EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
Na ulipataje muda wa kufuatilia posts zao na muda wanaopost... If I may ask. Na je anayeandika na anayesoma kwa wakati huohuo ni nani hana muda?.... Humlishi hakulishi... Kama amekukera mpotezee, kama kakufurahisha jiunge naye.... Na hili ndilo neno la ODM.
Labda na yeye anahitaji kozi ya internet. Dena Amsi atakuwa na wanafunzi wengi.