Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Aibu kubwa kwa JK na serikali ya CCM kwa kutokuwa makini na teule zake
Tanzania RAHA!
Teh,teh,teh,teh we nawe umeifanya jioni yangu iwe safiiiiii acha nifuate ka wine kangu dukani hilo nalo neno.Sugu amejaribu kusema machache sana kuhusu huyu Amini,ni kweli hilo ndiyo jina lake kamili,tunamfahamu vizuri sana huyu Amini hasa jinsi alivyopata kumiliki ile shule ya southern highland.alichomfanya yule mmliki halisi wa ile shule nadhani anakumbuka.ili awe salama inabidi akae kimya sana,tuyajua madudu yake mengi mno.tunajua kuwa huo unaibu waziri ni fadhira kupitia kwa Riz 1.kutokana na mlugo alivyomhost alipokwenda mby kufanya kampain ya banayake .mlugo aligharamia kila kitu wakati wa ziara ya Rz1Huyu Mlugo ni,mtupu,jamani .
Mwehhhh!!!!!Bujibuji umenichekeshajeeeee !!!!!!umenikumbusha mbali kweli NA hivyo VIBAMA!!!!!tulivilajeee wakati tupo Loleza.....hahahahaaaa!!!!!!kweli JF is a stress free zone....LOL!!!
Madai mazito haya ya Mbilinyi na vyeti bandia vya Mulugo@Amim
Loleza enzi gani? Za Mama Mosha, Machibya na Msyani? Mlinzi akiwa Kayange na Lori lenu la blue?
Duu!! hata hapo mbeya mjini walijua kuvitengeneza hata mimi amenikumbusha mbali nilivila sana malawi karonga wakati wa likizo 1981-1984-Tosamaganga.