Recent content by marymar

  1. M

    Bendera za CCM zazua kizaazaa kenye Daladala Arusha

    Hata mimi sipandi labda usafiri uwe hakuna
  2. M

    Bendera za CCM zazua kizaazaa kenye Daladala Arusha

    Kusema ukweli hata mimi sipandi hilo gari lakini kutokana na matatizo ya usafiri wakati mwingine hasa jioni inabidi upande tu kishingo upande.
  3. M

    Jay Dee na Gadner watimiza miaka 5 ya Ndoa

    Mungu aendelee kuwabariki muishi kwa amani mpaka kifo kitakapowatenganisha. all the best
  4. M

    Waislamu Walazimishwa Kula Nguruwe Ili Ziwape Nguvu

    It means before walikuwa hawana nguvu ya kufanya kazi? na aliwaajiri vp? that iz not fare
  5. M

    Anatembea na babake!

    But inategemea na baba mwenyewe coz nw dayz wengi wanafanya pengine kwa kutaka utajiri so ni kama masharti kutoka kwa waganga wa kienjeji.
  6. M

    ~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

    Nimeikubali japo ndo inaanza mungu ajalie j3 ifike
  7. M

    MKE Ana Tamaa!

    Dah! Una mtihani mkubwa sana ila unatakiwa kuwa makini kwani SHE IS AFTER MONEY SO BE CAREFULLY.
  8. M

    Maalumu kwa mabinti tu

    Kazi kwetu mabinti tushindwe wenyewe tu. Tupo juu
  9. M

    Ndevu za kubandika

    Vp unataka kuwa osama?
  10. M

    Millen na presida wetu

    Presidah wetu namkubali pia siku moja moj kujimix na ma dada du sio mbaya. Big up
  11. M

    mtaka cha mvunguni????????

    Dah! hii bab kubwa
  12. M

    Hamjambo Watu Wazuri

    Karibu sana Bibi Amy kama ni kiswahili hapa umefika utakijua vizuri na kukielewa.
  13. M

    Naomba mnipokee.

    Nashukuru sana kwa ukarimu wako na ushirikiano wako naamini tuko pamoja. Na sheria nimezielewa vizuri na naahidi kuziheshimu na kuzitekeleza.
  14. M

    GE2010 NAJITOLEA kumfanyia rais WANGU KIKWETE kampeni ashinde tena URAIS

    Hata mimi nampa big up our prezidah kwani ni hodari sana na hata mungu alisema jisaidie nami nitakusaidia sio kwa vile maisha bora kwa kila mtanzania ndo tujibweteke. haipendeziiiii
Back
Top Bottom