EDWARD wa 1 na EDWARD wa 2, wanatofautiana sura, lakini wanafanana jina, kabila na uchapakazi

Status
Not open for further replies.
jamaa naona wanatumia jik kumsafisha kaka el :director:

Bado nashangaa, tuhuma za EL ni kwenye magazeti na vyombo mbalimbali vya habari. Ushahidi hakuna. JK Mwenyewe kapigwa dongo na EL kakaa kimya. Hizi tuhuma za hisia hizi!
 
Asante mkuu kwa kusaidia kuelezea tofauti ya haya watu wawili. Inasikitisha mtu anapofananisha watu wasiofanana kwa lolote kuanzia kwenye uchapa kazi, uadilifu na kupenda nchi yake. Tuwe wakweli tunapotetea hoja zetu kama hatuna takwimu basi tunyamaze.
 
kumfananisha EDWARD lowasa na EDWARD sokoine ni sawa na kumfananisha J.K NYERERE na J.K mrisho. kumbukeni kuwa NDEGE WAFANANAO HURUKA PAMOJA ndo mana j.k nyerere alimkataa J.K mrisho na EDWARD LOWASSA.
 
Hayati Moringe alikuwa halali, kila siku alihakikisha anapambana vikali na walanguzi pamoja na wahujumu uchumi. Alikuwa ni kati ya mawaziri wakuu bora kabisa. Ngoyae naye akiwa na wadhifa huohuo alihakikisha anapambana na viongozi wazembe kwa nguvu zake pamoja na kuhimiza bidii katika kulijenga taifa. Moringe alifariki kwa ajali ya gari kabla ya kutimiza ndoto yake ya kuwafyeka wahujumu, Ngoyae yeye alijiuzulu kwa kutwishwa zigo la dhambi za watu wengine ili kupitia yeye waokoke na kuingia katika ufalme wa milele. Wajuvi wa mambo walitabiri kuwa Moringe ndiye angekuwa mrithi wa Julius wakati wadadisi wa mambo wanaamini kuwa Ngoyae ndiye atakuwa mrithi wa kiti cha Mrisho. Haya ni maoni, watukanaji watukane! Wenye akili timamu wanakaribishwa sana.
JE sokoine naye alikuwa mwizi kama Lowassa? Sokoine je alikuwa mbinafsi na mwenye kujilimbikizia mali? Kati ya hao kuna mmoja ambaye ni chakula na mwingine ni kinyesi
 
JE sokoine naye alikuwa mwizi kama Lowassa? Sokoine je alikuwa mbinafsi na mwenye kujilimbikizia mali? Kati ya hao kuna mmoja ambaye ni chakula na mwingine ni kinyesi

Kila mtu katawala kwa wakati wake, yule enzi ya ujamaa huyu ubepari. Kwani wewe nani kakukataza kujilimbikizia mali?
 
Edward wa1 ALIKUWA NA MOYO WA UTU SI KAMA HUYU Edward wa2 FISADI.
 
Hauwezi Kumafananisha Hayati Edward Sokoine Na Edward Lowassa
Kwa Mambo Yafuatao,Sio Kwamba Natukana Bali Ni Ukweli Usiofichika
1.Late Sokoine Hakujilikimbizia Mali zozote Kama Lowassa Hata Siku ya Msiba wa Sokoine watu walipashangaa nyumbani kwake kulivyokuwa pa kawaida tu hauwezi kuzani ni sehemu ambapo waziri mkuu alikuwa anakaa
2.Late Sokoine Alikuwa mwadilifu,hakufanya biashara yeyote kipindi alipokuwa waziri mkuu tofauti na lowassa amekuwa akifanya biashara mbalimbali kama kampuni yake ya Alphatel
3.Late Sokoine hakuwa na skendo yeyote kama lowassa,lowassa ana skendo nzito ya richmond ambapo paka sasa hivi anashindwa kuongea ukweli kuhusu hilo swala
4.Late Sokoine Aliacha uwaziri mkuu kutokana na mapenzi ya mungu ambapo alipata ajali ya gari,lowassa alijiuzulu kwa aibu ya kulihujumu taifa
5.Tukija suala la Kigenetic Late Sokoine Ni Mmasai Bali Lowassa sio Mmasai bali ni Mmeru...,ndio maana Ole Sendeka aliwahi kumfananisha na Mbuzi Anayejichanganya katikati ya Kondoo!
6.Tukija pia kwenye suala la uchapakazi...wote kiukweli ni wachapakazi ila tofauti kubwa according to the above points

ila kiukweli Hayati Moringe Sokine Hauwezi Kumfananisha na Edward Lowassa Hata Siku Moja! Hauwezi Kufananisha Nokia ya Mchina Na Nokia Ya Mhungary ingawa zote ni nokia
 
Tungekuwa na siasa za kibepari tangu enzi hizo, hata Moringe pia angekuwa mfanya biashara. Kuna tofauti hapa, tunalazimisha ujamaa wa kufikirika wakati tulisha uacha. Hukatazwi kujilimbikizia mali mradi uwe umeipata kihalali. Ngoyae ametuhumiwa sana wizi na ufisadi. Imekuwa kama wimbo, ushahidi hakuna. Kutuhumu kitu bila ushahidi ni sawa na upunguani.
 
usilete issue za presumption of innocence hapa watu tunamaumivu na resources zetu bwana kumfananisha mtu mwenye ethics nzuri na mtu ambaye ni mbathirifu ni kukosa nidhamu kwa watanzania wenzako ambao wanauzalendo na kuliurumia taifa lao kama unasupport ujinga katafute tanzania yako na watu wa aina yako ndo utoe argument zako
 
tehe tehe teh, debe tupu haliishi..........!
 
