Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Duh naona Ammim kakurupuka sana...sasa kaanza kuumbuka..............
Mulugo sijui bado anaendelea na ile biashara yake ya vibama aliyokuwa akiifanya kipindi akiwa mwalimu?
Nguvu ya Sugu na Mlugo mkoani Mbeya ni sawa na kutumia kijiko kujazia maji kwenye Pipa. Mlugo Songwe anaabudiwa kama Mungu. Hata kabla hajawa Mbunge. Suala hapo ni busara tu. Sugu yeye CV YAKE YA SHULE IKOJE?

Loleza enzi gani? Za Mama Mosha, Machibya na Msyani? Mlinzi akiwa Kayange na Lori lenu la blue?Mwehhhh!!!!!Bujibuji umenichekeshajeeeee !!!!!!umenikumbusha mbali kweli NA hivyo VIBAMA!!!!!tulivilajeee wakati tupo Loleza.....hahahahaaaa!!!!!!kweli JF is a stress free zone....LOL!!!