Wahindi na Waarabu wa Tanzania ni Wabaguzi

ulitaka waje kufanya nini? kuaga ili iweje? wote wangeenda ingekuwaje? angefufuka? JF itumike kujenga uelewe na kujiamini kwa wa TZ kuliko kuwa sehemu ya majungu. Bila kujiamini tutaendelea kufanyiwa mbaya na watawala kwa sasabu hakuna mtawala anayetaka wanachi wawe wajuzi wa mambo. Nchi hii ni yetu tujipange kuiweka vile tunavyotaka. Bei kupanda holela kwa vyakula wakati vyote vinapatikana hapa kwetu ni hujuma na ufisadi mkubwa-tunaangalia, sasa umeme. Zambia waligoma kwa mkate kupanda bei, Tazama Misri, Tunisia, Algeria, Libya, Syria Nigeria -hawaogopi kufa japo wanavyo vya kuacha sembuse wewe na mimi ambao hatuna hata chumba cha kulala tunaogopa hata risasi ya moshi na mpira: eti tunataka kusonga kwa vile tumethubutu, na tume? POLE SAAAANA
 
Tahnk you men, i like it. It is reflecting the reality of TZs. We normally talk much and think slowly to every demanding social issues. We'll never be like others in terms of develeopment and confidence. We talk much. LEt us reframe our behaviours towards the guote. Thanks
 
Mawazo ya kitoto hayo, ww ulienda Karimjee kwa ajili ya msiba au ulienda kufanya sensa? Haya tuambie kati ya waliohudhuria idadi ya Wamasai, Wagogo, Wajita... Acheni kueneza chuki zisizo na msingi, kwa ujinga tu.

nyie ndo wale mnaokatwa shingo kwa nyuma kisa mnaenda mbele, na nyuma hamuangalii
 
ndani ya chadema kila kitu kinachogusa nyoyo za wazalendo wa nchi hii ni zaidi ya mtaji.
 
Nimeshangaa sana uwanja mzima wa Karimjee kumefurika watu vibaya sana lakini
sijapata kuona mhindi au mwarabu hata mmoja pale.
Ina maana hawakupata taarifa za mazishi ya mpambanaji wa CHADEMA?AU hawajihusishi
na mazishi ya watu weusi?

Nimemuona mzungu mmoja tuu pale.mpaka naanza safari ya kuodoka uwanjani.

R.I.P Regia Mtema

Wewe kweli ni mbaguzi tena hufai kabisa katika jamii.

Wewe umekwenda msibani kuangalia waarabu na wahindi au umekwenda kushiriki maziko.

Ushindwe na ulegee.

ulitaka waje kufanya nini? kuaga ili iweje? wote wangeenda ingekuwaje? angefufuka? JF itumike kujenga uelewe na kujiamini kwa wa TZ kuliko kuwa sehemu ya majungu. Bila kujiamini tutaendelea kufanyiwa mbaya na watawala kwa sasabu hakuna mtawala anayetaka wanachi wawe wajuzi wa mambo. Nchi hii ni yetu tujipange kuiweka vile tunavyotaka. Bei kupanda holela kwa vyakula wakati vyote vinapatikana hapa kwetu ni hujuma na ufisadi mkubwa-tunaangalia, sasa umeme. Zambia waligoma kwa mkate kupanda bei, Tazama Misri, Tunisia, Algeria, Libya, Syria Nigeria -hawaogopi kufa japo wanavyo vya kuacha sembuse wewe na mimi ambao hatuna hata chumba cha kulala tunaogopa hata risasi ya moshi na mpira: eti tunataka kusonga kwa vile tumethubutu, na tume? POLE SAAAANA
.

Nafikiri inahitaji kujifunza culture za watu wengine. Mfano mimi mila , desturi na sirka na hata dini yangu hairuhusu kabisa kuifunua maiti na kuiweka hadharani kila mtu aone aibu za maiti. Nilikuwa najiuliza je kuna mtu akiwa na akili timamu anaweza kukubali kulazwa kama alivyolazwa marhum Regia na kisha watu wapite wamwamgalie kama walivyofanya. Kama mtu mzima hawezi kwanini mnadhalilisha maiti?

Ok lakini ni mila, desturi zenu hatuchukii bali tunabaki kushangaa. Kwani hata makabila mengine wanachoma maiti nalo pia ni la kushangaza.

