Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

Kama kweli kuna ukweli wa kufoji elimu na Majina kwa nini isiwe sababu muhimu ya kufungulia mashitaka mahakama kuu kuwa alidanganya umma juu ya elimu yake na kusababisha wananchi wampigie kura za ubunge kuwa ni msomi mzuri wa kuwawakilisha bungeni kumbe siyo kweli bali ni mburula tu wakawaida na hivyo kupokonywa ubunge na kukoma kabisa kugombea uongozi wa kuchaguliwa.?.Naamini tuanze mchakato na kama mchango wa kupata wakili naanza kujitolea ili Haki ya kuthamini Elimu ZA WATU ITAMBULIKE SIYO KUNUNUA VYETI KUPATA ULAJI KIULAINI.
Mheshimiwa Hamim Mulugu a.k.a Philipo Mulugo,hakuchaguliwa na wananchi wa jimbo lake. Kwa kutumia ujanjaujanja alipita bila kupingwa,inasemekana alitumia rushwa kuvuruga usajili wa wagombea wa vyama pinzani.
 
Kwa hio jina halisi la mheshimiwa waziri wetu wa ELIMU ni Amim Phillip Mulugo. Inawezekana hakuwa akitumia jina la Phillip hivyo alikuwa akiitwa Amim Mulugo huko shuleni.

Hivyo inawezekana pia kwamba alikuwa akitumia jina la Amim Mulugo.
 
Kweli Mulugo ni kilaza mwandamizi, nilimsikia siku moja kwenye redio ya vilaza wenzake ya clouds akielezea mpango wa ada elekezi kwa shule binafsi kuna mahali alitamka "lunch ya mchana " na "dinner ya jioni", nilichoka sana huyu ndiye Naibu Waziri wa elimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Enzi za JKT ya Mwalimu maafande (wengi wakiwa wahitimu wa elimu ya msingi) walikuwa wakitupa order "kesho kila mtu avae green vest ya kijani". Haya haya ya Mhe sana Dkt Hamim Philipo Mulungu Mulugo!!
 
Mimi nilikuwa ni mchunga ng'ombe wa mama Machibya. Nilipata kakibanda kangu pale kwa kina Watende, wale Mabubu

Hahahaaaaaaa!!!!ndio ww ulikuwa unachukua maziwa unawahonga wadada wa A level then unajichukulia wao mazimaaaaa...!!?tena humo humo ktk banda la ng'ombe....LOL!!!!nimeshakufahamu mieee...heheheeee....seriously u were one of the Loleza community member .....
 
Back
Top Bottom