Maganga wa CWT amethibitisha kwa matendo yake kuwa hana uwezo wa kushughulikia shida za wanachama

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia kikamilifu shida za wanachama na kusimamia madhumuni ya kuanzishwa kwa chama chetu.

Badala yake amekuwa ni mtu wa kukimbikimbia huku na huko kuhonga na kujinasua kwenya majanga aliyoyatengeneza yeye binafsi.

Ieleweke wazi kuwa moja ya kundi kubwa alilolihonga na kulinunua kabisa ni kundi la wajumbe wa Baraza la Taifa, Kundi la kamati ya utendaji Taifa.

Ununuzi huu wa vyombo vyetu hivyo vikubwa vya maamuzi uliofanywa na bwana Japhet Moses Mgele Maganga Umepelekea kuwafunga midomo wajumbe hao wenye uwezo wa kumchukulia hatua ikiwemo za kumuwajibisha huyu ndugu Maganga ambae hata hivyo hapo alipo hana kibali (secondment) kutoka serikalini na alitakiwa kurudi Tandika S/M kufundisha lakini hadi leo yupo CWT anazuga zuga kama karunguyeye au yule mdudu kakakuona. Haendi ofisi yoyote ile ya serikali, yeye ofisi anazozijua ndugu Maganga ni hotels na guest houses anapokwenda kukutana na vimada na washikaji zake.

Vitendo hivyo vinafanya chama chetu CWT kiendelee kupoteza mvuto kwa walimu na hata wadau mbalimbali wa serikali. Mtakumbuka hata kusanyiko la watu elfu 40 linalotarajiwa kufanyika Mwanza pale uwanja wa CCM Kirumba tarehe 13 December, hadi sasa hakuna mgeni rasmi wa maana aliye confirm kuwepo siku hiyo badala yake tunaanza kupigwa danadana na maneno kibao mara hata asipokuwepo fulani fresh tu, aje hata rais wa TUCTA, au wa TFF.

Hatuna budi kusimama kwa sauti moja tukamwambia:

Maganga Must Go
Maganga Must Go
Maganga Must Go
 
Sina hamu na CWT ndugu yangu alikwenda ofisi ya cwt wilaya Fulani amekabwa na shida za kifedha.Katiba ya cwt ina kipengele kuwa kama ikithibitika mwanachama ana shida chama kimsaidie michango ya wanachama ni mingi.Badala ya kumsaidia fedha wakamsaidia kumpeleka kwenye Taasisi ya mikopo yenye riba kubwa akopeshwe.Laana iwe juu yao wote waliotenda dhambi ile.
 
Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia kikamilifu shida za wanachama na kusimamia madhumuni ya kuanzishwa kwa chama chetu.

Badala yake amekuwa ni mtu wa kukimbikimbia huku na huko kuhonga na kujinasua kwenya majanga aliyoyatengeneza yeye binafsi.

Ieleweke wazi kuwa moja ya kundi kubwa alilolihonga na kulinunua kabisa ni kundi la wajumbe wa Baraza la Taifa, Kundi la kamati ya utendaji Taifa.

Ununuzi huu wa vyombo vyetu hivyo vikubwa vya maamuzi uliofanywa na bwana Japhet Moses Mgele Maganga Umepelekea kuwafunga midomo wajumbe hao wenye uwezo wa kumchukulia hatua ikiwemo za kumuwajibisha huyu ndugu Maganga ambae hata hivyo hapo alipo hana kibali (secondment) kutoka serikalini na alitakiwa kurudi Tandika S/M kufundisha lakini hadi leo yupo CWT anazuga zuga kama karunguyeye au yule mdudu kakakuona. Haendi ofisi yoyote ile ya serikali, yeye ofisi anazozijua ndugu Maganga ni hotels na guest houses anapokwenda kukutana na vimada na washikaji zake.

Vitendo hivyo vinafanya chama chetu CWT kiendelee kupoteza mvuto kwa walimu na hata wadau mbalimbali wa serikali. Mtakumbuka hata kusanyiko la watu elfu 40 linalotarajiwa kufanyika Mwanza pale uwanja wa CCM Kirumba tarehe 13 December, hadi sasa hakuna mgeni rasmi wa maana aliye confirm kuwepo siku hiyo badala yake tunaanza kupigwa danadana na maneno kibao mara hata asipokuwepo fulani fresh tu, aje hata rais wa TUCTA, au wa TFF.

Hatuna budi kusimama kwa sauti moja tukamwambia:

Maganga Must Go
Maganga Must Go
Maganga Must Go
Una ugomvi gani na huyo Maganga wa CWT kiasi cha kumuanzishia nyuzi kila siku humu jukwaani za kumtaka kuondoka madarakani? Mtakuwa hamgombanii kweli nyinyi hizo hela za walimu!!

Na kwa nini umechagua jamii forums kuwa ndiyo sehemu ya kuufikisha huu ujumbe wako? Hivi kuna kiongozi wa CWT ngazi ya Taifa anaweza kuwa na ujasiri wa kumnyooshea mwenzake kidole kweli!!
 
Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia kikamilifu shida za wanachama na kusimamia madhumuni ya kuanzishwa kwa chama chetu.

Badala yake amekuwa ni mtu wa kukimbikimbia huku na huko kuhonga na kujinasua kwenya majanga aliyoyatengeneza yeye binafsi.

Ieleweke wazi kuwa moja ya kundi kubwa alilolihonga na kulinunua kabisa ni kundi la wajumbe wa Baraza la Taifa, Kundi la kamati ya utendaji Taifa.

Ununuzi huu wa vyombo vyetu hivyo vikubwa vya maamuzi uliofanywa na bwana Japhet Moses Mgele Maganga Umepelekea kuwafunga midomo wajumbe hao wenye uwezo wa kumchukulia hatua ikiwemo za kumuwajibisha huyu ndugu Maganga ambae hata hivyo hapo alipo hana kibali (secondment) kutoka serikalini na alitakiwa kurudi Tandika S/M kufundisha lakini hadi leo yupo CWT anazuga zuga kama karunguyeye au yule mdudu kakakuona. Haendi ofisi yoyote ile ya serikali, yeye ofisi anazozijua ndugu Maganga ni hotels na guest houses anapokwenda kukutana na vimada na washikaji zake.

Vitendo hivyo vinafanya chama chetu CWT kiendelee kupoteza mvuto kwa walimu na hata wadau mbalimbali wa serikali. Mtakumbuka hata kusanyiko la watu elfu 40 linalotarajiwa kufanyika Mwanza pale uwanja wa CCM Kirumba tarehe 13 December, hadi sasa hakuna mgeni rasmi wa maana aliye confirm kuwepo siku hiyo badala yake tunaanza kupigwa danadana na maneno kibao mara hata asipokuwepo fulani fresh tu, aje hata rais wa TUCTA, au wa TFF.

Hatuna budi kusimama kwa sauti moja tukamwambia:

Maganga Must Go
Maganga Must Go
Maganga Must Go
Hiki chama bora kifutwe tu kwa walimu wote kuhamia chakuhawata basi
 
Back
Top Bottom