Miezi michache ijayo kipute cha uchaguzi wa serikali za mitaa kitaanza, Chadema inatakiwa ikamilishe chaguzi za ndani na pia ijiandae kwa uchaguzi Serikali za Mitaa, cha kushangaza uongozi kwa makusudi hawafanyi lolote zaidi ya maandamano.
Hii si mara ya kwanza, kila unapokaribia uchaguzi ndani...
Dr. Sisimizi
Wakati Bunge la Tanzania likijiandaa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, Chadema kwao ni tofauti muda huu wao wanafanya kikao kwa ajili ya kupanga namna gani kufanya vurugu Januari 24, 2024.
Kikao hicho kinachoendelea muda huu kinaongozwa na Katibu John Mnyika...
Na Dr. Sisimizi
Imekua kawaida sasa kwa Chadema kupiga mikwara ya Sisimizi kwa Tembo ya kutishia kufanya maandamano ilihali miaka yote hawajawahi kufanikiwa sababu ya kukosa ushawishi na uungwaji mkono.
Mwaka 2015 baada ya Uchaguzi Mkuu, Chadema walitishia kuitisha maandamano, ili kupinga...
Na Mwl Udadis, Dsm CBD
Moja ya sifa kuu ya kiongozi bora wa nchi ni kutatua matatizo kwa kuleta suluhu ya kudumu, wazungu wanaita "sustainable solutions", kwa bahati mbaya akili ndogo huhitaji muda mrefu kung'amua tija ya SULUHU za namna hii.
Mdogo wangu Bolleni Ngeti kwa makusudi ameamua...
Na Charles Heche
Waswahili wanasema siku za mwizi ni arobaini, bila kupepesa macho naona siku za Freeman Mbowe ndani ya Chadema zinahesabika kutokana na ubadhirifu ambao umefanywa bila huruma. Usijiulize kwanini nimemtaja Mwenyekiti wakati viongozi wako wengi, huyu kuna ushahidi mwingi na...
Kama mwanafasihi, mwanafalsafa, mwanasaiklojia, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii nimesikiliza kwa makini sana hii hotuba ya rais wetu ndugu yangu na mama yangu Leah Ulaya nimegundua yafuayayo:
Mosi, ni dhahiri shahiri kuwa mtu mmoja hawezi kussababisha Serikali yetu pendwa kulipiza...
● Serikali Imewaokoa Watanzania 117 na waliopewa huduma bure za matibabu kupitia gharama iliyobebwa na Rais Samia.
● Serikali imegharamia mazishi ya Watanzania 79 waliofariki kwenye maafa ya Hanang.
● Serikali inaendelea na zoezi la kutafuta miili ya watanzania wengine walioathirika na maafa...
Kufuatia utafutaji wa uungwaji mkono ndani ya Chama cha Walimu Tanzania, Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Japhet Maganga analaumiwa kwa matumizi mabaya ya fedha za wanachama wa chama hicho katika juhudi za kuwalaghai viongozi ambo wengi wao ni wajumbe katika vikao vya maamuzi ya chama cha...
● Tarehe ya maadhimisho ya Siku ya Mwalimu duniani ni tarehe 05 Oktoba, ambapo duniani kote iliadhimishwa na Chama cha Walimu Tanzania ikiwa ni sehemu ya Wataalam na wasomi kufanya maadhimisho tofauti na siku maalum iliyopitishwa kimataifa ni kuitweza taaluma ya ualimu.
● Kiwango kikubwa cha...
Mwaka huu Chama cha Walimu (CWT) kikiwa kinatimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kimekosa mdomo sahihi wa kuwasemea na kuwasaidia walimu wake sababu tu ya uongozi mbovu unaowanufaisha watu wachache ambao wanaongozwa na Japhet Maganga.
Tangu awe Katibu Mkuu wa CWT Japhet Maganga ameshindwa...
[emoji298]Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia kikamilifu shida za wanachama na kusimamia madhumuni ya kuanzishwa kwa chama chetu.
Badala yake amekuwa ni mtu wa kukimbikimbia huku na huko kuhonga na kujinasua kwenya majanga aliyoyatengeneza yeye...
Na Mwalimu Udadis, Tarime
Wanachama wa Chama cha Walimu nchini tunashuhudia kwa macho yetu tabia ya kudhoofisha chama chetu inayofanywa na Bwana Maganga bila aibu. Hali hii inakasirisha na kuleta wasiwasi juu ya hatma ya walimu nchini ambao kimsingi ni wanachama wa CWT.
Mojawapo ya vitendo...
Leo ndo ile siku imewadia ambapo Mkutano wa Wakuu wa Nchi Afrika Mashariki wa siku mbili utaanza huko Jijini Arusha ambao awali ulipaswa nchini Burundi, kura imeiangukia Tanzania ambayo imetajwa kung’ara katika Masuala ya Diplomasia za Kimataifa.
Ni wazi kuwa kwa Afrika Mashariki Tanzani...
Watanzania wenzangu poleni na matokeo ya jana lakini pia tujipongeze hata kidogo kwa kuendelea kuipa nguvu timu yetu ya taifa.
Ifike sehemu tukubali kwamba kuna hatua flani tumepiga hasa kwenye pitch tofauti na huko tulipotoka yaani kwa mechi ya jana pamoja na mapungufu yote yaliyoonekana...
Nchi hii ilipotoka kwenye michezo kila mmoja anajua kama mtu wa michezo na kama anafuatilia michezo.
Tulikuwa tuna changamoto nyingi Sana Katika michezo viwanja ,usafiri na miundombinu kwa ujumla.
Tulikuwa tunapaza sauti usiku na mchana WADAU WA maendeleo waje kutuunga mkono Katika kukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.