Wivu wa kimapenzi ni mbaya wandugu.............

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Jamaa mmoja alipandishwa cheo...baada tu ya kupandishwa cheo akampa taarifa mke wake,na kwa kuwa mke wake alikuwa na wivu na mume wake akaanza chokochoko;

Mume: Mke wangu nimepandishwa cheo,hivyo natakiwa niajiri secretari

Mke: Hongera sana,ila itabidi uajiri secretari mzee na mwenye sura mbaya

Mume: ok sasa utaanza lini kazi?
 
Hahahahaaaa hapo lazma ugomvi uibukje na mzungu wa nne usiku lazma...hahahahaaaaaa hadi kieleweke
 
Eeeeew!balaa litakalozuka hapo ni kama sheikhe kalishwa nguruwe.
 
hao wanandoa ni watani?????kama sivyo basi huyo baba ataiona nyota ya kijani..
 
Back
Top Bottom