Ndivyo Nyerere alivyo tudanganya-personal conflicts, war for all!

Mtu asiyemjua Nyerere akae kimya. Tanzania would have been worse than this without Nyerere!!!! Hawa makata K generation hawajui wanachoongea! Nyerere is still a GOT for Tanzania! (The Greatest of All Time)!
 
Idi Amini alikuwa mzushi tu, nchi nyingi jirani zilikuwa na wakimbizi hapa kwetu na hazikuingia vitani nasi. Kuna wenzetu Kenya, Malawi, Congo, Burundi na Burundi. Nchi zote hizo watu wake wamekimbilia hapa kwetu tusijue hasa nyoyoni mwao wamejawa na nini kuhusu watawala walio kwenye nchi zao. Na kweli wengi wamekimbia mabavu ya watawala wao. Vivyo hivyo waliotokea Uganda walikimbia nchi yao kwa sababu mbalimbali kama vile kuogopa kutolewa roho zao pamoja na ukatili mwingine wowote ambao wangefanyiwa na Amini. Wengine walikuwa na nia ya kutawala na wengine kujisalimisha tu mahala salama, na hii haikuwa na haitokuwa kazi ya Tanzania kujua nini mtu anawaza moyoni mwake ili mradi ametimiza masharti ya ukimbizi. Maana yangu ni kuwa Idi Amini alichukia sana waganda kukimbilia Tanzania waganda 20,000. Tanzania haikuvamiwa na Burundi na Rwanda ambazo ziikuwa na wakimbizi wengi zaidi. Haikuvamiwa na Congo wala Malawi. Nchi ya Uingereza haijavamiwa na nchi ambazo wakimbizi wametoka na wanaendelea na chokochoko zao kwa nchi zao za asili wakiwa Uingereza. Amini alikuwa mkorofi na mzandiki alipewa kichwa na wakubwa Uingereza na Marekani na Israel, baadaye wakamwacha na kukimbilia kwenye nchi ambazo hazina uzoefu wa vita vya msituni. Pole sana mnaofikiri Idi Amini alikuwa mtu mwema.

I really like your view; in most cases watu hupenda kusikia yaliyo mazuri tu, yatakayowafurahisha na ku-easy thoughts, pia, mara nyingi waandishi wa historia wanaandika mambo ambayo wao kwao ni sahii, mfano, unasoma vitabu alivyoandika Mwl Nyerere mwenyewe, unampa chance gani Idd Amin, hata kama kuna ambayo aliyafanya yakiwa mazuri kabisa, kwani naye alikuwa anajaribu kutetea nchi yake asipinduliwe na Obote aliyekuwa upande wa TZ, hata siku hizi hizi habari zipo, je, una habari kwamba yule jamaa mburundi aliyekimbilia maporini na kuacha muafaka wa Nkurunzinza yupo bongo, na mara kadhaa wanapoendesha shughuli zao za uvamizi wanakimbilia TZ, askari wa nchi jirani wakiwafuata tunawakamata kwa sababu ya kuvuka mipaka, na hii ni kipindi hiki ambapo uwazi unatawala, unanambia nini kuhusu kipindi kile ambapo the only source of infomation alikuwa ni Mwl J.K pekee? Kumbuka, mengi ameyafanya mazuri mno, only maniacs would deny, lakini, hapo pa vita ya uganda, alitukaanga, naamini kuna mahala pengi tu pengine alikosea km human, pia nikukumbushe tu ndugu usije siku ingine ukakataa historia ya kweli, Joseph Kabila, rais wa sasa wa DRC na the late babake wameishi maisha yao yote hapa DSM, shekilango NHC, wengi hili wanalitambua, na ali-wedge war against Mobutu akitokea TZ, sasa unachoona cha ukweli sana ni kipi? hebu nijibu tujadili kwa afya!
 
