UVCCM kuandamana kumuunga mkono JK baada ya kusaini mswaada wa katiba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UVCCM kuandamana kumuunga mkono JK baada ya kusaini mswaada wa katiba!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Nov 29, 2011.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kuna tetesi kuwa, UVCCM wanaandaa maandamano ya kumpongeza kwa ujasili wake wa kuusaini mswaada wa kuanza mchakato wa katiba leo. Maandamano haya yatafanyika hapa DSM na mikoani, kwa hapa dsm inasemekana atayapokea mwenyekiti wa chama, jk mwenyewe.
  more news to come!!!!
  source....vigogo wa uvccm.
   
 2. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hainingii akilini, ntarudi baada ya upekuzi
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  stop! Al shabab threat
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ngoja tusubiri Al-shabab hawatakuwepo
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Siku hiyo hiyo na sisi tuandaname KUPINGA NA KULAANI likatiba hilo bovu....
   
 6. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  alishabab wana bifu na cdm tu! hawana shida na ccm
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  ccm mkombozi watz wote........watz ni mashahidi kwa kukombolewa kutoka utumwa wa mafisadi...sasa watz wako huru
   
 8. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Alshabaab
   
 9. N

  Ndole JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sawa baba/mama
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,646
  Likes Received: 2,877
  Trophy Points: 280
  Kumbe ilihitaji ujasiri kuusaini muswada? Hii inatoa picha gani, kuwa muswada una matatizo ndio maana alihitaji ujasiri, otherwise kama ni muswada mzuri angesaini tu bila kuumiza kichwa!
   
 11. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kamanda Kova taarifa za kiintelejensia zinasemaje? Au Al shabab hawana bifu na CCM
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  simple minded as always vijana wa chama changu baaana
   
 13. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa ujariri upi? walitaka asini nani wakati Rais ni yeye, hawa jamaa vipi? Ama kweli panya akitaka jina hujipitisha kwa watu
   
 14. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Wakairuhusiwa kuandamana basi ntajiuliza mara 2iweje wao wkt wanaharakati walinyimwa
  aisee alshabaabu wajitoeze wavue hawa jamaa magamba yao
   
Loading...