Babu Seya's Appeal Set for November 30, 2009

Mods, naona kuna threads tatu zinazomuhusu babu seya inabidi zote ziunganishwe ibaki moja!
 
Sabi mbona sikuelewi?

Watanzania wangapi walio jela? Kwanini kina Nguza? Una udugu nao?

Assume ni kweli walifanya kilichosemwa kuwa wamekifanya, assume pia kuwa aliyefanyiwa hivyo ni mwanao na rafiki yako akawa anamwomba rais amwachie mtu aliyemfanyia hivyo mwanao, wewe utajisikiaje?

Si kesi inasikilizwa Novemba 30 mwaka huu? Mbona mnapenda kuingilia kazi za mahakama? Naamini haki itapatikana, kama hawakuhusika wataachiwa huru na natumaini wataomba kulipwa fidia.

Sidhani kama Sabi alishawahi kusoma kilichofanywa na Babu Seya. Ili kumsaidia tu ngoja nikuwekee nakala ya Hukumu ya kesi ya Babu Seya katika Mahakama Kuu ambayo ndiyo hukumu iliyokatiwa rufaa. Mkimaliza kuisoma ndiyo tuendelee na mjadala. Mimi nitajitahidi nisichangie. Nitawaaachie wenyewe.

Tazama attachment hapo chini.
 


sidhani kama sabi alishawahi kusoma kilichofanywa na babu seya. Ili kumsaidia tu ngoja nikuwekee nakala ya hukumu ya kesi ya babu seya katika mahakama kuu ambayo ndiyo hukumu iliyokatiwa rufaa. Mkimaliza kuisoma ndiyo tuendelee na mjadala. Mimi nitajitahidi nisichangie. Nitawaaachie wenyewe.

Tazama attachment hapo chini.

pia kwa faida yetu sote ni muhimu tukasoma na hukumu ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu ili kujiridhisha na ushahidi ulikuwepo.

Mahakama ya rufaa nao watapitia hukumu hizi mbili kwa umakini mkubwa.

Tafadhali tazama attachments.
 

Attachments

  • HUKUMU Nguza-Vicking-RM-Court.doc
    176 KB · Views: 187
The court of appeal will later this month start hearing this appeal. The Appelate Court Bench will be chaired by Justice Nathalia Kimaro , aided by Salum Massati and Mbarouk Mbarouk. Other appellants are Papii Nguza, Nguza Mbangu and Francis Nguza. Note that this will be their final attempt to gain their freedom[The Court of Appeal - Tanzania is the highest court of the land].

Let us look at the merits of this appeal. Is there any one with the detailed case report at the lower courts on this case?

Shadow and all JF members,
See my attachements above. i have tried to send you the cases both from Kisutu and High Court and from there we can decide if there is merit in the appeal to the Court of Appeal.
 
Sidhani kama Sabi alishawahi kusoma kilichofanywa na Babu Seya. Ili kumsaidia tu ngoja nikuwekee nakala ya Hukumu ya kesi ya Babu Seya katika Mahakama Kuu ambayo ndiyo hukumu iliyokatiwa rufaa. Mkimaliza kuisoma ndiyo tuendelee na mjadala. Mimi nitajitahidi nisichangie. Nitawaaachie wenyewe.

Tazama attachment hapo chini.
Tatizo hapa sio hukumu, ila mazingira ya kesi yalionesha utata, ndio maana watu walipiga kelele sana, na mpaka sasa bado wanapiga kelele, hapo lazima uchunguze ni kwa nini wanapiga kelele kwa nguza na sio kwa wengine waliowekwa ndani?

Attachment nimeisoma, lakini ilichapishwa baada ya kutolewa hukumu ya kesi ambayo watu wanadai iliendeshwa isivyo.

Mwenendo wa kesi ni vyema ukapitiwa upya,
 
This is going too far, Hii rufaa haijasikilizwa, kwa hio sio busara wanaJF sasahivi kuanza kucomment and or look at the meris of the appeal. Tuache waliopewa kazi hiyo kisheria na kikatiba waifanye kwa jinsi utaratibu unavyowataka wafanye. Mods tuangalie msijiingize kwenye masuala yanayoweza kuleteleza contempt of court kwani kujadili kesi ambayo iko pending ni kosa.