Ndio maana tunasisitizwa tutembee tuone na kujifunza mengi sana.

nyerere alifanya kosa sana kuwapokea wahindi kutoka uganda,hawa watu ni wa kufukuza kabisa.
 
nyerere alifanya kosa sana kuwapokea wahindi kutoka uganda,hawa watu ni wa kufukuza kabisa.

Nioneshe Muhindi mmoja aliyetokea Uganda ambae yuko Tanzania kwa sasa. Wengi wao walipokelewa Canada, Uingereza, na USA na wamefanya vizuri sana huko.
 
ni nani wanaochukia wenzao? Manake hatuwaoni vijiweni, kwa mama ntilie, hatuwaoni kibesa kuchoma mkaa, kwenye vibanda vya gongo, uswazi, kuoana....! Hawa ni wabaguzi wabaya sana tena nafuu ya maarabu kuliko hawa wahindi. Ni nuksi kweli kweli na wasipo badilika haraka waallah watavuna wanacho kipanda hawa!

Kwa hy unataka muwe mnashinda nao vijiweni hata kama wana kazi za kufanya au kula nao kwa mama ntilie hata kama sio hadhi yao kula hk au kutumia nao mkaa hata kama wanatumia gas?!
 
Wewe kweli ni mbaguzi tena hufai kabisa katika jamii.

Wewe umekwenda msibani kuangalia waarabu na wahindi au umekwenda kushiriki maziko.

Ushindwe na ulegee.

wewe Barubaru usidanganye watu kwa mkwala mbuzi! Kama ubaguzi kaanzisha MMungu ili watu watambuane kwa, Rangi, Taifa, kabila, hadi lugha. Ukiona nyani wa india ni muhindi hivyo hivyo! Ndiposa katiba ya India imebainisha bila kificho kwamba; "India is for pure indians" na haki zao zimebainishwa kikatiba. Mmekuta sie mazoba mnagenga kwa raha zenu! ooh ushindwe na ulegee! hee! Sasa wazawa wameamka kaa chonjo, mbadilike ima mbaguliwe!
 
.

Nafikiri inahitaji kujifunza culture za watu wengine. Mfano mimi mila , desturi na sirka na hata dini yangu hairuhusu kabisa kuifunua maiti na kuiweka hadharani kila mtu aone aibu za maiti. Nilikuwa najiuliza je kuna mtu akiwa na akili timamu anaweza kukubali kulazwa kama alivyolazwa marhum Regia na kisha watu wapite wamwamgalie kama walivyofanya. Kama mtu mzima hawezi kwanini mnadhalilisha maiti?

Ok lakini ni mila, desturi zenu hatuchukii bali tunabaki kushangaa. Kwani hata makabila mengine wanachoma maiti nalo pia ni la kushangaza.

Ndio maana tunasisitizwa tutembee tuone na kujifunza mengi sana.

Hapa hoja ni kushirikiana!
Kwa hiyo usilete hoja dhaifu kutetea huo ubaguzi unaofanyika! Kuhusu kuaga maiti wewe si unaweza usiiage, na kujikalia pembeni? Hivi muhammad aliagwa siku3 hadi maiti ikaharibika naye alidhalilishwa? Au! Kwani ukikubali huo udhaifu si ndio uungwana Baru? waswahili husema, "Mkubwa akishtukizwa yuko uchi huchutama ili kujistiri".
 
WAHINDI NA WAARABU HAWAFAI,MAANA WANAJITENGA SANA NA INDIGENOUS-
si kwenye msiba tu,hata lugha ya kiswahili wengine hawataki kuijua,as if wapo india au uarabuni,
siku yao ikifka wataondoka kama walivyoondoka uganda

wewe siku yako ikifika utabaki?
 
Nimeshangaa sana uwanja mzima wa Karimjee kumefurika watu vibaya sana lakini
sijapata kuona mhindi au mwarabu hata mmoja pale.
Ina maana hawakupata taarifa za mazishi ya mpambanaji wa CHADEMA?AU hawajihusishi
na mazishi ya watu weusi?

Nimemuona mzungu mmoja tuu pale.mpaka naanza safari ya kuodoka uwanjani.

R.I.P Regia Mtema

unaenda kmuaga marehemu macho huku na kule,Na je ARFI na SABODO walikuja?
 
Back
Top Bottom