sina uhakika na hizi detailz za huyu jamaa hivi kweli hayo mambo anayasema yangelikuwa kweli MTIKILA asingenyamaza angesema me nadhani anamaralia ya kupanda kichwani
 
No matter how old you are, if you can't read and understand you better not produce ill-meant replies, soma tena unambiye wapi pameandikwa Nyerere alilipwa pesa! Siku zote blank minds resent to speaking no vapors! You can't contest with me ukiwa ni mzee uliyelishwa sumu kuhusu Nyerere na umekomaa nazo! You may be one of those who don't know what happens. Historia na propaganda iliyoandikwa kwenye vitabu vya Nyerere kwa kiwango kikubwa imepotoshwa ku-suit matakwa yake ya kisiasa, if you can't read achana na hii thread because ukweli unauma mno si unaona unavyoumia, hauujui ukweli! Age is nothing but a number, kama wewe hivi , sijui umeishi miaka mingapi humu duniani, its not my issue! lakini you seem to have lived effectively for may be five years kwa upungufu wako wa kuelewa mada! Yes don't waste your time reading this you may end up being killed by stress. Respect yourself.

Una hakika gani na baadhi ya nyaraka(references) zilizotumika kuandaa repoti hiyo ya Wikipedia juu ya vita vya Uganda na Tanzania hazikutokana na ufadhili wa wapinzani wakubwa wa malengo ya Mwl.Nyerere ya kutaka Afrika inajitawala bila kuingiliwa na walafi(Wakoloni-Wanyonyaji) wa maliasili za Afrika? Lengo la wapinzani hao likiwa ni kuhakikisha kuwa hatokei tena Mwafrika Jasiri aina ya Mwl. Nyerere katika kizazi cha sasa na kijacho. Na nadhani wanaanza kufanikiwa kwa jinsi unavyoelekea justify hoja yako ya kum'defame' Mwl. Nyerere.
 
una hakika gani na baadhi ya nyaraka(references) zilizotumika kuandaa repoti hiyo ya wikipedia juu ya vita vya uganda na tanzania hazikutokana na ufadhili wa wapinzani wakubwa wa malengo ya mwl.nyerere ya kutaka afrika inajitawala bila kuingiliwa na walafi(wakoloni-wanyonyaji) wa maliasili za afrika? Lengo la wapinzani hao likiwa ni kuhakikisha kuwa hatokei tena mwafrika jasiri aina ya mwl. Nyerere katika kizazi cha sasa na kijacho. Na nadhani wanaanza kufanikiwa kwa jinsi unavyoelekea justify hoja yako ya kum'defame' mwl. Nyerere.

wewe bwana, nyerere alipotaka kupinduliwa mwaka 1964 ni nani alileta majeshi ili kuzima uasi kama si mwingereza!, kiufupi ni kwamba mwalimu alikuwa very smart, alikuwa anajua kucheza na wazungu , hata hivyo hawakutaka kudeal naye tu kama walivyodeal na lumumba, mandela.
 
No matter how old you are, if you can't read and understand you better not produce ill-meant replies, soma tena unambiye wapi pameandikwa Nyerere alilipwa pesa! Siku zote blank minds resent to speaking no vapors! You can't contest with me ukiwa ni mzee uliyelishwa sumu kuhusu Nyerere na umekomaa nazo! You may be one of those who don't know what happens. Historia na propaganda iliyoandikwa kwenye vitabu vya Nyerere kwa kiwango kikubwa imepotoshwa ku-suit matakwa yake ya kisiasa, if you can't read achana na hii thread because ukweli unauma mno si unaona unavyoumia, hauujui ukweli! Age is nothing but a number, kama wewe hivi , sijui umeishi miaka mingapi humu duniani, its not my issue! lakini you seem to have lived effectively for may be five years kwa upungufu wako wa kuelewa mada! Yes don't waste your time reading this you may end up being killed by stress. Respect yourself.

