Sipati Picha Migombani Uko!

Sipati Picha Migombani Uko!

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,917
Reaction score
5,316
Ile mida ya wale wa migombani kujongea kwa kunyumba.. Nyimbo za Judy Boucher na Lucky Dube zinahusika sana muda huu! Kila la kheri wa migombani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Afadhali wao wana pa kujongea walau mara moja kwa mwaka. Ungewakumbuka na wale wanaoishi kama vile hawana kwao (homeless) kwani ni nadra kwao kuwa na mahali pa kujongea walau mara moja kwa mwaka ukizingatia pia kwamba miji yetu kwa sasa haina hata maeneo ya wazi ama viwanja kwa ajili ya kujumuika.
 
wanaenda kutambikia mizimu hao hamna lolote
 
haya mambo yalikuwa zamani bwana mambo sikuhizi yamebadilika ,hiki kizazi cha .com hakimind sana mambo haya
 
Nyumbani ni nyumba mmenifanya nimkumbuke marehemu baba yangu kipindi kama hiki unakuta ameshaandaa beberu kuna ndizi mshare inaninyinia na ndizi za mbege zimeva tayari kwa shughuli ya kuanzia tar 24 so sad.
 
East or West Home is the Best, Mkataa Kwao Ni Mtumwa.
 
Kweli wajameni mi ndo finalize mambo nipate kucharu nikapate stim ya mbege na kisusio
 
wanaenda kutambikia mizimu hao hamna lolote

Wewe ndio huna lolote..mbona marekani wana halowings na thanks giving (yote matambiko) lakini kwa sababu wanafanya wamarekani (na tayari hapa nchini mshaanza kuiga) inaonekana ni best! Len me tel u smtng hata wa Israel kuna dini na mila wanazozitumikia that y are strong, hao wachagga wanawaheshi mababu na uzao wao thts why are strong! Akili za mzungu changanya na zako usiwe mweupe ivyo
 
It's Halloween not halowing....
 
Back
Top Bottom