Shule za boarding na chanzo cha watoto kuaribika

Kuna scary point unayojaribu kuimake; STRAIGHT. Kwamba as long as you are straight (from your heart l presume) you should be fine. straight-ness is permanent, hata matendo yanaonesha
Lakini, hivi wadada wanaofirwa na kufurahia kufirwa nao ni GAY?
A GAY person anaweza kuoa different sex partner?

Nadhani physiology ya mikundu iko the same kwa both sex; na wafirwaji wanasema wanapata utamu sana kwa njia hiyo na wamekuwa supported na wana sayansi ambao wanasema kuna vijishipa vingi maeneo hayo na wale wataalamu wa sex wanasema kuna kaji 'G-spot' fulani kule. Sasa my argument ni kwamba, hauhitaji kuwa GAY, kupenda kufirwa; unachihitaji ni kuwa initiated tu na hako kamchezo.
Tukirudi kwa watoto wetu wadogo (under 18) ambao wanasoma boarding, nadhani wao ni rahisi sana kushawishiwa au hata kubakwa; ili wakapende hako kamchezo. Na kwa maoni yangu (nafikiri na ya mleta mada) hao ndio wanaokuwa addicted na hiyo kitu ingawa anaanzisha familia na kuzaa lkn bado anaendelea kupumuliwa.
straight-ness is permanent, hata matendo yanaonesha no comment as I haven't tried that ili kuepuka matatizo yes if you're straight then hautatamani another boy, u can't even kiss him sembuse kumvulia boxer:wof: in my cases watoto wanaojitambua ni straight dont go after other boys and rape will get u expelled. eventually desire for women ina-exceed the 'joy' ya kuwa na boy mwenzie if straight so unless kuna jingine hii ni tough for me to swallow.
 
heri bazazi langu halitaki kusikia boding hata kidogo.
Kongosho! wewe Kongosho!
unataka vita nami bila sababu za msingi eeh?
Bazazi unamtukana kirahisi tu; kisa nini?
Unahitaji kuuona ubaradhuli wake?
Kumbuka Bazazi ni mpambanaji asiyejali hali; Kongosho Kongosho Ugomvi huo.

Bazazi ni Bazazi!
​
 
Last edited by a moderator:
straight-ness is permanent, hata matendo yanaonesha no comment as I haven't tried that ili kuepuka matatizo yes if you're straight then hautatamani another boy, u can't even kiss him sembuse kumvulia boxer:wof: in my cases watoto wanaojitambua ni straight dont go after other boys and rape will get u expelled. eventually desire for women ina-exceed the 'joy' ya kuwa na boy mwenzie if straight so unless kuna jingine hii ni tough for me to swallow.

Blaine, you cant try to be a woman, just like l havent try to be a man.
Nimetumia logic tu, maana ufiraji hutumia mikundu, na kuna kina dada pamoja na kwamba wanakuwa na mahusiano na wanaume lkn wanaprefer a rear entry kuliko vaginal; so wankuwa gay just because wanafirwa?

take an example of a boy ambaye kamvisit uncle wake au cousin wake ambaye ni a bit older than him; au hata step dad wake na akaanza kumuingilia kinyume ya maumbile; with time kijana akazoea (cases za hivi ni nyingi na documentary zimetengenezwa), so bado utasema huyo kijana amemfuta uncle wake coz ana chembechembe za ushoga?
 
Kuna scary point unayojaribu kuimake; STRAIGHT. Kwamba as long as you are straight (from your heart l presume) you should be fine.
Lakini, hivi wadada wanaofirwa na kufurahia kufirwa nao ni GAY?
A GAY person anaweza kuoa different sex partner?

Nadhani physiology ya mikundu iko the same kwa both sex; na wafirwaji wanasema wanapata utamu sana kwa njia hiyo na wamekuwa supported na wana sayansi ambao wanasema kuna vijishipa vingi maeneo hayo na wale wataalamu wa sex wanasema kuna kaji 'G-spot' fulani kule. Sasa my argument ni kwamba, hauhitaji kuwa GAY, kupenda kufirwa; unachihitaji ni kuwa initiated tu na hako kamchezo.
Tukirudi kwa watoto wetu wadogo (under 18) ambao wanasoma boarding, nadhani wao ni rahisi sana kushawishiwa au hata kubakwa; ili wakapende hako kamchezo. Na kwa maoni yangu (nafikiri na ya mleta mada) hao ndio wanaokuwa addicted na hiyo kitu ingawa anaanzisha familia na kuzaa lkn bado anaendelea kupumuliwa.

Hii thread imesisimua sana leo! Ndugu yangu unapotoa maoni, kuna mawili:1. Kuonya na2. kufundisha/kushawishi!
Kwa hiyo unaposema "wafirwaji wanasema wanapata utamu" na/au "wamekuwa supported na wanasayansi..........!"
Huo kwa mtazamo wangu ni ushawishi!
Lakini pia, nakubaliana na wewe unaposema, "wanaokuwa addicted na hiyo kitu ingawa anaanzisha familia na kuzaa lkn bado anaendelea kupumuliwa.........". Mimi nimesoma "O" level miaka ya mwanzoni mwa 80, ingawa nilikaa hosteli kama miaka miwili ya mwisho, sikuwahi kusikia hiyo mineno!
Kilichokuja kunishangaza, baada ya mizunguko ya kujiendeleza kusoma, kwenye miaka ya katikati ya 90, nilikuja kuambiwa kuwa aliyekuwa (ingawa bado) rafiki yangu wa karibu shuleni (hakuwahi kuishi boarding), ni mfirwaji, aisee, siku hiyo nilishindwa hata kula!!! Sikuamini, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda, niliendelea kusikia habari zinazomhusu huyo rafiki yangu kutoka kwa watu tofauti, ingawa sijawahi (na wala siwezi) kumuuliza asilan! Kinachoniuma zaidi ni pale ninapofikiria tulipokuwa shuleni, watu waliokuwa wanafahamu kuhusu jamaa yangu walikuwa wananionaje??!!! Maana tulikuwa karibu saaaaaaana! Miaka ya mwanzoni mwa 2000, rafiki yangu huyo alioa na ana watoto watatu wakubwa tu! Sina hakika kama bado anaendelea au ameacha ingawa huwa nasikia wa "namna" hiyo ni budi wa-boostiwe ndo waweze kwenda ku-do kwa wake zao! Naandika kwa uchungu sana maana huwa sipendi hata kufikiria kwa nini huu usodoma unaopingwa vikali kwenye vitabu vya dini bado unashabikiwa kiasi hicho!
 
Hamna afadhali hata kidogo...msagaji na mfirwaji wote sawa..... tatizo ni lifestyle za sasa.....mimi kwene maswala ya vijana wangu aisee hata wife asubutu kutia neno...yaani sasa hivi nimeshamaliza steji zote kama usafi wa chumbani kwao, kufua nguo zao inayofuata sasa ni kupika na kuosha vyombo...kwa kweli sijutii maana kila mtu akija kwangu anatamani watoto wake wawe kama wangu...verysimple..samaki mkunje angalimchanga ? (mbichi) sina uakika hapo.
Sarikoki umenena mkuu, watoto wangu walipita hatu kama za kwako na ni wote wa kike na wa kiume!! Ni wasafi, wapishi na wapangaji wa nyumba kabisa. Majukumu yalikuwa kwa zamu, nje na ndani na kupika ni wote na kuosha vyombo ni wote. Wake na waume zao wanafurahia/watafurahia!! No regret. Utajiri na uwezo wangu ni marufuku kuharibu watoto wangu, hata wajukuu ni full suit tu. Kwa kuwa wanajifunza kwa angalao mzazi wao/mwanangu na mimi wakifika. TV ni kwa ratiba!! Mti ukunje ungali mchanga!! Samaki mkunje angali mbichi!! Mtoto uleavyo ndivyo akuavyo!! Na maandiko yanasema "Mlee Mwanao njia ipasayo na hataisahau hata uzee wake!!
 
Hii thread imesisimua sana leo! Ndugu yangu unapotoa maoni, kuna mawili:1. Kuonya na2. kufundisha/kushawishi!
Kwa hiyo unaposema "wafirwaji wanasema wanapata utamu" na/au "wamekuwa supported na wanasayansi..........!"
Huo kwa mtazamo wangu ni ushawishi!
Lakini pia, nakubaliana na wewe unaposema, "wanaokuwa addicted na hiyo kitu ingawa anaanzisha familia na kuzaa lkn bado anaendelea kupumuliwa.........". Mimi nimesoma "O" level miaka ya mwanzoni mwa 80, ingawa nilikaa hosteli kama miaka miwili ya mwisho, sikuwahi kusikia hiyo mineno!
Kilichokuja kunishangaza, baada ya mizunguko ya kujiendeleza kusoma, kwenye miaka ya katikati ya 90, nilikuja kuambiwa kuwa aliyekuwa (ingawa bado) rafiki yangu wa karibu shuleni (hakuwahi kuishi boarding), ni mfirwaji, aisee, siku hiyo nilishindwa hata kula!!! Sikuamini, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda, niliendelea kusikia habari zinazomhusu huyo rafiki yangu kutoka kwa watu tofauti, ingawa sijawahi (na wala siwezi) kumuuliza asilan! Kinachoniuma zaidi ni pale ninapofikiria tulipokuwa shuleni, watu waliokuwa wanafahamu kuhusu jamaa yangu walikuwa wananionaje??!!! Maana tulikuwa karibu saaaaaaana! Miaka ya mwanzoni mwa 2000, rafiki yangu huyo alioa na ana watoto watatu wakubwa tu! Sina hakika kama bado anaendelea au ameacha ingawa huwa nasikia wa "namna" hiyo ni budi wa-boostiwe ndo waweze kwenda ku-do kwa wake zao! Naandika kwa uchungu sana maana huwa sipendi hata kufikiria kwa nini huu usodoma unaopingwa vikali kwenye vitabu vya dini bado unashabikiwa kiasi hicho!

Hiyo ya kuboostiwa, nilisimuliwa na mshikaji mmoja wa Mwanza; anasema kuna Muhindi mmoja tajiri na maarufu ana hako kamchezo, ili akamdo mkewe lazima apatiwe hiyo kitu na anaenda straight while the thing is up kwa mkewe and the wife has to be ready anyhow. Kwa kweli wanateseka sana!
 
ram .. Mi naona bora kuwapeleka boarding ya mchanganyiko. Nafikiri haya mahusiano ya jinsia moja hayapo kiviiile

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Blaine, you cant try to be a woman, just like l havent try to be a man.
Nimetumia logic tu, maana ufiraji hutumia mikundu, na kuna kina dada pamoja na kwamba wanakuwa na mahusiano na wanaume lkn wanaprefer a rear entry kuliko vaginal; so wankuwa gay just because wanafirwa?

take an example of a boy ambaye kamvisit uncle wake au cousin wake ambaye ni a bit older than him; au hata step dad wake na akaanza kumuingilia kinyume ya maumbile; with time kijana akazoea (cases za hivi ni nyingi na documentary zimetengenezwa), so bado utasema huyo kijana amemfuta uncle wake coz ana chembechembe za ushoga?
sijui how women enjoy 'mlango wa uani' but that doesnt make them gay maana wako attracted to opposite sex -_-. gay ni much more than backdoor sex dada.

