M'bongo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 265
- 302
MAHAKAMA YA KADHI: jamii ya watanzania tunahitaji ELIMU YA NGUVU kuhusiana na mahakama hiyo hivyo serikali iwape nafasi waislamu waelimishe jamii yetu ili watoe michngo yao kwa uelewa na siyo kutishana, wala kutukanana si vizuri la hasha!!!!!!!!!!!!!!!! watu wengi wanaonekana wanjadili lakini wanonekana hawaelewi wanachomaanisha mwisho wanishia kutusi uislamu na waislamu kwa ujumla. mimi naona hilo ni jambo la msingi lipewe nafasi wwote ni wabongo!!!!!!!!!!!!!!1
Mnataka kutuletea matabaka kama Nigeria, mmeshaambiwa hili ni jambo lenu wenyewe na lipo
mikononi mwenu wenyewe, kwa nini mtushirikishe sisi? Hapa hakuna tusi bali ni kuambiana ukweli