Mbaya sana! Umeleta hoja jukwaani ukitegemea watu woooooote tuseme ndio na kugonga like?! Mbona unakosa ustaarabu kwa wale wanaotofautiana hoja/ fact na wewe? What you choose to believe is up to you, do not force other people to believe what you believe.Kama hukutaka wenye maoni tofauti wachangie uliileta ya nini hapa jukwaani? Why your factless facts does not give reasons for Nyerere to have forced influence in Africa, if at all he was up to that? Povu tuuuu!
 
Ni kweli mnapata hasira sana mnapoambiwa facts! the ugly thing about fucts is, they're very rigid and can't be turned! Nyerere kama mtu mwenye kichwa kikubwa cha sifa, alipenda kuikomboa Africa kutoka kwa wakoloni-this is also a fact, alilipwa kiasi gani cha pesa, it is not a concern right here, lakini wote mliojibu hapa na kuweka lugha chafu mmeshindwa kuziruhusu akili zenu kuwa huru na kufikiria bila hamasa; The fact kwamba majeshi yenye nguvu na sifa, ya Tanzania, yalihusika sana na vita nyingi hapa Afrika tena kwa kujitolea na kutuimia pesa nyingi za wa-TZ, tena basi ninyi mnaohisi kwamba ni wazee kiasi cha kutosha, fikirieni na mfananishe uchumi wa nchi kabla na baada ya vita ile! Nyerere alipenda kuwa na influence katika eneo hili, kama ilivyo Marekani kwa dunia kwa sasa! Nyerere na Obote walikuwa marafiki wa kupindukia, Nyerere alipoomba Umoja wa Nchi huru za Afrika kumkemea Idd Amin walikataa, ask yourself why?.....Nyerere alikuwa na mashushushu nchi zote za Afrika, endeleeni kubisha! Nyerere aliwapa wakati mgumu watu wote waliokuwa na opinion tofauti na za kwake, hata Rais wa sasa na Waziri mkuu mstaafu Lowassa anajua!Nyerere aliombwa awarejeshe watuhumiwa waliohusika na jaribio la kumuua Idd Amin ikulu alikataa hilo hamlijui na wala halitakaa liingie akilini mwenu, mmen'gan'gana na illusions na propaganda za kipindi kile-true information is only that coming from Nyerere! Hata ukijibu kwa matusi na kejeli you will never change this fact: Nani kasema Nyerere ni mzuka, its on your head! katika aliyoyatenda, mema yalikuwa only 50% of all! Ukiwa amiri jeshi mkuu mwenye akili, unaendeleza nchi yako, unaacha kuingilia mambo ya ndani ya nchi zingine, hata kama wanaoumia ni rafiki zako! Kwa nini Americans are crazily vigilant about terrorism? My bet is, uchumi wa TZ ungekuwa cometing na Botswana na South Africa iwapo tusingeingia vitani-This is another fact hamwezi kuipinga! Uganda na Kenya wana-conflict kuhusiana na kisiwa kimoja ktk ziwa Victoria but they never declared war! kama unayo akili yako, ya kufikiria flexibly, soma hii, don't waste your time if you're not a critical reader!

Majibu yako yap[o hapo kwenye Kijani, Tunajua ni kiasi gani huyu mzee maono yake yaliwatenda na yanaendelea kuwatenda mpaka leo!
 
JamiiForums imeingiliwa tena kwa mlango wa uani kabisaa!! Holy Jesus Christ!!
 
Kenya wamefata nini Somalia?
 
mnalala mnaamka mnamuwaza tu Nyerere! Anayeishi katika past huyo ni mfu tu. Mnatokwa mapovu juu ya nini?
 
Teacher,Father,President,One of Greatest Son of Africa ever Born, and the Servant of GOD this is Mwalimu Julias Kambarage Nyerere.
Grandpa we will continue fighting until the victory is in our side, On behalf of Tanzanians Thanks for being our first President..
 
Back
Top Bottom