Msaada tafadhali.

Ni sheria gani inayokataza kujadili kesi ambayo iko mahakamani?
 
Msaada tafadhali.

Ni sheria gani inayokataza kujadili kesi ambayo iko mahakamani?

PENAL CODE SECTION 114
Contempt of court
(1) Any person who–

(a) within the premises or the precincts of premises in which any judicial proceeding is being had or taken, shows disrespect, in speech nor manner, to or with reference to such proceeding, or any person before whom such proceeding is being had or taken;

(b) having been called upon to give evidence in a judicial proceeding, fails to attend or, having attended, refuses to be sworn or to make an affirmation, or having been sworn or affirmed, refuses without lawful excuse to answer a question or to produce a document or other thing, or remains in the room in which the proceeding is being had or taken, after the witnesses have been ordered to leave that room;

(c) causes an obstruction or disturbance in the course of a judicial proceeding;

(d) while a judicial proceeding is pending, publishes, prints or makes use of any speech or writing, misrepresenting the proceeding, or capable of prejudicing any person in favour of or against any parties to the proceeding, or calculated to lower the authority of any person before whom that proceeding is being had or taken;

(e) publishes a report of the evidence taken in any judicial proceeding which has been directed to be held in private;

(f) attempts wrongfully to interfere with or influence a witness in a judicial proceeding, either before or after he has given evidence, in connection with the evidence;

(g) dismisses a servant because he has given evidence on behalf of a certain party to a judicial proceeding;

(h) wrongfully retakes possession of any land or other property from any person who has recently obtained judgment from a court for the recovery of possession of that land or property;

(i) wrongfully retakes possession of a child from any person who has obtained the custody of the child under an order of court;

(j) having the means to pay compensation or costs or any other sum in civil or criminal proceedings awarded against him by a primary court, wrongfully refuses or neglects after due notice to make the payment in accordance with any order for payment whether or not by instalments; or

(k) commits any other act of intentional disrespect to any judicial proceeding or to any person before whom the proceeding is being heard or taken,

is guilty of an offence, and is liable to imprisonment for six months or to a fine not exceeding five hundred shillings.
 
Sabi mbona sikuelewi?

Watanzania wangapi walio jela? Kwanini kina Nguza? Una udugu nao?

Assume ni kweli walifanya kilichosemwa kuwa wamekifanya, assume pia kuwa aliyefanyiwa hivyo ni mwanao na rafiki yako akawa anamwomba rais amwachie mtu aliyemfanyia hivyo mwanao, wewe utajisikiaje?

Si kesi inasikilizwa Novemba 30 mwaka huu? Mbona mnapenda kuingilia kazi za mahakama? Naamini haki itapatikana, kama hawakuhusika wataachiwa huru na natumaini wataomba kulipwa fidia.

walahi wasipotoka hao basi tena! familia ndo ishafika 'ukingoni' tatizo sio kufungwa! tatizo ni familia! inamaana mpaka wale wakina Fransic walikuwa wanawafanyia hao watoto mchezo huo 'mchafu'????
 
da hawa watu watoke tu jamani,unajua sheria kila mtu anazivunja kwa namna yake but kuna mda tufike tutumie ubinadamu kuamua mabo mimi naamini kama sheria ikitumika popote hata hao mahakimu na mawakili hakuna atakae baki wote tuta ishia jail 4 life
 
What are grounds of Appeal?????.....any room of success apart from kusema walionewa, tujadli vigezo vilivyotumika kuwatia washtakiwa hatiani katika trial.....yapo wapi ya Republic V Zombe and others....(Zombe alionewa kushtakiwa au amehurumiwa kuachiwa????)
 
jamani Nauliza rufaa ya kina Babu Seya inasomwa lini ? maana nimeota kuwa jamaa wameachiwa huru, huru kabisa.
 
Back
Top Bottom