" Enyi mlioamini (Waislaam) ! Msiwafanye <b>Wayahudi na Wakristo kuwa marafiki</b>, <b>Wao ni marafiki wao kwa wao</b>. Na miongoni mwenu mwenye k<b>ufanya urafiki nao</b>, <b>huyo ni katika wao</b>. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi <b>watu wenye kudhulumu"</b> Quran Maida: 5:51.<br />
"Hakika <b>rafiki yenu mlinzi </b>ni mwenyez<b>i Mungu na Mtume wake na wale walioamini (Waislaam)</b> ambao hushika <b>sala </b>na hutoa<b> zaka</b> na <b>wananyenyekea</b>" Quran: <b>Maida: 5:55</b><br />
" Na atakaye <b>fanya urafiki na MwenyeziMungu na Mtume wake na walioamini (Waislaam),</b> basi hakika<b> kundi la Mwenyezi Mungu</b> ndio lenye <b>kushinda"</b> Maida: 5:57<br />
" Enyi <b>watu wa Kitabu (</b>Tourat, Zabur, Injil) ! Hivyo <b>mnatuchukia</b> kwa kuwa tumemwamini Mwenyezi Mungu na tuliyoteremshiwa na yaliyoteremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika <b>nyinyi ni wapotofu ?"</b> <b>Maida:5:59</b><br />
" Na Utawaona wengi wao wanakimbilia<b> katika dhambi, na uadui, na ulaji wa vya haramu.</b> <b>Ni maovu mno hayo wayatendayo.</b> Mbona hao <b>Wanazuoni </b>(Wachungaji ) na<b> Makuhani </b>(Maaskofu) wao <b>hawawakatazi maneno yao ya dhambi na ulaji wao wa vya haramu ?</b> <b>Ni maovu mno wayafanyayo" Maida: 5:62-63</b>