Millen na presida wetu

Jamani wakati mwingine! Si kila wakati tuwe tunakandamiza tu! Hivi kwani Naomi si alikuja hapa kuhamasisha maswala ya kiafya? Alipotembelea hospitali za Dar? Sasa Millen si ndio anaelekea huko? Mi naona kama vile hapo kulikuwa uzinduzi au uhamasishaji wa maswala ya elimu, maana naona Tanzania Education Trust...hapo nyuma yao. Inawezekana baada ya lile vumbi la Volkeno kuleta taabu Mkulu akashirikiswa na badala ya Naomi kuitwa kaitwa Mtanzania Millen. Mara nyingine tunachonga sana!
 
Back
Top Bottom