Jay Dee na Gadner watimiza miaka 5 ya Ndoa

roselyne1

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
1,365
93
34srw3n.jpg


Na GADNER G HABASH.. kwa kufikisha miaka mitano ya ndoa!!

Mungu awatangulie kwa miaka mingine ijayo.... :A S 8::A S 8::A S 8:
 
Hongeren jamani

mungu awazidishie na muepuke kurudia uchafu wa nyuma
watu wengi wakioa wanajisahau na kukimbilia ma xxx wee huna adabu unaewafata hawa
roho ya uzinzi ikukimbize kabisa
 
View attachment 10237

Na GARDNER G HABASH..

kwa kufikisha miaka mitano ya ndoa!!mungu awatangulie kwa miaka mingine ijayo.... :A S 8::A S 8::A S 8:


Kumradhi labda macho yangu hao wa nyuma sidhan kama wana mpango wa ndoa leo ...mmh macho yao tu

jamani huyu si alishaoaga mwanzoni...ile ndoa ilikufilia wapi??na wakristo kuna kuachana ???
 
hongera sana Jide...hivi venture bado yupo yupo eeh?...ooh dear vivi (in pink) r.i.p
 
i do.jpg
DSC_5674.jpg

Tunashukuru MUNGU kwa kila jema alilotujaalia mpaka muda huu, pumzi ya uhai ndio kitu kikubwa kuliko vyote.

Milima na mabonde, vizingiti na mito, maziwa bahari kwa uwezo wake tu tutavuka.
Miaka 5 ya urafiki na miaka 5 ya ndoa. 5+5 = Jumla 10
Tumeshakuwa kama kaka na dada, more than friends
Mimi nahesabu bado miaka 35 nifikie malengo kama ile anivessary nilioipost juzi
Itimie miaka 40 au ikibidi hata 50

Nawatakia maisha mema na Mungu awajalie mkae miaka mingi na mpate watoto

SOURCE: LayJayDee Blog
 
duh ....call me a hater all u want ....but sijapenda uvaaji huo siku ya ndoa.

na ndo mungu kajua kumuweza lady jaydee.................hata akae uchi vipi mvuto zero.

mungu awajaalie ndoa itakayodumu milele -ameen
 
duh ....call me a hater all u want ....but sijapenda uvaaji huo siku ya ndoa.

na ndo mungu kajua kumuweza lady jaydee.................hata akae uchi vipi mvuto zero.

mungu awajaalie ndoa itakayodumu milele -ameen
zero kwako kwa mumewe kifaa,hakuna hata siku binadamu mkatoa japo sifa ni ku diss tu kilakitu.
 
34srw3n.jpg



Na GADNER G HABASH.. kwa kufikisha miaka mitano ya ndoa!!

Mungu awatangulie kwa miaka mingine ijayo.... :A S 8::A S 8::A S 8:

Hiki kivazi cha Shem kilitinga Mazabauni?? Duh!..

Hongereni na Mungu akawabariki. Akawafungulie milango ili nanyi mpate pia kuijaza dunia kama ilivyo ahadi yake ya zaeni mkaongezeke mkiwa Mume na Mke wa Ndoa!
 
Ndo ni muhimu, na watoto ni muhimu zaidi. Mungu yupo, atawamwagia mibaraka yake ili muweze kuijaza hii dunia:A S clock:
 
nikama wanaelekeana kiana make ukimcheki G.Habash yupo kimaisha zaidi nafikiri hata Jaydee itakuwa hivyo.
HONGERA SANA!
 
Back
Top Bottom