Maalumu kwa mabinti tu

Mfukunyuzi unatfuta Kesi, ngoja waione watakavyo kushambulia! Na mara nyingi wanaishambulia hiyo avatar yako! Heheeeh ha ha ha ha!
 
Anajitayarisha kwenda afrikasana nini kapendeza na yuko kikaaaaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
zaiddddddddddddddddddddii bg up dada mwanamke urembo pale unapopata busi la kuaminia
 
Ukitaaka kuwajua hawa wafuate asubuhi wakiamka....Unapokutana nae mtaa wa Majengo sio yeye orijino...ana karibia robo kilo ya kemiko mwilini!
 
Back
Top Bottom