Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Acha tu niitwe mshamba ila sishauri mtu kabisa kutumia hizo dawa....kwa hiyo mnataka kusema mungu alituumba na makosa kibao sasa mnayarekebisha?????

Mbona mnakuwa wabishi jamani.......................!?
 
hiyo ya kukaa muda mrefu bila kuzaa peke yake ni ma fibrosis kibaaaao, sembuse hii ya kukaa billa kuona 'mwezi' mbona balaa. Halafu we mtambuzi endelea tu kuwachanganya hao 'viumbe', utekelezaji wa maazimio ya beijing bado hata nusu hawajafikia, unawaletea mengine, shauri yako.

Halafu utuombe radhi wanaume, unapodai 'habari njema kwa wanaume' ndo unamaanisha nini hapo? Ngoja nikamtafuta yule sangoma anayebadilisha watu jinsia, afanye mambo!
 
Upuuzi mtupu..
Watoe madhara yake wote tujue
Asprin Ukizidisha vidonge vina madhara
unataka kuniambia hii ya kufunga hedhi haina madhara

Inaniudhi sana sababu wale wanawake ambao hawana ujuzi
sana kuhusu haya mambo wanadanganyika sana kwa kweli..

Kila kitu kina madhara , hata maji ukiyanywa sana yana madhara...

Damu ya hedhi ni nini? si ni uchafu ambao haupaswi kuwa mwilini (tukiamua tu kurahisisha jibu)
sasa unapoulazimisha mwili (hapa sasa ni kuulazimisha maana kwa kawaida hiyo' damu' kuwepo mwilini) kukaa na huo 'uchafu' kweli tutajidanganya hakuna madhara? hata sihitaji kuwa daktari bingwa wa kina mama kulitambua hili.
wasitudanganye bana...
 
Upuuzi mtupu..
Watoe madhara yake wote tujue
Asprin Ukizidisha vidonge vina madhara
unataka kuniambia hii ya kufunga hedhi haina madhara

Inaniudhi sana sababu wale wanawake ambao hawana ujuzi
sana kuhusu haya mambo wanadanganyika sana kwa kweli..

Kila kitu kina madhara , hata maji ukiyanywa sana yana madhara...

Hahahaaaa! Umenikumbusha karaha za malezi. Hapo kwenye red pananitatiza sana na 'my daughter wangu' ni mwendo wa kuanika godoro kila asubuhi.
 
hiyo ya kukaa muda mrefu bila kuzaa peke yake ni ma fibrosis kibaaaao, sembuse hii ya kukaa billa kuona 'mwezi' mbona balaa. Halafu we mtambuzi endelea tu kuwachanganya hao 'viumbe', utekelezaji wa maazimio ya beijing bado hata nusu hawajafikia, unawaletea mengine, shauri yako.

Halafu utuombe radhi wanaume, unapodai 'habari njema kwa wanaume' ndo unamaanisha nini hapo? Ngoja nikamtafuta yule sangoma anayebadilisha watu jinsia, afanye mambo!

Mimi hapa ni Manju tu wa ngoma hii..................... Lakini si walishaambiwa wachanganye na za kwao...............LOL
 
Mtapiga keleleeeeeeeeeee, mwishowe wote mtaishia kutumia hiyo kitu. Wangapi mlikuwa hamna matiti na makalio makubwa, leo hii kila demu ni mwendo wa kifua na matiti makubwa. Wala msituyeyushe hapa. Hivi hilo la kukosa hedhi na la kutembea huku shanga zinaonekana lipi ni jambo la fedheha kwa wanawake?

Akili za baadhi ya wanawake zinategemea na wale wanaomzunguka..........!
 
Hivyo vitakuwa na madhara asee, hiyo hedhi itakuwa inapotelea wapi? Yaan atakaetumia atajuta manake kuna siku atapata hedhi ya miezi yote aliyoizuia isitoke..

Dah umeniacha hoi sana.just imagine m2 awe alizuia kwa mwaka mzima
 
mweh! nani anataka kuja kupata mauvimbe tumboni hapo baadae ambayo mtu hajayatarajia
 
Hivi ni Mungu huyu aliyewaumba hawa binadam na kuwapa utash huu?... Mungu huyu huyu ambaye kwenye vitabu vtakatfu wamemsifia uumbaji wake umetukuka!!!? Sasa binadam hawa hawa wanapngana na kaz yake!!
Hivi ni nan kawapa hiyo nguvu ya kufanya haya? Je ni yeye mwenyewe (MUNGU) kwa kuamin kwamba kaz yake aliikosea ndo mana anawapa nafas ya kurekebisha au ni mwngne yeyote?
Dah! Wasije leta dawa za kuzuia kunya na kukojoa.
 
Shikamoo baba,
Dah!hivi kwann kila wakati hawa wazungu wanakuwa bize kuedit utaalamu wa mungu?
Hayo majaribio wamefanyiwa wanawake wa wapi?
Hapa hata uhakika wa kubeba mmba baadaya kutumia hizo dawa sidhan km utakuwepo tena,
Sitashangaa wakija na na vidonge vya kuzuia kwenda choon kupata haja kubwa ili watu wasipoteze mda wa kuwa choon.
 
Mwanamke mwenye akili timamu hawezi tumia hizo dawa. Me nisipoona mwezi 1 tu naugua kabisa:lol::lol:
 
Dah umeniacha hoi sana.just imagine m2 awe alizuia kwa mwaka mzima
Acha tu mama ibu, vitu vingine ni laana ati... Wanapingana na Mungu, sie tunajua kwa nini imekuwepo kwa wanawake tu na sio kwa wanaume?.. Afu mtambuzi anatutaka tuizuie khaaah, hiyo haikubaliki kama Malaria.
 
Vinawafaa machangudoa wanaojiuza kila siku, probably na porn actresses we unafanya mchezo na uumbaji? Yani ni kama wale wanaofanya plastic surgery kubadili jinsia zao na kumeza vidonge vya kuwarutubisha lakini huwezi sikia yeyote alibadili maumbile akazaa au kuzalisha never
ANGALIZO: Kuna wanawake hupenda sana kuiga na kujaribu mambo kama ambavyo kuna maziwa na mahips+mabuttoks ya kichina, wapo watakao zitumia wenye mwelekeo wa kila la ngozi nyeupe zuri..
 
Aisee kweli wewe ni mtabiri, kuna wadada wa humu humu JF wameni-PM kufanya udadisi, eti vinapatikana wapi!?
 
hahahaahahaha unafuahia tu kupewa tunda hufikirii madhara atakayopata mtoa tunda??:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 
Back
Top Bottom