Inawezekana kabisa EL ni fisadi ,,ninachoamini asilimia kubwa ya wa TZ ni washabiki na si watafuta ukweli,,wengi huwa tunajua kushabikia hasa jambo likitokea bungeni maana tunaamini habari za muhimili huo,,lkn tunashindwa kufikiria kuwa kunawatu wanamaslahi binafsi ,,kama EL hafai kuwa rais JK HANA UHALALI WA KULIONGOZA TAIFA HILI MAANA NAE NI FISADI,,,,KAMA SHERIA INATUKATAZA TUSIHUKUMU BILA USHAHIDI BASI TUTAFUTE USHAHIDI WA TUHUMA ZA JK NA EL ,,,nchi hii imeoza inanuka,inatiakinyaa,,,RAIS FEKI,WATENDAJI WAKE FEKI,CCM FEKI WAANDISHI WENGI FEKI,,WANASIASA WENGI FEKI....UCHUMI UMEDORORA ,FALSAFA YA HALI ZAID,KASI ZAID NA NGUVU ZAID IMEFELI .........POOR TANZANIA
 
Mungu mchukue Lowassa, sisi tunampenda, lakini wewe unampenda zaidi
 
Hayati Moringe alikuwa halali, kila siku alihakikisha anapambana vikali na walanguzi pamoja na wahujumu uchumi. Alikuwa ni kati ya mawaziri wakuu bora kabisa. Ngoyae naye akiwa na wadhifa huohuo alihakikisha anapambana na viongozi wazembe kwa nguvu zake pamoja na kuhimiza bidii katika kulijenga taifa. Moringe alifariki kwa ajali ya gari kabla ya kutimiza ndoto yake ya kuwafyeka wahujumu, Ngoyae yeye alijiuzulu kwa kutwishwa zigo la dhambi za watu wengine ili kupitia yeye waokoke na kuingia katika ufalme wa milele. Wajuvi wa mambo walitabiri kuwa Moringe ndiye angekuwa mrithi wa Julius wakati wadadisi wa mambo wanaamini kuwa Ngoyae ndiye atakuwa mrithi wa kiti cha Mrisho. Haya ni maoni, watukanaji watukane! Wenye akili timamu wanakaribishwa sana.[/QUOTE

nakataa katakata.....
lowassa ni mmeru vs sokoine mmasai.
lowasa fisadi vs sokoine muadilifu.
lowassa ambitious vs sokoine mzalendo.
lowassa anachapa kazi kisanii na kisiasa zaidi vs sokoine mchapakazi kutoka moyoni...
nyingine ongezea mwnyw....
 
Naamini Lowassa angepewa muda angemwacha mbali sana Moringe katika kuchapa kazi.

Kibwenga umelaaniwa! hauwezi kumfananisha lowasa na moringe! lowasa na kashafa ya wizi,ufusadi na kujilimbikizia mali, Moringe hadi anakufa hakuwa na mali wala kampuni zozote! acha kushusha hadhi ya Hayati Edward Sokoine kwa kumfananisha na Lowassa
 
Tungekuwa na siasa za kibepari tangu enzi hizo, hata Moringe pia angekuwa mfanya biashara. Kuna tofauti hapa, tunalazimisha ujamaa wa kufikirika wakati tulisha uacha. Hukatazwi kujilimbikizia mali mradi uwe umeipata kihalali. Ngoyae ametuhumiwa sana wizi na ufisadi. Imekuwa kama wimbo, ushahidi hakuna. Kutuhumu kitu bila ushahidi ni sawa na upunguani.[/QUO

Hata Kama tungekuwa na Siasa za Kipebari...,Sokoine Asingefanya biashara! kwani hata kipindi kile enzi za mwalimu mafisadi walikuwepo na aliwachukulia hatua kama lowassa angekuwepo kipindi kile na post ya uwaziri angekiona cha moto kwa mawalimu nyerere! suala la tuhuma za wizi za lowassa sio nyimbo bali ni ukweli unaotaka kupindishwa kuwa uongo...Lowassa kwa nafasi alizoshika serikalini hawezi kuwa na mali alizonazo sasa hivi...hebu fikiria mtumishi wa serikali anamiliki kampuni ya simu yenye worth of billions?
 
Umechunguza na kukuta ana hisa kwa asiliamia 100. Nasimamia kwenye ushahidi na si porojo za uchochoroni mnazotuletea hapa. Mambo ya kusikia, kuiga na kufuata mkumbo wa maadui wa mtu hatuyataki hapa.
 
Tupigane na mfumo wa kisiasa unaoruhusu viongozi wa kisiasa kufanya biashara wala si kumchukia mtu kwa sababu yuko kwenye siasa huku akifanya biashara kubwa. Kwa mfanya biashara kuwa na pesa nyingi si tatizo kwani hatujui faida anayopata katika biashara zake. Hakuna sheria inayokataza mwana siasa kuwa mfanya biashara.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom