Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Mm wangu nikiwatahiri wakiwa na miaka miwili..ila wapo ninaowafahamu waliotahiri wa kwao walipokuwa na miezi miwili tu...
 
umri mzuri kumtahiri mtoto ni kuanzia miaka mitatu na kuendelea.hii ya sasa ya mtoto kuzaliwa na kumkimbizia visu ni kutojua madhara yake
 
Mi naona ni mambo ya fashion ambayo hakuna hata reference kusema kama ina madhara au la wakiwa wakubwa; maana hatukuwa na huu utamaduni before. Kwa nini mtu u risk au ukubali kufanya experiment kwa mwanao?

umri mzuri kumtahiri mtoto ni kuanzia miaka mitatu na kuendelea.hii ya sasa ya mtoto kuzaliwa na kumkimbizia visu ni kutojua madhara yake
 
Mi nilimtoroka ngaliba wa kienyej nikatahiliwa hosptal 9yrs.cna tatzo nacmamia shoo ipaswavyo
 
Duh!
Inaonekana wengi humu wamekulia magorofani, Hivi wewe ulitahiriwa ukiwa na umri gani?
Mimi nimetahiriwa ni kiwa darasa la Nne.
n anaamini ilikuwa makusudically na sio bahati mbaya, Kiafrica tohara ni mila na jadi yetu so Kutahiriwa lazima uwe atleast unajitambua ili uweze kujua utamu na maumivu yake na uwe mwanaume wa kweli.
 
Mwanangu nimemtahiri ana siku 20 kufika 40 kapona safi na inadinda akiamka asubuh safiiiiiii......
 
kuwahi kumtahiri mtoto kuna faida moja kubwa kwani humpunguzia mtoto uwezekano wa kupata magonjwa.
 
Wangu nafikiria kumpeleka kwa ngariba, kule nadhani Atajua thamani ya uume wake
 
Mi nilijitahiri nikiwa chuo kikuu nachukua degree so at 20' age sema nilikaa mwezi mmoja kupona
 
Kuwahi kutahiri na hizo imani ni vitu wiwili tofauti...

Biblia inasema mtoto atahiriwe ndani ya siku 14... lakini ni vizuri akitahiriwa at least akiwa na miezi mitatu.... Hii itasaidia sana kwa sababu watoto wa kiume mara nyingi huugua sana UTI especially akianza kutambaa, na pia kwa umri huo anapona haraka sana, 7 days anakuwa amepona.

wewe ni askofu kweli kweli au........make siku hizi kuna maaskofu wa magumashi kibao full kuchumia tumbo...! kama Mtetemela.
 
Back
Top Bottom