Recent content by masewa

  1. M

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    waooooooooooooo hata siamini mana kama vile hii picha ya kutengeneza? kama syo basi ya zamani.
  2. M

    Madada Wenzangu wa JF Vipi?

    topic hii imenifungua macho mwanamke huyu anaevutia waliowengi including me hajaolewa waooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo lizzzzzzzy.
  3. M

    SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

    cku zote wanaoyabahatisha maisha kidogo ukubwani wanamatatizo kama shillole Ama kweli pata pesa tujue tabia yako
  4. M

    Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

    ni ngumu kufahamu nani anamkwepa mwenzake ila JK nae syo wakubeza? anavisasi kweli mnamkumbuka babu seya? kushinei
  5. M

    Mh!Unabahati hata mume wangu sijawahi mpa hivyo

    hakumanisha kama hajawahi kumpa mumewe hayo ni maneno ya kawaida kwa wanaume na wanawake waroho eti sijawahi kumbe anasema hvo kwa kila mtu ili aonekane tu s/he is deep chezea wabongo
  6. M

    Jamani mke wangu amekiri alinisaliti!!

    Re: Jamani mke wangu amekiri alinisaliti!! sasa hapo anataka ushauri gani? au anataka aabiwe msamehe kitanda hakizai haramu? au unataka kusema unawapenda sana wazee wa huyo kicheche huwezi kuwakatalia japo kua mtoto wao kicheche? ebu jikaze kiume mwanamme anatakiwa awena mamuzi ya kiume...
  7. M

    Swali kwa wanaume na wavulana wa jf

    ujue swali lako ni pana sana mana asikwambie mtu mwanamke wa kuoa ana vigezo vyake na wakumega ana vigezo vyake sijui ww unazungumzia yupi?
  8. M

    Wivu wa kimapenzi ni mbaya wandugu.............

    tehe tehe tehe teheeeeeeeeeeee naomba mbavu zangu uzirudishe
  9. M

    Wawi kuandamana kesho kupongeza maamuzi ya CUF

    By Malaria Sugu cuf chama cha waislam, chadema chama cha wakiristo siasa kali CCM chama cha wapagani na mafisadi
  10. M

    Wahindi na Waarabu wa Tanzania ni Wabaguzi

    hata sijawahi kuwapenda hasa wahindi
  11. M

    Ndivyo Nyerere alivyo tudanganya-personal conflicts, war for all!

    sina uhakika na hizi detailz za huyu jamaa hivi kweli hayo mambo anayasema yangelikuwa kweli MTIKILA asingenyamaza angesema me nadhani anamaralia ya kupanda kichwani
  12. M

    Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

    Re: Ni nini hasa kilichowagombanisha Lowassa na Alhajj Membe? By Pasco Mnyisanzu, kwanza hakuna ugomvi wowote kati ya watu hawa bali wanatofauti tuu katika comon interest ya urais wa 2015. Kuna viongozi ambao ni born leader na made leader. Membe ni made leader na Lowassa ni born leader...
  13. M

    Mnasemaje na hii picha?

    By MziziMkavu
  14. M

    Zawadi ya baba mkwe imenitokea puani!

    huyo baba mkwe imported.
  15. M

    Kwa nini gari za walinzi wa rais huwa zinahama kutoka lane moja hadi nyingine?

    hyo ya kukaa mbele mi nadhani huyu jamaa sianapenda totoz anatakaga mwenyewe ili azione vizuri
Back
Top Bottom