Hapana Chezea Wadada Wa Mjini Daslamu..

miaka.........
baada ya beijing, wanawake tunawezaaaaaaaaaaaaaaaa..................
 
jamaniiiiiiiiiiiiiiiii
yaan heb niichek saa hz nicheke...

alinifurahisha sana dogo............QUOTE=The Boss;4461226]ha kumbe wewe unamkumbuka 'mr Mackintosh'?[/QUOTE]
 
Wadada wameweka UCHUMI wao mbele alaf Nyie wababa mnakalia vya kwenu!
 
Siku hizi asilimia kadhaa ya jinsia Zote zimetumbukia ktk huo mtego....!!!me wanachuna buzi..ke nao hali kadhalika..
 
watoto wa a town huwa wanaogopeka nao coz duh?wamezoea kuhongwa mijihela mingi sana

ninachowasifu hawakodi majambazi kuja kukuibia kama wa dar siku hizi. Anakukuruka kivyake, unampa chake mnaachana. Ukipenda mzigo unamtafuta na kesho.
 
Hujasikia lile tangazo la 'amekalia stuli ya dhahabu, halafu bado anaomba. Verry strange'. Wanalienzi hilo tangazo.
 
Utakuta Mdada hana kazi wala nn? Kapanga Chumba au Vyumba Sinza, K'nyama, Mbezi nk fully furnished.. Iphone ya hatari full loaded muda wote.. Kila dakika siku iko busy kama opereta wa posta.. Pamba kibao na za ukweli kinoma n siku hizi wanavyojiita Fassionista.. Saloon za ukweli every weekend nywele za Shear Illussion kwa wanaojua bei zao. Viwanja vyote vya hatari mjini anavijua kuanzia GardenBiastro Golden Tulip Savanna nk Sasa unajiuliza Niaje Niaje Arif..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Chezea BOX MANYOYA ww......ukitaka ugomvi muulize hela anatoa wapi ?? Acha balaa ndugu..hahaha
 
Chagua maisha sasa chagua utakayemtumikia. Halafu wale wajenzi huru wanaslogan '' Sell your soul to satan you will get everything'' but no eternal life.
 
Ila kiukweli hata mie nashangaaga. Yaani unakuta mdada ana matumizi makuubwa kupita kipato. Na hayo magari sasa! Mweeh! Nataka kuji-evaluate sasa!

King,asti, hizo Bmw X6 na Porsche Cayenne walizo nazo hao akina dada ambao kazi zao haziwawezeshi kuwa na aina hio ya magari ndo huniacha na maswali tele. Kulea tu magari hayo ni ghali sana achilia mbali kuyanunua
King'asti na Idimi mnanishangaza kweli ina manaa hamjui kwamba rziki ya mbwa iko miguuni mwake?

pia riziki hupangwa na Mungu wengine tukiumia kwa kusaga chaki ubaoni na kulima wegine wanapata kwa kupewa tu na wanaofanya kazi kwa niaba yao, hapa ndipo linapotimia lile neno, shule wa kazi nzuri doesn't matter kwenye kula maisha bana kinacho matter mshale umeurusha wapi.
 
Last edited by a moderator:
ZAB. 37:1-2 SUV-SW

Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya,
Usiwahusudu wafanyao ubatili.
Maana kama majani watakatika mara,
Kama miche mibichi watanyauka.
 
Ila kiukweli hata mie nashangaaga. Yaani unakuta mdada ana matumizi makuubwa kupita kipato. Na hayo magari sasa! Mweeh! Nataka kuji-evaluate sasa!

Darisalama mambo kwa dola siku hizi,utasikia wanaulizana 'hivi jana bishanga alikupa dola ngapi?' Nenda bureau za namanga ,wateja wengi kinadada. Chezea bongo.
 
King'asti na Idimi mnanishangaza kweli ina manaa hamjui kwamba rziki ya mbwa iko miguuni mwake?

pia riziki hupangwa na Mungu wengine tukiumia kwa kusaga chaki ubaoni na kulima wegine wanapata kwa kupewa tu na wanaofanya kazi kwa niaba yao, hapa ndipo linapotimia lile neno, shule wa kazi nzuri doesn't matter kwenye kula maisha bana kinacho matter mshale umeurusha wapi.

Dah!
Hapo kwenye bold ndo umeua kabisa. Sie tunaohenya na kazi za field tunaumia sana. Unyeshewe wewe, Vogue aendeshe mwingine. 'Nabata ushungu'

 
Chezea mabinti wa mjini wewe? Utaumia mwenyewe chezea mabinti wa mjini wewe? Itakucost mwenyeweeee!!! Nenda U-turn ukawaone na ma-vogue,bmw x6,Jaguar wanayoya-ride chezeeeeiiiyaaaaaa wao!!
Chezea Mabinti wa Mujini wewe Utalia mwenyewe,Hapendwi mtu inapendwa pochi,wana wanaume kibao.Wa1 wa kumchuna, Wa pili anazitafuna, Wa3 ndio anamkuna,,,,Utalia mwenyewe
 
Kuna mambo mengi machafu na mazito wanafanya dada zetu wa mjini ili kusihi maisha mazuri. Kulala na wanaume tofauti hiyo si issue kubwa bali wanakwenda mbali zaidi mpaka kufanya kazi za shetani ambazo kwa kweli si rahisi kuamini kwamba mambo hayo yanafanyika duniani hapa.
 
Back
Top Bottom