Turkish PM: why pressure Iran, not nuclear Israel? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Turkish PM: why pressure Iran, not nuclear Israel?

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Mar 19, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Turkish PM: why pressure Iran, not nuclear Israel?


  Erdogan: countries with nuclear weapons not in moral position to lecture other nations on nuclear.


  LONDON - Turkey's prime minister said Tuesday it was "only rumours" that Iran was making nuclear weapons, stressing Tehran's right to develop civilian atomic power.

  Speaking before meeting British Prime Minister Gordon Brown in London, Recep Tayyip Erdogan also questioned why countries like Israel did not face calls from the international community to disarm, while Iran did.

  "It's only rumours that Iran is making nuclear weapons," Erdogan told the BBC, speaking through an interpreter.

  "I believe it is Iran's most natural right to employ nuclear energy for civilian purposes."

  Turkey has good relations with its neighbour Iran and has offered to host an exchange of its low-enriched uranium (LEU) with 20 percent enriched uranium to be supplied by world powers to Tehran as part of a UN-drafted deal.

  The prime minister added that countries with nuclear weapons "are not in a position to turn to another country and to say: 'Oh, you are not supposed to produce nuclear weapons'."

  "Take Israel. Israel possess nuclear weapons. Why aren't other countries warning Israel to dispose of her nuclear weapons but they're doing the same to Iran?" he asked.

  At a press conference with Brown at Downing Street later, Erdogan said he would like to see "a world without nuclear weapons" and advocated diplomacy over sanctions.

  "We always say to all of our friends we would not like to see any nuclear weapons in our region," he said. "We believe in the importance of a diplomatic solution."

  Brown added: "Prime Minister Erdogan and I share a conviction that we must resolve this issue diplomatically and my belief is that the UN Security Council must take action to ensure sanctions against Iran."


  middle-east-online
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Xpaster

  Kwa sababu kichwa cha Ahmednajad, Rais wa Iran kimejaa chuki dhidi ya Israel na anatamani Israel isiwepo; sasa kichaa akishika rungu unategemea adui yake atakuwa salama?

  Huyo PM wa Uturuki naye maswali yake ni bure tu; hivi Abdulla Achelan yule Mkurdi aliyefungwa maisha, kikundi chake kingekuwa na MAbomu ya Nyuklia angesemaje?

  Israel wana akili sana, hawawezi kuzitumia nyuklia zao bila kushambuliwa tofauti na Iran ambao hawajapata Nyuklia lakini wanatamani kuifuta Israel, sasa wakipata hizo Nyhuklia itakuwaje?
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nafikiri the world is waiting for Israel to use it's Atomic bombs to start requiring them to disarm. In the History of Nuclear weapons, Only one Nation is supposed to be disarmed because it is the only nation used it.

  There is double standard on this issue. If you are my ally it's okay if you disagree with me it's unacceptable.
   
 4. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You nailed it brother. Hapo bado hajapat akipa dunia itaingia kwenye vita ya nuklia, Hata kwenye familia mtu akiwa kichaa kuna vitu hmuwezi kumwacha aviguse.

  rejea tena hoja ya Ibrah. Kama inawezekana kuzuia mwendawazimu mmoja kuwa na nuklia acha hiyo double srtandard iwepo. Mbona kuna akina India na Pakistani wanazo hwajasakamwa? Ni kwa sabau at least they are sensible.
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2010
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
   
 6. bona

  bona JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  the issue is not about who have and ho does not have, the issue what kind of people have, iran ahs declared openly its intetion of getting israel out of the map of the world, we dont want such kind of person to posses it, hata ukienda kununua silaha pale tanganyika arm, utauziwa then utaambiwa ukaisajili ndio upewe, utachunguzwa kama wewe una akili timamu, huna nia ya kuitumia kwa uhalifu nk to iran they don look like the kind of people who merely want them they have already choose their target so the argument of why they cant have it while others have is irrelevant! ofcourse on top of that we would like the world to be free from nuclear arms to hear another country is pursuing to have them is the knife at the spine to all peace lovers.
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Mar 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ahmedinejad kichwa chake kimejaa maji, akipatiwa bomu la nuklia madhara yake yatakuwa ya kutisha! Atatimiza ile ahadi yake ya kuangamiza taifa la Israel!
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  America ilishawahi kutumia siraha za sumu na mabomu ya atomic, hatujaona watu kushupalia kuwa inyang'anywe siraha za maangamizi... Israel na USA wanatumia siraha za sumu (White Phosphorus) dhidi ya wanawake na watoto wa Kipalestine, lakini hatujasikia mkiwashutumu wala kuwapigia kelele!
   
 9. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Una uhakika na unachosema au ni propaganda tu? Kama Israel wangeamua kuwaua hao watoto kuna Mpalestina angejifungua salama? Wapalestina wako mikononi mwa Wayahudi, na Wayahudi wangekuwa na rioho mbaya kama Waplestina na Waarabu ni wazi kuwa hao watoto na wazazi wao Wapalestina wasingekuwepo.

  Unanikumbusha vile vita vya 2007 kati ya Isareli na Magaidi ya Hizbollah kule Lebanon, Hizbollah waluipoipiga mabomu miji ya Israel na kuua watu waio na hatia hata watoto, dunia ilikaa kimya just because Hizbollah ni Magaidi! Israel walipowapiga Hizbollah, Hizbollah walijificha kwenye makazi ya raia, Israel alipopiga hayo makazi, dunia, Hizbollah na Waarabu wakapiga kelel kuwa Israel inavunja mapatano ya Geneva kwa kuwashambulia raia!
   
