Elijah
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,663
- 424
hebu angalia mchakato mzima wa kisheria mkuu,ili hiz movie zichezwe,itakuwa bomba sana na itabamba sana,pamoja na zile movie z willy gamba,inahitajika mapinduzi ya kweli kwenye movie zetu,sio kila siku kina james bond,Hiyo movie ya joram sijaiona bado mkuu
mKuu, kuna title moja ineshatolewa movie, ni kitambo lakini, kipindi bado yuko hai.
I, personally, ninatamani nitafsiri one of these series kwenda film, I live to believe that, kuna siku I will have my thirst quenched. The day will come, ambapo kila mtu atamuona the 21 years old Joram Kiango akifanya vitu vyake baada ya kupata uzoefu wa kutosha kwenye vikundi vya ujambazi, kisha Jeshi la Polisi kitengo cha Upelelezi (haya yote ni huko Marekani) kabla hajahamia Afrika, Tanzania, Dar es Salaam, kutafuta vis ambayvo anaweza kusuluhisha na kurejesha amani