Jamani waalimu wenzangu, nafikiri hili litatufaa zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani waalimu wenzangu, nafikiri hili litatufaa zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by semako, Dec 2, 2011.

 1. s

  semako Senior Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na madai yetu kupigwa kalenda kila mara tugome kisaikolojia,kama una vipindi 50 fundisha 4 tu kisha nenda katafute mahali pengine;Kumbuka kisingizio cha ugaidi ndio sababu ya kuzuia maandamano.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Me nimeanza kitambo tu mdau
   
 3. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naomba ukumbuke kuwa Ualimu ni wito
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Fk wito atakula chaki???
   
 5. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Acha upumbavu wewe. Wito ndio mdudu gani. Ualimu ni kazi kama nyingine. Heshimu taaluma za watu.
   
 6. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ukifika kwa darasa toa exercise swali moja then unayeya halafu tuone nani zaidi?
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wito? wewe wito wako ni nini bwana, wenzenu wito na ninyi je MNAKUWA WEZI TUU!
   
 8. A

  Anny marwa Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wito wa nini? Kwahiyo utakubali kugandamizwa kisa wito, ni kazi inayotakiwa kuheshiwa na kila m2, mwlm akiamua kulipumbaza toto lako anaweza.
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu kunahaja ya kutafuta jinsi nyingine ya kugoma lakini hii itafanya vizaliwe vichwa vingi vya aina ya jk na kitu ambacho hatutaki!
   
 10. k

  kuniyachuma Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  polee sana, wenzio tupo nusu fainali!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,029
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Eti eeh ni wito wakati unalala njaa?
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,029
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Fanyeni anzeni kufundisha somo linaloitwa CCM wanyonyaji,wafundisheni watoto kuichukia CCM.
   
 13. b

  beny hiluka Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuwa na huruma kwa binadamu wengne.
   
 14. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  nadhani ndo itakuwa powa maana serikali haioni umuhimu wao! hawajui kwamba walimu ndo CPU
   
 15. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Fanyeni ule mgomo mdogo mdogo wataona tu
   
 16. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Njoo private school ndugu....acha woga coz ni ngumu kugoma na primary school teachers.
   
 17. M

  MyTz JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu hilo somo likiwepo, nitajitolea kufundisha bila malipo...
   
 18. M

  MyTz JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wito upi mkuu?
  thamini taaluma na utu wa wenzako wewe...
   
 19. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #19
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tangu lini waalimu wa bongo wakagoma? Tatizo ni kwamba hawatambui nguvu yao, hivyo wanaishia kufa na tai zao shingoni
   
 20. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ualimu ni Kazi na watu wameitikia! Kama wito nenda halafu usilipwe! Ualimu kazi.
   
Loading...