 10. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2010
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  :D Mbona unaongea usio yajua-Hezbullah walikuwa wanarevenge baada ya isreal kuanza kupiga mabom kwenye nyumba za civilian...mbona walikimbia kwenye vita? Ujuwe hawawezi vita wale wamiehsa zoweya kujificha au kutumia ndege za kivita....Afu nadhani wewe unasoma sana magazeti ya marekani ndo maana akili zako zinawasapoti wayahudi.....

  Matatizo yenu mnafata kundi la kondoo walio potea...:D
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  YAP! Wana akili sana kiasi cha kufanya mauwaji kama mchezo au sio?
   
 12. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Well that shall be a scapegoat to your hyprocacy mind. Iran amekuwa na mpango huo hata kabla ya Hamenijad hajaingia madarakani.
  Unachoshindwa kuelewa ni kuwa Iran kama nchi nyengine yeyote ina haki sawa na nchi nyengine yeyote.
  Irony ya mambo ni kuwa hao wastaarabu na wenye akili, wapenda demokrasia na sifa zote ndio waliotumia silaha za nuclear na ndio waliouwa binaadamu wengi kwa silaha ukianzia Vietnam, Iraq, na sasa Afghanistan.
   
 13. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Inaonyesha mwenye uhakika ni wewe kuwa una chuki binafsi na Waarabu kiasi cha kukosa ubinaadamu. Hivyo kujifanya kipofu kwa mauwaji ya dhahiri kwa Wapalestina ndio kutaondowa ukweli? Ukweli ni kuwa Waisrael ni Wauwaji na wanyama wasio na ubinaadamu. Unachotaka wewe na unachohofu sawa na wapenzi wako kuwa Iran atakuwa level na Israel na kwa vile Wairan si wanafiki kama Waarabu basi hofu inakutawaleni. Iran ana haki ya kujilinda na kujilinda au vita haichagui silaha, si juzi kwenye vita na Hizbollah Israel walitumia silaha zilizopigwa marufuku.
  Kichekesho kikubwa kuisema Iran na huku Israel tayari inatumia silaha za maangamizi kwa raia. Lazima muwe na aibu wakati mkionyesha chuki zenu.
   
 14. j

  jojig Member

  #14
  Mar 28, 2010
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii kitu ya Israeli vs Palestine and now Israel vs Iran mimi kwa mtazamo wangu kuna kahisia hisia ka dini kati ya waislam kuitetea palestina/iran na mtu yeyote anayepingana na Israeli while most of christians wanaisapoti Israelii.sasa kitu chochote kikishaingiza hisia za dini(uislam/ukristo) inakua ni too complicated to be resolved thats why mpaka leo bado ni kitendawili hii inshu kuisha.mimi nina washikaji waislamu huwa nawaona wanavyoiongelea hii inshu yani kwa uchungu kiasi kwamba hata wao ukiwaachia hizo nuclear weapons wallah hata wao wangeiangamiza Israeli faster kuliko hata huyo ahmadnejad ambavyo angefanya.
   
 15. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwani Israeli ameshawahi kusema kuwa anataka kulifuta taifa lolote kwenye ramani ya dunia.
  Huwezi mpa kichaa rungu halafu ukategemea asikuponde nalo.
  Irani haijanyimwa kutengeneza mitambo ya nishati ya nuclear,imepewa masharti ya kuzingatia.
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  NA hao Wapalestina wanao uwawa kila kukicha si binadamu?
   
 17. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2010
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ukweli ni huu:

  (01) Israel wanastahili kuwa na Silaha za Nyuklia kwa sababu hata "mvumbuzi" wa nyuklia ni MuEbrania.

  (02) Israel hawatamshambulia awaye yote bila yeye kushambuliwa kwanza.

  (03) Ardhi yote ya WaIsrael kama ilivyonenwa kwenye Biblia ni mali ya WaEbrania na siyo ya Wafilisti.

  (04) Wairan chini ya Uongozi wa Rais wa sasa wana chuki sana na WaEbrania na wanataka kuwaondoa kwenye ramani ya dunia. Huyo Rais anatakiwa afanyiwe kazi kama HITLA.

  (05) Mwarabu akitaka amani na MuIsrael basi amuachie ardhi yake yote na aende kwa Waarabu wenzake.

  (06) ANAYEMBARIKI ISRAEL NAYE ATABARIKIWA. ANAYEMLAANI ISRAELI NAYE ATALAANIWA.
   
 18. M

  Manitoba JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa mantiki hiyo, hata North Korea wana akili pia ... wanayo lakini hawaitumii mpaka washambuliwe
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Dhana yako si sahihi labda iwe for the sake ya kulifanya hili suwala kuwa la Dini.
  Hii dhana ya kufikiri kuwa Waarabu wote ni Waislamu sio sahihi na kwa maana hiyo kuna Wapalestina walio Wakiristo. AIDHA Iran ni nchi ya Kiislamu lakini Waarabu wote wanaojikomba kwa Marekani wanaipinga.
  Hapa ni suwala la maslahi ya Marekani dhidi ya haki za watu wa Middle East wawe Waislamu au Wakristo.
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  hata ukimbariki muuwaji ?
   
Loading...