2000 Toyota Corolla Sedan, 86,000km @7.5m

Manitoba

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
240
9
Kuna jirani yangu hapa anauza hii gari, nikadhani pengine yaweza kuwa ni dili nzuri kwa wana JF.

Mwaka: 2000
Imeingia Bongo: July 2009
Odometer: 86,000km
1500cc

Bei: 7.5m (non-negotiable)

Contact: 0713-363534

Kwa maswali zaidi mcheki mshkaji mwenyewe kwenye simu hiyo.
 
Attachments

  • DSCN0195.JPG
    DSCN0195.JPG
    32.1 KB · Views: 78
  • DSCN0198.JPG
    DSCN0198.JPG
    32.2 KB · Views: 75
  • DSCN0203.JPG
    DSCN0203.JPG
    44.8 KB · Views: 70
  • DSCN0204.JPG
    DSCN0204.JPG
    37.3 KB · Views: 81
  • DSCN0208.JPG
    DSCN0208.JPG
    39.2 KB · Views: 83
Ebanae, gari bado inaruhusu. Punguza laki 5 tu nimnunulie mtu, naweza kumwokoa na daladala hustles!
 
Ebanae, gari bado inaruhusu. Punguza laki 5 tu nimnunulie mtu, naweza kumwokoa na daladala hustles!

Unamnunulia nani kaka? hujawahi kuniambia umeoa bwana lol ... ila u r right huu usafiri wetu unakera mimi mwenyewe unaanza kunishinda.

Jaribu kumsemesha mshkaji, ila kuna mdada hapa alikua anaomba kwa 7.2, jamaa akamrudisha nazo. Kwa upande mwingine, sijawahi ku-test negotiation skills zako mkuu ili niweze kusema huwezi kupata kwa 7m, kwa hiyo nakushauri muendee hewani tu.
 
TUNASUBIRI MABASI YAENDAYO KWA KASI YA AJABU (Nikikumbukaga mchakato huu nacheka kweli utafikiri ni wendawazimu walikuwa wanajadiliana namna ya kunyoana hahahaha)
 
TUNASUBIRI MABASI YAENDAYO KWA KASI YA AJABU (Nikikumbukaga mchakato huu nacheka kweli utafikiri ni wendawazimu walikuwa wanajadiliana namna ya kunyoana hahahaha)

lol

Mkuu una utani mbaya sana.

Ila mtu akitokea Mars hivi akaona jinsi tunavyofanya mambo yetu sijui atatucheka au atatuonea huruma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom