Kosa la ponda ni lipi?

pamoja mkuu magaidi wakubwa hao.
kigoda usiimbe maneno usiyoyajua
unaweza kunipa tafsiri ya gaidi?
Nisaidie kaka am serious kuona kama watanzania nasi tuna mawazo yakushikiwa na bush
niambie gaidi ni nani?
 
Last edited by a moderator:
1.Umewahi kujiuliza ni kwanini amekuwa akiishi maisha ya kukimbia na kuvipiga chenga vyombo vya dola??

2.Umewahi kujiuliza kwanini hajawahi kuonyesha hadharani familia yake au hata ndugu zake wa kuzaliwa tumbo moja??

3. Kama ni mtu safi asiye na hila, kwanini akwepane na polisi??

umewahi kujiuliza kama wewe umeyafanya yote hayo unayotaka ponda afanye? kama wewe ni mtu safi usiye na hila kwa nini umeficha/ hujafanya hayo yote na hata jina lako umeficha hapa jf?
 
umewahi kujiuliza kama wewe umeyafanya yote hayo unayotaka ponda afanye? kama wewe ni mtu safi usiye na hila kwa nini umeficha/ hujafanya hayo yote na hata jina lako umeficha hapa jf?


vomiting.jpg
 
Kuna comments nyingine humu zimekosa ustaarabu na uvumilivu.. From both sides..! Mie nina ndugu wa karibu ambao ni tofauti na dini yangu.. Cha mwisho ninachokiangalia kwao ni dini.. Ningeshauri kila mwenye dini na aheshimu dini ya mwenzake..
 
Nchi yetu inaenda pabaya kwani waislam wanaona kama wanaonewa na serikali hii, lakini wakristo wamekuwa wanashabikia na kua upande wa serikali kufurahia madhila yanayo wapata waislam. hakuna mkristo aliyewahi kuona kuwa hapa serikali haijatenda haki kwa waislam. hiki ndio kitu kibaya kuliko vyote?Suala la ponda liko hivi1. amehisishwa na kesi ya kuchoma makanisa, kitu ambacho si kweli waliochoma makanisa walikamatwa na kesi yao inaendelea, alichosema ponda waachiwe waliokamatwa kwa hoja alizozitoa kama muislam2. Kosa alilokamatiwa ni UVAMIZI wa eneo la mtu hapo chang'ombe hili ndo kosa lake akiwa na watu 36 wenginekwanini unakua uonevu? suala la kiwanja kuvamiwa halihitaji waziri wa mambo ya ndani aite wanahabari kuwaambia uovu huo, hili ni suala la mdai (anayedaiwa mwenye kiwanja), polisi na wavamizi kwanini kiwanja hiki kinatetewa kwa nguvu zote? waziri amepewa kitu kidogo au anafurahia kiwanja hicho kuuzwa ili waislam wakose3 KIWANJA NI MALI YA WAISLAM walichorithi iliyokua jumuia ya afrika mashariki ya waislam, sasa kinaangaliwa na bakwata. Bakwata wameshindwa kuiendeleza matokeo yake wanataka kukiuza ili wajipatie fedha wale wao kwa manufaa yao na si waislam.kiwanja hiki aliuziwa manji miaka ya nyuma, waislam wakishirikiana na imam wa masjid mtoro walipiga kelele manji akashindwa kukichukua, sasa kimeuzwa tena na aliyenunua kiwanja alianza kujenga, walioweza kina ponda walienda kukizuia wakavamia na kujenga msikiti wa muda ndipo alipokamatwaDhulma inaandaliwa ili kuwakandamiza waislam, imeunganishwa na kesi ya UAMSHO ili ionekane nchi iko kwenye hali ya hatari wakati si kweli, Ya mbagala yalipita watu wakachukuliwa hatua leo kuja kumkamata ponda halafu useme wewe kwa sababu fujo ilifanyika mbagala unakosa, ulikataa sensa unakosa, huu ni uhuni.nchi imetulia ila yanajengwa mazingira kuonyesha nchi iko kwenye hali ya hatari waislam wakandamizwe mbaya christian your happy, Lakini mambo yakiharibika yataharibika kwa woteWaislam tuzidishe dua katika kipindi hiki kigumu na ALLAH(S.W) atadhihirisha haki inshalah
unauliza kwa mujibu wa sharia au sheria?Kama ni sheria acha pilato ahukumu! Aidha ponda akishinda si atadai fidia na akishindwa akanyee debe lupango!
 
