Recent content by Mama Yeyoo

  1. Mama Yeyoo

    PENDEKEZO LA WASTANI: Tusiishie kutengana kwenye kuchinja; tutengane kwa kila kitu...

    Mhhhh!!!!Nimeipenda HII....ili kusaidia kututenganisha haswaa pawe pia NA sensors ambazo zitawekwa ktk SEHEMU zote hiZo ulizozitaja,muislamu akikosea akakanyaga kwa Mkristo basi alarm ifanye mambo yake and vice versa...pia Si mbaya ukuta mkkubwa ukajengwa kutenganisha makazi ya wakristo NA...
  2. Mama Yeyoo

    Shule za boarding na chanzo cha watoto kuaribika

    Hii KITU KWA kweli KWA maoni yangu haina jibu Moja....wakati boarding sio suluhisho sahihi kupeleka watoto hasa wadogo I.e shule ya msingi na chini ya hapo.....pia day school pekee sio kigezo KUWA mtoto ataepishwa na hilo balaa....mm KWA maoni yangu wakati mwingine wazazi tunashindwa kabisa...
  3. Mama Yeyoo

    Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

    Hahahaaaaaaa!!!!ndio ww ulikuwa unachukua maziwa unawahonga wadada wa A level then unajichukulia wao mazimaaaaa...!!?tena humo humo ktk banda la ng'ombe....LOL!!!!nimeshakufahamu mieee...heheheeee....seriously u were one of the Loleza community member .....
  4. Mama Yeyoo

    Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

    Hahahaaa!!!walijua kuvitengeneza haswaa...vikiwa Vya motomoto unakula hadi basi...halafu uzuri no artificial additions...just ndizi kisukari na unga wa mahindi baaasi....
  5. Mama Yeyoo

    Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

    Lol!!!!I missed this...!!!Bujibuji lazima ulikuwa Iyunga au MTC.....enzi za hao wote uliowataja hapo juu....tena usinikumbushe Kajange...!!!hahahaa..Yule babu alikuwa hakubali tukatize lile geti....!!but tulikuwa tunakula kona vilevile...usicheze NA adolescence bwana....!!Lol
  6. Mama Yeyoo

    Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

    Mwehhhh!!!!!Bujibuji umenichekeshajeeeee !!!!!!umenikumbusha mbali kweli NA hivyo VIBAMA!!!!!tulivilajeee wakati tupo Loleza.....hahahahaaaa!!!!!!kweli JF is a stress free zone....LOL!!!
  7. Mama Yeyoo

    Sipati Picha Migombani Uko!

    It's Halloween not halowing....
  8. Mama Yeyoo

    Mtunzi wa vitabu Joram Kiango

    Bado kuna huyu Kajubi Mukajanga...bado yupo hata SASA na vriwaya sake Mpenzi NAMBA 1&Mpenzi NAMBA 2....siwasahau hadi Leo wahusika wakuu akina Fadhili Magoma na Diana..yaani utunzi ule ilikuwa unateka hisia ZA msomaji hadi basi....
  9. Mama Yeyoo

    Dedication for all JF walio na mapenzi ya kweli kwa wenzi wao

    Soo true!!!nakushukuru MUNGU KWA yote...May be I look at the house I am living and wish I had mansion...bottom line nakushukuru MUNGU KWA Nyumba ninayoishi hata Kama ni ya kupanga....May be I look at the car I have and wish that I had a Vogue,but bottom line I thank God for the car I have even...
  10. Mama Yeyoo

    Kosa la ponda ni lipi?

    Mungu alituumba kisha akatupa maamuzi ya kuchagua imani ambayo itatuunganisha naye ili kuiona mbingu...ambacho kinanipa shida ni jinsi bianadamu anavyojipa haki kuliko mungu mwenyewe....eti huyu si wa imani yangu so hafai kuishi duniani au hafai kuwa jirani yangu....!tunakosa uvumilivu ambao...
  11. Mama Yeyoo

    Eeeh Mola wapatie waja wako ulinzi: Bazazi mlawiti akutana na 40 yake! (some graphical pics)

    Kwa kuangalia picha za huyo mtu na za huyo mtoto alivyojeruhiwa ni wazi kuwa hakuna namna katika hali ya kawaida ukaelezea alivyoweza kumponyoka na kushindwa kutimiza ushetani wake zaidi ya kuona nguvu ya ulinzi wa Malaika kwa huyo mtoto katika ulimwengu wa kiroho.../tell me alipambana Naye...
  12. Mama Yeyoo

    Hapana Chezea Wadada Wa Mjini Daslamu..

    Siku hizi asilimia kadhaa ya jinsia Zote zimetumbukia ktk huo mtego....!!!me wanachuna buzi..ke nao hali kadhalika..
  13. Mama Yeyoo

    Nani anakumkumbuka Mzee Jangala Mzee Kagunga na Kundi lao enzi hizo??

    Hahaaaaaaaaaaa !!!umenikumbusha mbali sana na huyu mzee...yupo ktk level nyingine kabisaaa...nakumbuka nilikuwa sikosi kusilikiza mchezo wake...alikuwa anauvaa uhusika hadi basi...alivyokuwa mbishiiiiii!!!!!!!lol...kwa sasa namuona ktk vipindi Vya vichekesho channel ten...bado anafunika...
  14. Mama Yeyoo

    Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

    Mm wangu nikiwatahiri wakiwa na miaka miwili..ila wapo ninaowafahamu waliotahiri wa kwao walipokuwa na miezi miwili tu...
  15. Mama Yeyoo

    Msaada: Kumtoa mtu kwenye matumizi ya madawa ya kulevya

    Ingia katika blog ya ladyjaydee peruzi kurasa za nyuma,i think za march-may 2012 kuna post aliweka ina rehabilitation centre for addicts imenzishwa ipo Mikocheni...kuna contacts zao humo...all the best with her mkuu
Back
Top Bottom