Recent content by Manitoba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Ukweli halisi upo hapa Shule Yangu Hopefully utakuokoa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shule zilozoongoza matokeo kidato cha nne 2012/2013

    Tukiacha utani, hebu angalia mlinganisho huu wa shule za: 1. Jakaya Kikwete 2. Benjamin Mkapa 3. Mwinyi 4. J.k Nyerere 5. Pius Msekwa Linganisha Shule
  3. M

    JamiiForums Tanzania Turkish PM: why pressure Iran, not nuclear Israel?

    Kwa mantiki hiyo, hata North Korea wana akili pia ... wanayo lakini hawaitumii mpaka washambuliwe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania E-Map

    Angalia Google Mapmaker: http://www.google.com/mapmaker Google Mapmaker inakuruhusu hata wewe kuhariri mitaa ya kwenu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Code Jam Africa

    Jamani kuna coding competition organized by google here: http://code.google.com/codejam/africa/ Current Round is only a qualification round, so it not too late. Round hii inaisha saa 9 usiku leo, kwa hiyo bado kuna masaa kama 9 yakutosha kupata score ya kukuwezesha kupita kwenda kwenye final.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Police Force Ordinance(Ammendment) Act 1964 and Possession of handcuffs

    Hawakuelewi sir. Unauliza swali wao wanatengeneza swali lingine na kujijibu wakiwa na uhakika kabisa kwamba wamejibu swali lako. (Wengi wetu huwa tunafeli hivi mitihani). Wewe unauliza "sheria inakataza kumiliki pingu?", wao wanajibu swali "watanzania huwa wanamiliki pingu?". Kama hakuna...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Jerry Muro?

    Hizo za "Manji na wezi wengine" amekuachia wewe. Au rusha wewe hizo za sh. 2,000 yeye akarushe za "Manji na wezi wengine". Zote mbili tunazihitaji.
  8. M

    JamiiForums Tanzania TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Kwa nini wewe uliyemsafi usiende kutoa hizo habari za RUSHWA? Itasadia zaidi kuliko kulalalam hivyo. Na hiyo tuzo tutakupa wewe ili iwe na maanza zaidi. Go ahead and do it ... Au ungeanza kwa kumrekodi ma kumtoa yeye akidai na kupokea mshiko; haki ya nani ile tuzo tutakupa wewe. Inaelekea...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Remove virus without using ant virus

    Inawezekana sana mwana. Anza kwa kutumia Sysinternals Suite. Hapo unacheza na virusi mpaka raha.
  10. M

    JamiiForums Tanzania How much do you spend in weddings for a year?

    Mzee ume-summarize kila kitu. I see the future ... Tuko pamoja. Mwanzo mgumu lakini wataelewa tu ... Hahaha utamaduni hujengwa na watu wenyewe. Ukikubali kuchangia ujue unasaidia kuuendeleza utamaduni. Usimlaumu yeyote bali we mwenyewe. Jisemee mwenyewe. Sema "siwezi kukwepa"...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Work From Home!!!!!!!

    Nimecheka mpaka mbavu zikauma. Yaani baada ya DECI watu bado hawajaelimika tu. Ama kweli wajinga ndio waliwao. Hata kwenye kamusi, mafanikio haiji kabla ya kazi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bongo haya yatafika lini?

    Matatizo ya kila mtu kusoma HKL kavu. Ingekuwa ni uamuzi wangu, kila mtu angezoma hesabu na fizikia kwa lazima; angalau kiduchu tu. Angalau basi tungekuwa wasikivu kidogo tu tujifunze-funze. Huwezi jua lakini, pengine kuna maana tofauti tofauti za "fuel consumption".
  13. M

    JamiiForums Tanzania Babu Seya's Appeal Set for November 30, 2009

    Msaada tafadhali. Ni sheria gani inayokataza kujadili kesi ambayo iko mahakamani?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Architecture/Landscaping anatafutwa

    Hehehe Hata simu zinatakiwa ziwe kwa appointment. Asante kwa kuongoza njia.
  15. M

    JamiiForums Tanzania 2000 Toyota Corolla Sedan, 86,000km @7.5m

    lol Mkuu una utani mbaya sana. Ila mtu akitokea Mars hivi akaona jinsi tunavyofanya mambo yetu sijui atatucheka au atatuonea huruma.
Back
Top Bottom