuwa anatumikia adhabu yake, saying those supposedly supporting words Fid said, is simply insults to justice and the family who lost their loved one + its morally wrong. Kuna situations/cases unaweza ku-support publicly namna ile, na kuna za kupiga kimya na kumuonyesha hiyo support mhusika mwenyewe.

Umegusia Babu Seya na support iliyoonyeshwa kwake, that's a whole different case ma'man. Hiyo kesi imezungukwa na mizengwe kibao ambayo sitaki kuizungumzia, but hazifanani kabisa, Castro's was a straight one.
 
Afu skia son,nani alokwambia harakati za kutaka watu waachiwe toka mikononi mwa vyombo vya dola zilianzia marekani?.....usinambie una tatizo na matumizi ya neno "Free".as used by Fid aisee useme eti kakopi!hiyo itakuwa NONSENSE!

Tunazungumzia rap hapa mtu mzima, mind the context please. And, i'm officially done arguing with you brother, you're officially a typical JF 'great thinker'. Nimenawa mikono bro. Peace!
 
Fid Q is a FRAUD.. Ni bingwa wa kutafsiri nyimbo na kazi za sanaa za watu wengine na kuzifanya zake. 99 Percent ya mistari ya Fid ni copy and paste. Anakopi kwenye nyimbo, ana copy kwenye vitabu, ana copy kwenye movie.

" Maisha ni kioo ukiyachekea na yenyewe yanakuchekea " ame copy kutoka kwenye kitabu cha John Mason " The Power Of Positive Thoughts ".

Joh Makini aliwahi kuimba " Hii mistari yangu original, sio ya ku copy kwenye vitabu "

akiwa anaongelewa Top Rap Elite wa bongo ukaamua kumtaja mkuu wa wezi wa flow kwenye marapa wote wa bongo unanipasua kichwa kabisa ndugu. Eti joh pssssss.hii nyimbo unaijua?MGK 'Peso'.

http://youtu.be/Y_iqKF5v4Cg
 
Kwa mantiki hii wote wanaofanya sampling hawajui sanaa ? Tukianza na 2Pac ambaye Dear Mama alichukua instrumental na ngoma zake nyingi tu amefanya sampling ...., Bofya hapo chini uone ni ngoma ngapi...

2Pac | WhoSampled

Kwa Ufupi....

2Pac:
– Has sampled others 415 times.
– Has been sampled 424 times.
– Has been covered 27 times.
– Has been remixed 61 times.

Notorious B.I.G:
– Has sampled others 314 times.
– Has been sampled 1,053 times.
– Has been covered 20 times.
– Has been remixed 40 times.

Kwahio unless unataka kubadilisha Rules of the Games..., wewe unayoiita Sanaa sio Sanaa....

Hata R.Kelly,the greatest R&B singer of all time alipata kusample mashairi ya wimbo 'The Storm Is Over Now' kutoka kwa jamaa anayeitwa Ricardo, the original song writer and singer. Nilibahatika kumsikiliza huyo jamaa akiuwimba huo wimbo.Kwa mantiki hata R.Kelly naye hajui.Wabongo bado tuko nyuma sana.
 
Hip Hop ubishi!? Kuna watu wamezaliwa kubisha.. Na nakuhakikishia huwezi kumshinda hata uwe na ukweli kiasi gani.

teh teh teh teh....we m'baaayaaaa!ndo nini kumtema mwenzio!..anyway,nenda jifunze tofauti ya 'your truth' and 'the truth!',usije 'hakikishia "hakika" usiyo hata na 'uhakika' nayo!
 
Afu unawajua Washirika Tanzania Stars?!...wao wanaimba dansi,ila waliimba nyimbo Afunguliwe Mandela back in the 90's,wakati Fid hajajua hata Rap ni nini!(nahisi alikuwa bado anakamua ng'ombe maziwa Mwanza)..je na wao waliwaiga G-Rappers wa Marekani?

Sahihisho bro! Mfalme feki wa hiphop TZ Fid q kaanza kurap kwenye 90's
 
Sahihisho bro! Mfalme feki wa hiphop TZ Fid q kaanza kurap kwenye 90's

teh teh teh teh...hii mada ya u-'feki' wa Fid ishafungwa mana imeshindwa kuthibitishwa!
Kukusaidia kwenye 'sahihisho' lako,mi nlkuwa naongelea 1990 just to be exact,hapo Fid ana kama miaka 7 tu,of course alikuwa bado anakamua maziwa kwao huko usukumani,hajui rap ni nini na hajaanza kurap!
Asante.
 
Ebo kwan kuna mtu alishaandika wimbo wenye maneno mapya hajawah kuimbwa na wengne hebu ondoen chuk zen hapa kwa legend
 
Back
Top Bottom