Tuwaunge mkono wadau wa michezo, tusiwapige vita

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Nchi hii ilipotoka kwenye michezo kila mmoja anajua kama mtu wa michezo na kama anafuatilia michezo.

Tulikuwa tuna changamoto nyingi Sana Katika michezo viwanja ,usafiri na miundombinu kwa ujumla.

Tulikuwa tunapaza sauti usiku na mchana WADAU WA maendeleo waje kutuunga mkono Katika kukuza sekta ya michezo.

Nguvu za wadau wa michezo kina GSM, MO DEWJI, BAKHRESA hata Serikali ilihitajika Katika kusukuma gurudumu la maendeleo la michezo.

Nani asiyejua mchango wa GSM kwa mafanikio ya yanga SC?

Nani asiyejua mchango wa Mo Katika ndani ya Simba SC?

Nani asiyejua mchango wa BAKHRESA ndani ya kukuza michezo Katika nchi hii?

Nani asiyejua nguvu ya Serikali na hata Dkt Mama Samia Katika michezo Katika nchi hii?

Je, watu mnataka kusema goli la Mama lilikuwa ni kuingizia siasa Katika michezo kweli na sio ilikuwa ni kutoa motisha kwa vilabu vyetu na timu ya Taifa?

Leo hii timu ya Taifa inapewa ndege bure na Serikali hii ya Mama, Je, kufanya hivyo ni kuingiza siasa kwenye Michezo?

Shuhuda ni Mie Rais Wa nchi anatoa ndege kwa klabu waende moja kwa moja mpaka nchi husika wakapambanie bendera ya nchi na hii ni kuingiza siasa kweli?

Mashabiki tulisafiri bure kwenda Algeria na South Afrika kwa ajili ya kwenda kusapoti Je, unashindwa kutambua huo mchango kidogo unasema ni kuingiza siasa?

Uwanja wa Benjamin Mkapa umekarabatiwa kwa mabilioni Je ,kufanya vile ni kuingiza siasa kwenye Michezo?

Tuwakatae Mawakala wa kishetani Mie nawaita wachambuzi njaa kwa ajili ya matumbo Yao ila wanashindwa kuangalia mbele zaidi ila chuki zao binafsi .

Tutawaunga mkono kila mdau Wa maendeleo wa nchi hii ili michezo ikue ,tuwakatae watu wachache ambao kwao kila kitu kupinga hata cha maana .

TUWALINDE KWA WIVU MKUBWA WADAU WOTE WA MAENDELEO HATA SERIKALI YETU.

Sauti ya waziri mkuu wa Mashabiki duniani (Mwalimu yanga)

Phone: 0656221317
 
Hio namba tukutumie HELA au ya nini au ndio unatafta Viewers wa STATUS?
Just out of context.

Ila umeandika kwa kutumia Masikio sio Akili Pole..
#JITAHIDI WATU WASIJUE HUNA AKILI
 
Hio namba unasaka ka uteuzi maokoto

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Pashkuna katika ubora wako
 
Mimi mtu ukishaweka namba hasa kwenye post zinazohusiana na siasa nakuona huna maana na ulivyoandika nasahau vyote.
 
Hahaaaaa, acha wivu hutaki chawa wa mama ale teuzi? Atakukumbuka siku 1 kwenye hizo teuzi uwe hata PS au msaidizi wake.
 
Back
Top Bottom