Mungu alituumba kisha akatupa maamuzi ya kuchagua imani ambayo itatuunganisha naye ili kuiona mbingu...ambacho kinanipa shida ni jinsi bianadamu anavyojipa haki kuliko mungu mwenyewe....eti huyu si wa imani yangu so hafai kuishi duniani au hafai kuwa jirani yangu....!tunakosa uvumilivu ambao mungu mwenyewe anauhitaji kutoka kwetu kwani katuumba na kutuweka duniani tuishi na hayo mapungufu yote...mungu ni higher being...ana uwezo wa kujitetea mwenyewe..
 
Umejichanganya kwel ndg yangu..! Tizama mada yako (kosa la Ponda ni lipi) na ulichokieleza ni kipi? Badilisha topic iwe: Hili ndo kosa la Ponda. Achen kulalamika bila hoja, Bakwata chombo chenu, aliyenunua kiwanja (Manji) Muislam mwenzenu, aliyemkamata Ponda (Kova) muislam mwenzenu, kiongoz wa nch ni muislam mwenzenu, Wakristo wanaingiaje hapo.?? Wachochez kama nyie ndo mnavuruga wenzenu misikitin badala ya kuwaelimisha watayamudu vp maisha na kufuata sheria za nchi, mnawachochea kwa hoja kama hzi kichwa chni miguu juu. Tafakarin sana, huu ndo muda wakuwekana sawa, 2015 akiingia mkristo Ikulu si ndo mtaisingizia serikal kila ki2 kibaya??

Watu walio ende shule wana nifurahisha saaana, cjui kwa nn wengine hawatak kujua umuhimu wa elimu..chiya chibi....up more kaka!
 
ukichunguza kwa ndani zaidi, chanzo cha machafuko ni waislamu kugawanyika. hii inatokana na uongozi FISADI WA BAKWATA. for sure BAKWATA kimekuwa kisiasa zaidi na haitatui matarajio ya waislamu. LAZIMA BAKWATA IVUNJWE KWA MANUFAA YA WAISLAMU NA NCHI!!

Huelewi historia ya dini tulizoletewa? Huko uislam ulikoanzia wamegawanyika na wanachinjana kila siku sembuse waislam wa kariakoo. Huko alikozaliwaYesu Kristo hata hawamtambui kuwa mkombzi wao. Tafakari na chukua hatua
 
uislamu dini pekee ambayo ilienea na kuenea na inayoenea sehemu kubwa ya dunia bila ya kufunguliwa kituo cha polisi na kuwalazimu watu waingie,wala kulazimishwa uache dini yako ndo upate huduma mbalimbali kama elimu,hospitali na misaada mingine kama wafanyavyo wakristo kuwaambia km wataka kufanya kazi hospital za misheni lazima ubadiri dini kwanza,ni dini pekee ambayo haijaenezwa kwa dhurma na hata wanaosema eti umeenezwa kwa upanga ni kwakuwa hawaijui historia sahihi au wanaijua bali wanaibadilisha ili waendelee kuwapoteza watu kuelekea motoni ila kwahakika hamuwezi kuizima nuru ya mwenyezi mungu kwa mikono kwani mungu ndo mwenye nuru japo mnalichukia makafiri jambo.

mkiambiwa hamjasoma mnalalama!
Hujui JIHAD ya west Africa in 19 century? Do you know Abdallah Bello, hajj umar and samoure toure?
 
Nadhani massage imefika, hakuna hata mmoja anaye unga mkono hoja yako. next time kabla hujaleta hoja fikiria mara mbili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom