Katunukiwa PHD?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Mwenyekiti wama
s9.jpg
 
thubutu!yaani hadi huyo apewe kama ya mme wake!!hakuna kitu,alialikwa kwenye graduation ya watoto wa chekechea!
 
heeeeeee jumba la JK never seen woote wasomi wenye miPHD kibao ukijumlisha yoote sasa imefika 16 zake na mke wake hv UPROF hawawezi kupewa???
 

Huu ndiyo ujinga baadhi yetu tunaulalamikia kuhusu matumizi ya "academic/graduation gowns", hawa wake zetu na mavazi hayo wapi na wapi?

Nimeona mapicha (ikiwemo hiyo) na habari kuhusu Mahafali kule chuo cha uongozi wa Mahakama Lushoto ambako inaelekea kila kiongozi aliyekwenda na mkewe basi alivikwa joho yeye na mkewe. Inaashiria nini hii? Wengine hayo makofia ya duara tunayaheshimu kweli.
 
Kwa mtindo huu wenye PhD za ukweli tunakereka sana. Hawa jamaa wanashusha heshima ya Hilo vazi na digrii ya uzamivu kwa ujumla.
 
Mi naona sasa kazi za kiaccademics zimengiliwa wapige marufuku uvaaji wa
majoho kiholela
 
Hivi mimi huwa najiuliza watu wanaosimamia elimu hapa Tz wamelala usingizi au vipi? sijui wanaitwa nani vile, hawa jamaa hawajui thamani ya elimu hata kidogo. Mtu kama Kikwete hastahili kuitwa DK. sehemu yoyote hapa duniani kwani hana degree tatu au degree yoyote ya dawa za binadamu au wanyama.
Pumbafu sana hawa jamaa, nimewasahau....
 
:shock: Nimepatwa na shock......
Sasa Salma na yeye kwa ninialikubali kuvalishwa?
hajawahi kuvaa tangu azaliwe, golden chance

jamani ndugu zetu, mkiona wasiofaa wanavaa haya majoho mkatae kushiriki nao na ikibidi muende na nguo zenu bila majoho... kwani sheria inasemaje mtu kupewa shahada (kuvishwa kofia) bila joho??

hawa wengine wanatia najisi hizo nguo za heshima
 
Hawa ni wataalam wa kuchakachua. Hufika muda hata wenyewe huwa waajichakachua. Sasa we mtu bila woga anachukulia PhD kiulaii wakati watu waatabika kuipata.
 
Back
Top Bottom