Recent content by MANAMBA

  1. MANAMBA

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Kama wanamtaka kwanini wasimteue kugombea urais huko kwao? hiyo peke yake inatosha kumuengua katika kinyang'anyiro hicho kwani amejitaja kuwa yeye ni kibaraka wao. Asante kwa taarifa
  2. MANAMBA

    John Magufuli, kutaka kuwe na Wizara ya Miundombinu ni matumizi mabaya ya rasimali fedha

    Ametuonyesha umuhimu wa kuwa na katiba mpya ambayo itaweka wazi idadi ya wizara na majina yake kwani mtu kama huyo ambaye ni miongoni mwa wagombea watarajiwa wa urais wa chama chake endapo akiwa ndiye kiongozi wa nchi anaweza kujiamulia kuweka mawizara kibao yasiyo na tija. Kwani Meya wa jiji...
  3. MANAMBA

    Hivi Tanzania ina Balozi wake nchini Botswana?

    sawa, pole sana kwa usumbufu. kama nilivyosema huyo jamaa ni walewale, itakuwaje ajisingizie kuwa ni balozi wa tanzania nchini botswana wakati hakuna ubalozi huo? kwa nchi za kusini; Namibia, Swaziland , Lesotho na Angola hatuna ubalozi. Huyo jamaa kwanini muda mwingi anakuwa mtaani kwenu badala...
  4. MANAMBA

    Jamani waalimu wenzangu, nafikiri hili litatufaa zaidi

    Tangu lini waalimu wa bongo wakagoma? Tatizo ni kwamba hawatambui nguvu yao, hivyo wanaishia kufa na tai zao shingoni
  5. MANAMBA

    Askofu Tibanenason aunga mkono Rais kusaini Muswada wa Marekebisha ya Katiba 2011

    Hii miaskofu uchwara injili ikiwashinda inahubiri siasa wasizozijua. Wawasaidie waumini wao kumjua Mungu na kumtii ili pamoja na shida wanazopata hapa duniani wafike mbinguni kuliko kuwafanya wakose vyote.
  6. MANAMBA

    EDWARD wa 1 na EDWARD wa 2, wanatofautiana sura, lakini wanafanana jina, kabila na uchapakazi

    Acheni kutuchefua kila kukicha mnatulazimisha kumjadili mtu wenu ili iweje?
  7. MANAMBA

    Hizi Traffic signs mpya zinatuchanganya

    Huu ni uhuni, wanafikiri kuwa barabara zetu zinatumiwa na watanzania pekee? jamani tutaacha lini ubabaishaji kila sehemu! kama hazitakiwa kutumika sasa iweje zimewekwa sasa si wangeweka muda huohuo zinzpotakiwa kutumika?
  8. MANAMBA

    Hivi Tanzania ina Balozi wake nchini Botswana?

    Kutumia neno tetesi nadhani limetumika vibaya katika maelezo yako. Si suala la tetesi bali ni ukweli kwamba Tanzania haina ubalozi nchini Botswana, balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini ndiye pia anaiwakilisha TZ huko Botswana. Pompous za huyo jirani yako ni matatizo yake ya makuzi tu...
  9. MANAMBA

    Ni chizi anayeweza kusema eti Nyerere hajawahi kuwa raia wa Tanzania

    Ni kosa la ki maadili kumtuhumu mtu (mfu) asiyeweza kujitetea
  10. MANAMBA

    CCM kulichukulia hatua gazeti lililo chapisha habari za kupotosha umma

    Gamba limewashinda wanatafuta kuhamisha attention ya watu wasiwaulize mambo ya magamba
  11. MANAMBA

    George Bush amekuja kufanya nini Tanzania?

    Ni Uranium ya Namtumbo Songea, vinginevyo aje kutafuta nini bongo?
  12. MANAMBA

    Mukama, Dr. Bana on CCM Kujivua Gamba on TBC!

    Wanaandaa mashtaka wakati wanajifanya kuwa hawawajui watuhumiwa wa ufisadi? hawa jamaa vipi? haya ni matumizi mabaya ya radio ya umma.
  13. MANAMBA

    UVCCM kuandamana kumuunga mkono JK baada ya kusaini mswaada wa katiba!

    Sasa ujariri upi? walitaka asini nani wakati Rais ni yeye, hawa jamaa vipi? Ama kweli panya akitaka jina hujipitisha kwa watu
  14. MANAMBA

    Kampuni moja ya simu kupitia wafanyakazi wake wa hack simu ya sugu.....

    Kumbe Ubunge ni kiingereza! nilikuwa sijui, hata bunge la china wanaongea kiingereza.
  15. MANAMBA

    Katunukiwa PHD?

    Kila kitu kinageuzwa siasa katk TZ !
Back
Top Bottom