about the boy, does he still have feelings for women? if yes anaweza kuoa na kuendelea na maisha yake kama kawaida. feelings dont go away, story nyingi za hawa abused boys wanasema wana attraction to women lakini pipe ipo 'disabled'. hii inatibika (i think)
 
siyo boarding tu,
jirani yangu mtoto wa kiume darasa la pili,
walikuwa kila wakitoka shule ni lazima wazuge muda uende wao wanasogea maeneo ya mchikichini kwenda kufirana,
hili ni janga la kitaifa.
 
sijui how women enjoy 'mlango wa uani' but that doesnt make them gay maana wako attracted to opposite sex -_-. gay ni much more than backdoor sex dada.

about the boy, does he still have feelings for women? if yes anaweza kuoa na kuendelea na maisha yake kama kawaida. feelings dont go away, story nyingi za hawa abused boys wanasema wana attraction to women lakini pipe ipo 'disabled'. hii inatibika (i think)

Now we are on the same page. Thanks
 
Good to hear kwakweli, what a relief. Ila punyeto mlikuwa mnapiga eeh. Mimi pia nimesoma 2 years boarding sikuwahi sikia licha ya kuona wadada wakisagana shuleni kwetu (girls high school).

Hii KITU KWA kweli KWA maoni yangu haina jibu Moja....wakati boarding sio suluhisho sahihi kupeleka watoto hasa wadogo I.e shule ya msingi na chini ya hapo.....pia day school pekee sio kigezo KUWA mtoto ataepishwa na hilo balaa....mm KWA maoni yangu wakati mwingine wazazi tunashindwa kabisa kujenga ukaribu na watoto wetu kiasi CHA kwamba watoto wanaanza kuzengewa wanapokuwa mbali nasi na wankosa kabisa ujasiri wa kutuambia sisi wazazi....so wanajenga hofu na kuanza kukubaliana na yale wayoambiwa na kufanyiwa bila sisi kujua na mbaya zaidi hatuwi na muda hata wa kuchunguza tunapokuwa na watoto watoto wetu kutambua utofauti wwt kutokana na tabia mpya wanazojenga wanapokuwa wanafayiwa huo ufirauni...it's even worse KWA boarding school kwani hakuna ufuatiliaji wa watoto na matron/walezi wenye jukumu Hilo.......pia KWA maoni yangu Imani Ina nafasi kubwa sana ktk malezi ya watoto wetu....maana let's be honest ni ngumu physically to have 24/7 protection for our kids....ni muhimu pia kumshirikisha MUNGU ili achukue nafasi ya KIROHO ktk malezi ya watoto hasa zama hizi za .com
 
Nimesoma boarding high school ila mabint waliotoka Ashira walikuwa na hizo tabia.
Ashira + kibosho girls moto wa kuotea mbali lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unadhani inaweza kusaidia mamii

ram .. Mi naona bora kuwapeleka boarding ya mchanganyiko. Nafikiri haya mahusiano ya jinsia moja hayapo kiviiile

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hamna afadhali hata kidogo...msagaji na mfirwaji wote sawa..... tatizo ni lifestyle za sasa.....mimi kwene maswala ya vijana wangu aisee hata wife asubutu kutia neno...yaani sasa hivi nimeshamaliza steji zote kama usafi wa chumbani kwao, kufua nguo zao inayofuata sasa ni kupika na kuosha vyombo...kwa kweli sijutii maana kila mtu akija kwangu anatamani watoto wake wawe kama wangu...verysimple..samaki mkunje angalimchanga ? (mbichi) sina uakika hapo.

Sarikoki,safi sana najua wale wazee walimu wawili walikulea kwa maadili mazuri ndio maana na wewe unawalea watoto wako kwa maadili mema na ya kumcha mungu.Pia kumbuka kuwapeleka Bonde wakajifunze kunywa uji na mafenesi kidogo,wangu huwa nawapeleka mara moja kwa mwaka ili waweze ona tuliko toka.Mungu akubariki sana katika malezi ya watoto wako
 
Wadau kuna uzi wa jamaa kafumaniwa na mke wake akifirwa....na nyuzi nyingine nyingi tu za mimomonyoko ya maadili kwa watoto wetu wa kike na wakiume...
Hebu turudi tuangalie nini chanzo hasa....kwa utashi wangu naona wazazi tunakimbia majukumu sana siku hizi.....mtoto mdogo unampeleka boarding school...ni very dangerous. Kule ndio watoto wanaanza vijitabia vya kubashiana na mwisho wake ndio huo unakua mzaoea..watoto wa kike nao siku hizi ni wakeketaji balaa...
Jaribuni sana kuwa karibu na kufatilia nyendo za watoto....msimwachie dada wakati nyie mkitoka ofisini mnapitia baa eti kusubiria foleni....
Asilimia kubwa ya wafirwaji hawajajifunzia ukubwani.....wengi wamekua na hizo tabia toka wadogo.
Tuweni makini na vijana wetu.

ha ha haaa!

hili la shule za bweni kuwa chanzo cha kuzalisha mashoga imethibitishwa kuwa ni causality ama ni fikra za dhahania tu?
inakuwaje lakini Watanzania tunajumuisha mambo tu bila kufanya utafiti wa kina? ama ni mfumo mbovu wa elimu yetu? maana mada hii haioneshi hata kidogo endapo suala la ukimwi linafundishwa mashuleni ama lah, ama huko kubashiana kunatokea kwa kiwango fulani. Ndugu zangu wakati tulionao sio wa kukurupuka na kuanzisha mjadala ukiwa na hitimisho tayari, vema mtoa maada sensitive kama hii awe na ushahidi wa kisayansi basi badala ya kulipuka tu na story moja ama mbili za kitaa basi ndio inajumishwa kwenye story nzima.

Niwahamasishe Watanzania wenzangu, tutoke ANALOGIA tuhamie DIGITALI ili hoja zetu ziende na ushahidi wa kisayansi zaidi, vinginevyo matunguri yataendelea kuua mpaka mende na panya wote in the house.
 
Shule nyingi these days wanafundisha kuhusu ukimwi...ila sijawahi sikia shule inafundisha watoto kuepuka ushoga; watoto wetu ni waelewa ukiwawahi; lakini nani wa kufundisha kitu ambacho kinaonekana kama dhambi hata kutamka tu?

ha ha haaa!

hili la shule za bweni kuwa chanzo cha kuzalisha mashoga imethibitishwa kuwa ni causality ama ni fikra za dhahania tu?
inakuwaje lakini Watanzania tunajumuisha mambo tu bila kufanya utafiti wa kina? ama ni mfumo mbovu wa elimu yetu? maana mada hii haioneshi hata kidogo endapo suala la ukimwi linafundishwa mashuleni ama lah, ama huko kubashiana kunatokea kwa kiwango fulani. Ndugu zangu wakati tulionao sio wa kukurupuka na kuanzisha mjadala ukiwa na hitimisho tayari, vema mtoa maada sensitive kama hii awe na ushahidi wa kisayansi basi badala ya kulipuka tu na story moja ama mbili za kitaa basi ndio inajumishwa kwenye story nzima.

Niwahamasishe Watanzania wenzangu, tutoke ANALOGIA tuhamie DIGITALI ili hoja zetu ziende na ushahidi wa kisayansi zaidi, vinginevyo matunguri yataendelea kuua mpaka mende na panya wote in the house.
 
Nimesoma boarding school kwa six years, cases kama hizo sikuwahi sikia...wenzangu supporting evidences zenu ni zipi???

wacha weee.
watu8 this is issue is very serious hasa watoto waduchu kupelekwa nursery,primary boarding.
Huko wanakutana na wakubwa wa sekondary waliozoea kuchokonoa sasa wakuwachokonoa hawana unafikiri watawachokonoa wakina nani????
Hii mada sitaki kusoma comment sana sababu inaniumiza vijana wengi siku hizi mashoga.
Hapa ofisini kwenye shops zetu tuna mabouncer.
Kuna huyu bouncer handsome handsome kidogo.
Anauza viatu mwenge kazi yake ingine.sasa alipita kivulana kinasoma somewhere town form 2.
Kakawa kanamsalimia sana yule bouncer kakamuomba urafiki.
Inshort ni kashoga imagine mtoto wa form 2 anaafanya hivyo.
Inauma oooo tena kanatafuta.
Undani wa yule mtoto kameanzia maboarding...
Hii kitu boarding,mahausiboy,uncles,..
Pamoja na kumuomba sana Mungu na inabidi wamama tuwe waangalifu sana.
Mungu akinijaalia nitakapopata kababy nlishasema boarding ataenda akiwa anajitambua,hakai nyumbani na pasipo mimi babaye au bibi yake babu inshort ndugu wa danu na wakaribu kabisa.
Kama naenda job ataenda kwa bibi yake....
 
Last edited by a moderator:
Kuna scary point unayojaribu kuimake; STRAIGHT. Kwamba as long as you are straight (from your heart l presume) you should be fine.
Lakini, hivi wadada wanaofirwa na kufurahia kufirwa nao ni GAY?
A GAY person anaweza kuoa different sex partner?

Nadhani physiology ya mikundu iko the same kwa both sex; na wafirwaji wanasema wanapata utamu sana kwa njia hiyo na wamekuwa supported na wana sayansi ambao wanasema kuna vijishipa vingi maeneo hayo na wale wataalamu wa sex wanasema kuna kaji 'G-spot' fulani kule. Sasa my argument ni kwamba, hauhitaji kuwa GAY, kupenda kufirwa; unachihitaji ni kuwa initiated tu na hako kamchezo.
Tukirudi kwa watoto wetu wadogo (under 18) ambao wanasoma boarding, nadhani wao ni rahisi sana kushawishiwa au hata kubakwa; ili wakapende hako kamchezo. Na kwa maoni yangu (nafikiri na ya mleta mada) hao ndio wanaokuwa addicted na hiyo kitu ingawa anaanzisha familia na kuzaa lkn bado anaendelea kupumuliwa.
kaunga maneno yako angalau kidogo ungeyafungia fungia.
 
Vyote ni dhambi ila mwanamke kusagwa au kusagana hua haina mazara sana kama mwanaume wanawake wataishia kubusiana nakutiana vidole tofauti na kuingizwa dushelele ambalo lina mazra ya magonjwa na ni kubwa kuliko vidole siiungi mkno kua ni sawa kufanya hivyo ila haumizi sana kama kwa mtoto wa kiume mwanamke anaweza kuacha mara moja akipata mwanaume akampenda kwani wanaume wa cku hizi mbali na kushiriki tendo pia nikama huwasaga wake zao kabla ya tendo kwa kuzama chumvini kuwashika sehemu zao nyeti kuwapelekea vidole vitu ambavyo mwanamke msagaji hufanya na mwanamke mwenzake tofauti ni kua akifanya na mwanaume dushelele hufuata. Kufunga pambano kwa mwanaume kulawitiwa ni mbaya sana kwani anaweza asiwekutumia viuongo vyake nyeti tena hivyo kumfanya asiweze kuzaa tena nyie mmeshuhudia jinsi wanavyoaribika ni mbaya sana kwa mwanaume na ss hili jambo limekua wazi mno kuliko hata huo usagaji tumuombe mungu atuhurumie sana hii dunia imetushinda laiti mtu ungekua unaweza kuhama dunia jamani ningehama kuna wakati nasema moyoni heri ningeumbwa malaika nifagie hata mbingu ila namshukuru mungu kwani yote ni mapenzi yake
 
Back
Top Bottom