Eeeh Mola wapatie waja wako ulinzi: Bazazi mlawiti akutana na 40 yake! (some graphical pics)

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
[h=2]Jaribio la kutaka kumlawiti mtoto: Akung'utwa hadi kuachiwa Daktari na Mungu wamponye[/h]27/08/2012
0 Comments

Alifika nyumbani na kumlaghai mtoto Julius kwa pipi na kumuita uncle, uncle.

Akamvuta mpaka vichakani.

Akiwa tayari ameshashusha nguo, akataka kumlawiti.

Mtoto alipoona hivyo akaanza kupiga kelele na kupambana na mtuhumiwa.

Mtuhumiwa wa uasi alipoona mtoto anapiga kelele, akaanza kumshambuliwa kwa kumng'ata kwa meno mashavuni na kisha kumpiga na jiwe kwenye paji la uso.

Kwa bahati nzuri, mama aliyekuwa anashusha matofali jirani alisikia purukushani za kelele hizo kabla ya tendo baya la ulawiti kufanyika. Ndipo mama yule akawaita watu ambao walimkuta mtuhumiwa akiwa anaendelea na jaribio lake hilo la kulawiti.

Mtuhumiwa alifanikiwa kumwaga haja zake, ila hakufanikiwa kumuingilia mtoto kimwili, ndipo watu wenye hasira walipompa adhabu yake na yeye, kabla Polisi kufika na kumtia mbaroni.

Inasemekana kuwa mtuhumiwa huyu ndiyo tabia yake, mitaa ya Mbezi ya Kimara, amezunguka sana kuharibu watoto wa watu, ila hii ndio ilikuwa arobaini yake. Kila Nyumba akifika anauliza baba na mama wapo? akijibiwaa hawap,o anaanza shughuli zake.

Hivi sasa yuko mahututi katika Hospitali ya TUMBI, akingojea kusomewa mashtaka.
---

Picha na maelezo via LadyJayDee blog

Source: Jaribio la kutaka kumlawiti mtoto: Akung'utwa hadi kuachiwa Daktari na Mungu wamponye - wavuti
 
dah aisee sijui ni mapepo ama kitu gani hiki, maskini mtoto mdogo anataka kuingiliwa?
 
Kwa kuangalia picha za huyo mtu na za huyo mtoto alivyojeruhiwa ni wazi kuwa hakuna namna katika hali ya kawaida ukaelezea alivyoweza kumponyoka na kushindwa kutimiza ushetani wake zaidi ya kuona nguvu ya ulinzi wa Malaika kwa huyo mtoto katika ulimwengu wa kiroho.../tell me alipambana Naye vipi,km sio Malaika waliokuwa wanapambana Naye na kuhakikisha kuwa anashindwa kutimiza dhamira yake mbaya hadi watu walipikuja kumshikisha hiyo adabu...Kweli tiwaombee sana watoto wote,maana ktk worst scenRios wapo wanaofanyiwa hayo na wazazi wao/walezi wao na hawana wa kuwaokoa au kuwatetea...Mungu utusamehe....
 
Jaribio la kutaka kumlawiti mtoto: Akung'utwa hadi kuachiwa Daktari na Mungu wamponye

27/08/2012
0 Comments

Alifika nyumbani na kumlaghai mtoto Julius kwa pipi na kumuita uncle, uncle.

Akamvuta mpaka vichakani.

Akiwa tayari ameshashusha nguo, akataka kumlawiti.

Mtoto alipoona hivyo akaanza kupiga kelele na kupambana na mtuhumiwa.

Mtuhumiwa wa uasi alipoona mtoto anapiga kelele, akaanza kumshambuliwa kwa kumng'ata kwa meno mashavuni na kisha kumpiga na jiwe kwenye paji la uso.

Kwa bahati nzuri, mama aliyekuwa anashusha matofali jirani alisikia purukushani za kelele hizo kabla ya tendo baya la ulawiti kufanyika. Ndipo mama yule akawaita watu ambao walimkuta mtuhumiwa akiwa anaendelea na jaribio lake hilo la kulawiti.

Mtuhumiwa alifanikiwa kumwaga haja zake, ila hakufanikiwa kumuingilia mtoto kimwili, ndipo watu wenye hasira walipompa adhabu yake na yeye, kabla Polisi kufika na kumtia mbaroni.

Inasemekana kuwa mtuhumiwa huyu ndiyo tabia yake, mitaa ya Mbezi ya Kimara, amezunguka sana kuharibu watoto wa watu, ila hii ndio ilikuwa arobaini yake. Kila Nyumba akifika anauliza baba na mama wapo? akijibiwaa hawap,o anaanza shughuli zake.

Hivi sasa yuko mahututi katika Hospitali ya TUMBI, akingojea kusomewa mashtaka.
---

Picha na maelezo via LadyJayDee blog

Source: Jaribio la kutaka kumlawiti mtoto: Akung'utwa hadi kuachiwa Daktari na Mungu wamponye - wavuti

Machozi yamenitoka nilipomuona huyo mtoto.... i have a son ambaye nafikiri anaweza kuwa age mate na huyu.... kwa kweli kwa mtu asiyekua na mtoto ni ngumu kuelewa situation waliyonayo wazazi wake.
My self if some one did this to my kid...hooo sijui aisee.
Mungu tusaidie.
 
Ilifaa akatwe nyeti zake.

swadakta..unafaa kuwa kuwa Judge kwenye serikal yangu..ili akose raha aliyoizoea lakin kumpeleka jela kwake faida maana kule tigo zipo za kumwaga ubabe wako tuu..lazima atapata member tu.
 
Huyo apate adhabu kali sana akapambane na wakware wenzake huko...si anajifanya kidume sana...atazikuta huko zenye sugu na nzee azikomeshe kama kweli anayaweza!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom