Recent content by Mama ibu

  1. Mama ibu

    jumatatu.j'nne....hadi j'pili zilitungwa na nani?

    Niliwahi kusikia kuwa hapo zamani kulikuwa na watu(sina uhakika ni watu gani) walikuwa wanaabudu miungu yao. Sasa ukristo ulipoingia hawa watu walikubali kuingia kwenye ukristo lakin kwa masharti kwamba lazima waendelee kukumbuka miungu yao japo kwa kuyataja majina tu. Kwa ivo january mpaka dec...
  2. Mama ibu

    Nampenda FaizaFoxy

    Nakupenda pia faiza. Unajua kwanini? Kwasababu hata ikitokea wa2 wote wanakusakama wewe tu huvunjiki moyo lzm utasimama kidete mpaka kieleweke.Nilivosikia umepigwa ban nilitamani kufa mwenzio ashukuriwe Mola umerudi tena
  3. Mama ibu

    Tundu Lisu chunga sana utakapoenda Ikulu na makamanda wenzio

    umeona eeh mi naona bora wasiende kbs maana inawezekana ardhi yote ya ikulu sumu tupu wakikanyaga 2 wamekwisha
  4. Mama ibu

    Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

    Wanataka kuchezea viwanda vya kutengeneza binadam hawa jaman.Mi niliwah kumshuhudia dada angu alikuwa ana2mia dawa za majira halafu zikawa zinamfanya acpate period tena akawa ananenepa na kunawili vibaya mno mpaka akawa anajisifu. Siku moja alikuja kutokwa damu zilikuwa zinatoka kama bomba...
  5. Mama ibu

    Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

    Dah umeniacha hoi sana.just imagine m2 awe alizuia kwa mwaka mzima
  6. Mama ibu

    My Wedding Anniversary

    Hongera sana umenipa motisha sana na umeongea kwl tupu ndoa ukiipenda lzm ikutendee haki cn miaka mingi sana ndani ya ndoa lkn cjawah kujuta kuolewa kiac hata ikitokea mume kanikosea namsamehe kabla hata hajaomba msamaha. Mungu awajalie maisha marefu zaidi.
  7. Mama ibu

    jamani hofu ya nini interview dodoma?????

    Mi ndo niko njian narud dar toka uko dodoma kiukwel wa2 walikuwa wengi sana na huo mtihan wa Hr ulikuwa balaa jamani kilichonifurahisha nimekutana na classmates wangu kibao tangu wa primary, secondary na chuo lkn cna hata hope ya kufuzu na hata ikitokea cwez poteza naul yangu bure
  8. Mama ibu

    Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

    Alichokifata anakijua mwenyewe na huo mlengo uloniweka unaujua mwenyewe. Nilichoeleza mi ni kwamba je hicho kifo chake ni hasara na faida ya nani just imagine labda ni mume na baba wa familia na walikuwa wanamtegemea sana je chadema wataitunza hy familia hao wataishia kumwita kamanda aliyekufa...
  9. Mama ibu

    Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

    Ndo maana naichukia siasa kuliko k2 chochote dunia hii wakina mbowe watapata umaarufu kutokana na jambo hili na watazidi kupata jina lkn ni hasara gani familia yake imepata je chadema kwel wataitunza familia ya marehem na kama dini zote zinavyoamin kwl hizo r.i.p ze2 zitamsaidia kumuweka mahala...
  10. Mama ibu

    Tundu Lissu atoa tamko la CHADEMA huko Igunga leo...

    Mara nyingine nawaza iz realy jf 4 great thinkers or wanachama na mashabik wa vyama fulan? Nasema hv sbb nimejarib kufanya utafit khs wanasiasa na kugundua kuwa wote lengo lao moja. Mwaka 1991 nilibahatika kushuhudia uchaguz wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia uliomweka Chiluba madarakan...
  11. Mama ibu

    Tundu Lissu atoa tamko la CHADEMA huko Igunga leo...

    Mara nyingine nawaza iz realy jf 4 great thinkers or wanachama na mashabik wa vyama fulan? Nasema hv sbb nimejarib kufanya utafit khs wanasiasa na kugundua kuwa wote lengo lao moja. Mwaka 1991 nilibahatika kushuhudia uchaguz wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia uliomweka Chiluba madarakan...
  12. Mama ibu

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Mpaka sasa boti 3 zimefika bandari ya malindi ambapo bot ya sea bus ilikuwa na majeruh 198 na mait 3,sea express majeruh 258 mait 0,kmkm majeruh 55 na mait 2 kwa ivo mpaka sasa waliookolewa wanafika 551 na maiti 5 ndo ambao washafika mjini na hk nungwi kwenye 2kio mait zaid ya 43 zimepatikana
  13. Mama ibu

    Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

    Haya yapo kila sehem mi wakt nimemaliza chuo kuna mchungaji mmoja wa kilokole jiran ye2 aliniahidi kunitafutia kazi sbb waumin wake wanamakampun nikamshukuru kwl lkn cha kushangaza akaanza kuniambia inabidi niende kwanza kanisan nikaombewe ndo ntapata hy kazi ckuwa tayar kwa hl.Akaniambia bac km...
  14. Mama ibu

    Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

    Yani we ndo umemaliza kila k2 waislam wana utaratib mzuri kwl wa maisha c kama wakristo yani makanisa yanaruhusu wanaume kuoana wala wakristo hawaoni shida...?! Loooh uzinifu kwao co issue,pombe co ttz, hata maaskof na mapadre wana2mia mweeh...!!! Ila kadhi ndo ttz kubwa kwao jamanooo mbona hv...
Back
Top Bottom